chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    Mna uhakika Boni Yai bado ni CHADEMA?

    Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
  2. DuaZaMama

    GE2025 Kesi ya Zuio CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa yaahirishwa Hadi Agosti , 18, 2025

    Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo. Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na...
  3. K

    Mapenzi ya wana Chadema yako kwa mtu,wakati mapenzi ya wana CCM yako kwa chama

    Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa, Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali Upande wa pili mapenzi ya...
  4. Waufukweni

    GE2025 Mwakilishi wa CHADEMA, Mchome aibukia kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

    Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
  5. M

    Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  6. Ritz

    GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

    Wanaukumbi. CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI .. Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia. Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la...
  7. Arsenal Gunner

    Inakuaje CHADEMA wanamtaja Hayati Magufuli kila mada zao ina maana wanamuogopa aliyepo madarakani sasa

    Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

    Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni! Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu. Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
  9. Zanzibar-ASP

    GE2025 CHADEMA na Lissu endeleeni kushikiria hapo hapo (NRNE), watanzania wamewaelewa na wanawakubali sana

    Kuna msemo unasema uongo ni wa kitu cha kukufurahisha na kukaa kwa muda mfupi tu, lakini Ukweli unaweza kuwa mchungu mwanzoni lakini hudumu milele na huzaa furaha ya siku zote hapo mbeleni. Kile kitendo tu cha Lissu kusema anakwenda kugombea na mwisho kuutwaa uenyekiti wa CHADEMA, ghafla nchi...
  10. R

    GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

    Wakuu, Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
  11. R

    GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

    Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
  12. S

    GE2025 Kumbikizi: Yericko Nyerere aliwahi kusema atakayepigwa kwenye uchaguzi wa ndani wa CHADEMA hakuna kuhama chama, ila leo kiko wapi?

    Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere? Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
  13. Erythrocyte

    GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  14. E

    CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  15. DR HAYA LAND

    Chadema na watanzania kiujumla ni rahisi sana kuwaongoza milele kwakuwa ni rahisi sana kutolewa katika mjadala , mnabidi kujitafakari!

    Slogan ya No election no reform ilikuwa imeshaanza kueleweka mpaka vijijini . Ila sasa kinachotokea ni either kukosa Mwelekeo na kujua nini wanabidi wasimamie kwa wakati husika. Page zote za Chadema zinahangaika na Polepole . Huyu alibidi kupotezewa na sio kupewa airtime . Kwa style hii...
  16. E

    CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  17. McLaren

    Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  18. SSH2025_2030

    CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

    Kitu nawapendea CCM likija swala la Kura na Kusaka vyeo hawachek na yeyote NI ama utoe pesa ya kueleweka (hii njia nayo haina uhakika 100%) au wakutose mazima. Wapi, 1. Ester Matiko 2. Nusrat Hanje 3. 4.
  19. S.M.P2503

    CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

    Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema: “Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
  20. Idugunde

    PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

    WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
Back
Top Bottom