The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati...
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.
Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
Wiki iliyopita, kuna jirani yangu mwanaye alipata ajaliya pikipiki, Yule kijana aliumia si saana.
Alienda hospital ya wilaya, akatibiwa na kupewa dawa, Usiku wa siku hiyo akiwa nyumbani amelala, alihisi maumivu makali sana, akaamua kumeza Diclopar nne na panaldo mbili ili kutuliza maumivu...
Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa.
Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
asali
basi
ccm
chadema
chama
eneo
hadhi
hawana
huwa
kioo
kujenga
kujengea
kukosa
kukusanya
kwanza
makao makuu
mkakati
njaa
ofisi
pesa
sana
simba
soka
tunahitaji
umma
viongozi
viwanja
waganga
waganga njaa
wakati
wapi
watoto
wazo
yanga
Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja.
CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na Ushirikishwaji wa CCM. Awali Mwenyekiti wa CCM alitoa salaam za rambirambi kutokana na msiba huu wa...
Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi.
Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli.
Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya...
Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.
Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.
Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kung'oka.
Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.
Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .
Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro.
Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi
Kama ni Gwanda...
Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni.
Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
Habari za mchana ndugu zangu.
Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana wa siku hizi. Ukikubali tu, basi hiyo ni one mistake. Ukishafanya nae, the next week anaanza story...
Kama ambavyo wapinzanzani wetu wamekua wakitupachika kina la Chama cha Majambazi kutokana viashiria vya matendo ya wanaccm wachache waliothaminiwa wakapewa nafasi serikali na chama lakini wanaendekeza tamaa, Wizi, unyang'anyi, utapeli, Ubabe, uonevu na uporaji wa mali za watu. Hii siyo misingi...
Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.
Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo.
Sasa...
MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI.
Leo 11:11hrs 05/06/2021
1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25
2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
CCM pamoja na historia ndefu ya kutokea TANU, Pamoja na kwamba ipo madarakani miongo kadhaa, haijui maisha nje ya utawala, bado ni chama dhaifu sana kiasi kwamba hakiwezi kusimama chenyewe bila kubebwa na baiskeli ya wagonjwa ya Polisi, msukumaji usalama wa taifa. Haiwezi kufanya chochote bila...
Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Fedha na Mipango ndio kitovu cha mipango yetu ya maendeleo na pia, ndio wizara inayohusika na uwezeshaji wa...
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.