chama tawala

  1. B

    Ni Dhahiri sasa Mamilioni ya Watanzania Wameamua kuungana na Lissu na kukikacha Chama Tawala.

    Imethibitka, imethibitika. Kwa Sasa Macho na masiikio ya Watanzania Mamilioni kwa mamilion, mitandaoni na kqa ground wako Na Lissu. Kila.mtu anaimba mabadilko halisi. Si wanaccm, si wanachadema wala wasio na vyama. Kwenye Group Moja la Whatsapp lenye makada wakubwa na wadogo wa ccm...
  2. B

    Mgeni akiingia Tanzania kwa sasa atajua Chadema ni Chama Tawala na Tundu Lissu ndiye Rais

    Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana. Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅 Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu. Kampeni zote zina reflect...
  3. Bob Manson

    PreGE2025 Upepo wa kisiasa unavuma upinzani, je hii ni ishara njema kwa chama tawala kuelekea 2025?

    Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko. Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025? Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
  4. GoldDhahabu

    Kuna ubaya wowote kwa chama tawala kuwa chama dola?

    Sijui kwa ufasaha maana ya chama dola, ila nimeshasikia mara kadhaa CCM ikilaumiwa kuwa ni chama dola! 1. Ni vibaya kuwa chama dola? 2. Katiba inasemaje kuhusiana na hilo?
  5. J

    Mchungaji Msigwa: Nimejifafakari, nimetafiti na nimechunguza na kujiridhisha kuwa Tanzania iko salama chini ya Rais Samia na CCM haina mbadala!

    Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala. “Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM...
  6. S

    CHADEMA, ACT Wazalendo, wana nia nzuri sana na nchi yetu, tatizo liko kwa CCM na Watanzania, hivyo wanapaswa kubadili mbinu za kuinusuru Tanzania

    Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine, siku zote wamekuwa na nia nzuri sana na nchi yetu. Sina shaka juu ya hilo. Sasa tatizo ni kwamba...
  7. R

    LGE2024 Wanaoharibu uchaguzi wanamwamini Mungu au wanaamini chama tawala?

    Kinachoendelea nchini aibu kubwa sana ndani na machoni pa mataifa mengine. Tumefikaje hatua ya watendaji wa serikali kuua mwananchi na mwanasiasa kwa sababu ya uchaguzi wa ujumbe wa serikali za mitaa? Kama uchu wa madaraka umekuwa mkubwa kiasi cha kuua mjumbe wa shina je nini kitatokea kwa...
  8. funaku

    LGE2024 Hata kama ni kutetewa vyama vyote ni muhimu kuzingatia taratibu za uchaguzi

    Inawezekana kabisa nia ya 4RS ipo dhahiri kupitia CCM Lakini ni vyema vyama vyote kuzingatia taratibu tulizojiwekea katika uchaguzi. Inashangaza mgombea umeelezwa wazi kuwa iwapo hujatendewa haki kata rufaa Nenda kwenye mamlaka ya kiuchaguzi pigania haki yako halafu badala ya kufanya hivyo...
  9. B

    LGE2024 Tamisemi iko chini ya rais, CCM ndio chama Tawala ni sahihi mwenyekiti kumuomba waziri aliye chini yake kupuuza makosa madogo madogo ya wagombea?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake wamekuwa na utaratibu wa kutengeneza tatizo na kulitatua wao wenyewe ili waonekane wema kwa Wananchi na tasisi za ndani na nje ya nchi Pia soma CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi...
  10. MamaSamia2025

    CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

    Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
  11. Ojuolegbha

    CCM na CRC - Chama tawala Comoro kushirikiana

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
  12. Yoda

    Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

    Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60, Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia...
  13. Mtoa Taarifa

    Mgombea wa Chama Tawala cha FRELIMO ashinda Urais Msumbiji

    Chama tawala cha Msumbiji, Frelimo, kimeendelea kushikilia madaraka katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu, na kuongeza utawala wake wa miongo mitano katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika, huku upinzani ukilalamikia udanganyifu. Daniel Chapo, mwenye umri wa miaka 47, kutoka Frelimo...
  14. F

    Spika Tulia amezoea kulindwa na chama tawala hajazoea kusimama kwenye hoja na haki na hilo limeonekana wazi

    Ni kazi nyepesi sana kuwa spika wa bunge la Tanzania pengine kuliko nchi nyingine za Africa. Licha ya bunge letu kutokuwa na watu wenye weledi mkubwa (critical minds), pia bunge la Tanzania huendeshwa kibabe na spika hulindwa na chama tawala. Sasa inapotokea spika wa bunge kama hilo anakuwa...
  15. Arsenal Gunner

    Tangu mwezi wa kumi uanze, wananchi tunafurahia neema ya pesa nyingi sana

    Nashangaa Kuna watu wanalalamika maisha ya Tanzania yamekua magumu mbona wananchi tunafurahia sana maisha maana tuna viongozi wanaotujali. Tunamshukuru sana Mungu Kwa kutupa viongozi imara kupitia chama Cha ccm maana nchi imejengeka sana na wananchi tunaishi maisha mazuri na mwakani kura yangu...
  16. Mwanamwana

    PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  17. Stuxnet

    Watekaji wana nguvu kuliko Chama tawala; Hii siyo dalili nzuri kwa mustakabali wa Taifa letu

    Katibu Mkuu alizungumza vizuri kwa maslahi ya chama na umma. Aliamini vyombo vya ulinzi vina makosa, ama kwa kuhusika moja kwa moja kama wanavyoshutumiwa au kwa kutotekeleza wajibu. Mwenyekiti yeye anawatetea vyombo (100%) tu na kuwalaumu wahanga na umma unaodai haki kutendeka! The logic is...
  18. A

    Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  19. F

    Taswira ya nchi yetu imechafuka sana hivi karibuni. Ni wakati muafaka kuwa na serikali shirikishi kwa kuzingatia maridhiano na Vyama vya Upinzani

    Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi. Suluhisho sio matumizi ya nguvu za dola, suluhisho ni masikilizano. Ili maridhiano kati ya chama tawala (CCM)...
  20. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Tumaini lililo jema kwa sasa ni kama Upinzani kutupa mbadala wa CCM au CCM kubadilika kwa maslahi ya Taifa

    Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika kuwa CCM hawafai ,ufisadi umeshamiri ,maliasili zinatumiwa vibaya lakini hakuna Chama kinachojipanga...
Back
Top Bottom