chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ndoto ya Demokrasia ya Vyama Vingi na Kuendelea kwa Mtazamo wa Kisiasa wa Mfumo wa Chama Kimoja.

    Tangu uhuru mwaka 1961, Historia ya kisiasa ya Tanzania imetawaliwa na ushawishi mkubwa usio wa kawaida wa chama kimoja cha siasa. Kilichoanza kama uongozi wa TANU hatimaye kilibadilika na kuwa utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuatia kuunganishwa kwa TANU na chama cha Afro-Shirazi cha...
  2. Pakome

    Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha siasa

    Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha Siasa Ikiwa Tanzania itaendelea kuwa na vyama vya siasa zaidi ya kimoja mgogoro utakuwa mkubwa wa asilimia 90% Lakini kama kitabaki Chama kimoja cha siasa mgogoro utakuwa mdogo wa 10% tu Sitataja sababu zake...
  3. K

    Kuanguka kwa ANC je ni dalili kuwa genge la watekaji linalojiita chama la CCM kuanguka?

    Kuna taarifa kupitia vyombo vya Habari ikiwemo South African Broad -casting Corporation (SABC) kuwa ANC kule Africa kusini imegeuzwa mdebwedo sasa hili genge la watekaji hapa nchini linalotegemea yale magenge ya watekaji wenzao linaloitwa ccm ndio anguko lake au? naomba majibu wakuu.
  4. Corticopontine

    Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
  5. Chizi Maarifa

    Hawa Jamaa maisha yao ni ya hovyo sana. Ila utawakuta wanasupport Chama kama Matahira

    https://www.instagram.com/reel/Dfg03xTxDYt/?rpxt=dG9uYW4zbDYyYW0= Inasikitisha sana. Kazi ya watu wa Daraja la Chini sana.
  6. zitto junior

    Pigo jingine kwa Netanyahu: Chama kutoka kambi yake chakataa kumuunga mkono

    Wakati wa mashauriano kati ya wakuu wa chama na Herzog, ambayo yalimalizika Alhamisi, wanachama 67 kati ya 120 wa Knesset walimuunga mkono Eisenkot, huku 46 pekee wakimunga mkono Netanyahu. Uidhinishaji wa Netanyahu ulipungua viti 7 kati ya viti 53 vya kambi yake baada ya Uyahudi wa United...
  7. Sifi Leo

    Kwa hiyo Waitara, uko seriously bungeni kuna wabunge *******, wanaotokana na chama cha mapinduzi? Hahahaha wabunge wanapakuliwaaaaa!

    Lingekuwa bunge la vyama vingi ningeumia ila mpo pekee yenu sasa jamani ccm kuna michokoooo?imeingia mpaka bungeni?
  8. S

    Katika kuhangaika, chama cha kijani siku si nyingi wataitisha mikutano wa waandishi wa habari na swala la Lissu wataliongelea

    Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu. Moja ya jambo watalokujanalo...
  9. Carlos The Jackal

    BAK Mwabukusi, Mchungaji Msigwa, Masikio ya HECHE yanawahitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Wauaji wa Oktoba 29 Wanapambana kulikua Chama!!.

    Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama. Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU. Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
  10. Superbug

    Hukumu ya Lissu imeongeza chuki kwa CCM. Ni anguko la haraka la chama tawala.

    Ukisoma nini mawazo ya watanzania juu ya ccm na kesi ya lissu ni kwamba chuki imeongezeka mara dufu. Kwa wenye AKILI hili ndio lilikuwa dirisha la SSH kujisafisha Tanganyika na kuondoka salama 2030 kinyume chake SSH amejiwekea rekodi nyingine ya hovyo mño ambayo it's backfire kama rungu la...
  11. VENKO

    Swali: kwanini raisi akishachaguliwa kuwa kiongozi wa nchi anaweza kuchaguliwa tena kuwa m/kiti wa chama chake?

    According to my view Hii inasababisha; 1. Vyama vingine kutopata uhuru wa kisiasa. 2. Raisi anakuwa na maamuzi yanayoendana na chama. 3. Serikali inajaa viongozi wa kutokea chama kimoja tu. Kwanini isiwe hivi; Raisi akishachaguliwa awe ni mbali na chama yaani chama kisiwe na contact na yeye...
  12. DR HAYA LAND

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote, Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa HAKI, AMANI na UTU - nasimama na Lissu

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo . with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
  13. D

    Chama mnamkabidhi kichaa kama jpm mnategemea nini!!

    Tuliwaambia tangu mwanzo kuwa lisu hafai kuwa kiongozi mkashupaza shingo ona sasa chadema imesambaratika kabisa. Nina uhakika hata jpm asingekuwa rais anagekuwa anaishi .paka leo mana uongozi hauhitaji mihemko na kujiona weww una akili kumzidi kila mtu. Uongozi ni capavity siyo much knowing...
  14. Q

    Lema alienda kuongea na balozi za nje kama nani? Je, CHADEMA ilimtuma?

    Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama. Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha...
  15. L

    CHADEMA Wataka Lema Apewe Wenyekiti wa Chama Taifa Ili kukivusha Chama na kukiondoa katika Makucha ya wanaharakati uchwara

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama. Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati...
  16. Mikopo Consultant

    CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
  17. F

    Mbowe na Lema ni Liability au asset ndani ya chama? Wakifukuzwa je...?

    Nimemuuliza mdau wa Siku nyingi ndugu Tindo kwamba, Mbowe na Lema wakifukuzwa ndani ya CHADEMA, hasara Hasi zitakuwa zipi? Jibu: Hakuna hasara yoyote kungoa jino bovu mdomoni. Jibu hili limenipa nguvu ya kupandisha mada hapo juu kuwa, Mbowe na Lema ni asset au liability ndani ya CHADEMA...
  18. Dennis Robert Shughuru

    CHADEMA iwafute uanachama Godbless Lema, Boniyai, Sugu na Mbowe. Wanakiharibu chama

    Ukisikiliza press conference ya leo ya Lema ni wazi chadema wanatakiwa wawafute haraka sana uanachama Lema, mbowe, boniyai na sugu wana-comprimise chama Mimi sio mwanachama wa chadema ila as long hao watu ni wanachama wa chadema watavuruga kisawasawa sababu wanapiga miguu yote Mfano press...
  19. B

    Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  20. Tlaatlaah

    Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
Back
Top Bottom