Tangu uhuru mwaka 1961, Historia ya kisiasa ya Tanzania imetawaliwa na ushawishi mkubwa usio wa kawaida wa chama kimoja cha siasa. Kilichoanza kama uongozi wa TANU hatimaye kilibadilika na kuwa utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuatia kuunganishwa kwa TANU na chama cha Afro-Shirazi cha...
Wanasiasa wengi wa upinzani waliowahi kuvitikisa vyama Tawala na kuviondoa madarakani walikuwa wafanyabiashara mabilionea na matajiri mfano Hakainde Hichilema Zambia, Ruto kenya
Msituletee siasa zenu za kimasikini masikini sisi
Chama cha African National Congress (ANC), kilichowahi kuongozwa na aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kimepata pigo kubwa baada ya kupata asilimia 30.76 ya kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 4, 2026.
Matokeo hayo ni anguko kubwa...
Ukisoma nini mawazo ya watanzania juu ya ccm na kesi ya lissu ni kwamba chuki imeongezeka mara dufu. Kwa wenye AKILI hili ndio lilikuwa dirisha la SSH kujisafisha Tanganyika na kuondoka salama 2030 kinyume chake SSH amejiwekea rekodi nyingine ya hovyo mño ambayo it's backfire kama rungu la...
Twende haraka kwenye mada,
Nimemsikia Asha Rose Migiro akisema CCM inastahili kuwajibika Kwa yaliyotukia Oct 29,30,31... Na nimemwelewa vizuri.
Ikumbukwe pia kuwa palikuwa na mpasuko mkubwa ndani ya CCM uliosabisha wengine waliogombea kuenguliwa au kukatazwa kugombea au kuchukua fomu nk nk...
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza.
Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
ccm
chamachamatawalachamatawala tanzania
kimkakati
kuendelea
kuongeza
mikakati
nchini
siasa
tanzania
vingine
viongozi
vyama
vyama vingine
wafuasi
wakati
wananchi
wengi
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.
Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
Ukikaa chini ukatafakari Tanzania ya leo na Tanzania ya miaka iliyopita, kuna vitu vingi ambavyo huwezi kuvipuuza.
Tunaona barabara zikijengwa, madaraja yanaendelea kujengwa, vituo vya afya vinaongezeka, shule zinaboreshwa, maji yanafikishwa maeneo mbalimbali na umeme unaendelea kusambaa. Hata...
Wakuu,
Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM.
Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja.
Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku.
Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni...
Binadamu tu viumbe wa wababaifu sana na tuliyojaa unafiki uliopitiliza..
Leo hii kuna watu wanailalamikia Chama Tawala na Tume yake Huru ya Uchaguzi, kwa kile ambacho kiuhalisia kilikuwa dhahiri shairi machoni pa wote wenye kuona na kufahamu jema na baya..
Lakini katika hao watu wanaulalamikia...
Nchi nyingi zinazokaribia kuanguka au kutafuta kuanguka na weza sema tanzania nayo hipo kibra.
Ukweli mchungu ila ukweli unasaidia ili kuokoa damu zinazoendelea.
Steji ilipofikia ni kwamba sasa CCM ni polisi,CCM ni usalama wa taifa,CCM ni JWTZ ,CCM ni mahakama.
Hapa tulipofikia ni kubaya...
Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya...
Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi.
Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia.
ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio.
Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe.
Tega sikio…
Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha
Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni
Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
Maelfu ya raia wa Ivory Coast waliingia mitaani mjini Abidjan, mji mkuu wa taifa hilo la Afrika Magharibi, kupinga kuondolewa kwa viongozi wa upinzani kwenye uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Ivory Coast, ambayo ndiyo uchumi mkubwa zaidi katika Afrika Magharibi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.