chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Heparin

    Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

    Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama. Sasa CHADEMA ni ruksa...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

    Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa. Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na...
  3. M

    Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  4. The Palm Beach

    Video: CHADEMA wamjibu Chalamila & Katibu mwenezi wa CCM - Kenani Kihongozi kwa utetezi wao dhaifu wa kupanda kwa bei ya nishati ya petrol

    https://youtu.be/QIqjJSoPFQ4?si=3-ZD6Dz4OrPa60Oq HOJA ZA UTETEZI WA SERIKALI HARAMU YA CCM ILIYOJIWEKA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI KUMTWISHA MZIGO MWANANCHI: ##Wanasema, wananchi acheni kulalamika, bebeni tu mzigo huu wa gharama kwa kuwa ni mwepesi sana na kwa kuwa: 1. Bei zetu CCM na...
  5. H

    Siikubali CCM kwa namna wanavyoendesha nchi ila Sina Imani na mpinzani wake CHADEMA

    Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
  6. M

    CHADEMA isitegemee UNO, ICC wala USA katika harakati zao

    Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran. Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia. Chadema wasitegemee chochote kutoka huko. ICC yenyewe kama imekufa.
  7. R

    CHADEMA diaspora seeks talks with Donald Trump and rights bodies over alleged abuses in Tanzania and the release of Tundu Lissu

    Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others. Finally to bring to justice those involved in October 29th 2025 massacre of innocent Tanganyikans Najua meeting...
  8. R

    Was Chakwela taking notes/ minutes of the meeting with CHADEMA?

    Hii ni muhimu kujua mikutano yake anaiendeshaje? Ana team ya wataalamu wa kuchukua notes/ minutes/ proceedings za mikutano? Je Chadema walichukua notes za comments za Chakwela and team? Au amekuja peke yake?
  9. Stuxnet

    Nshala Mwanasheria wa CHADEMA atoa kauli ya matusi dhidi ya Tanzania

    Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa. Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
  10. S

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  11. M

    Kwanini Heche hapingi vita Mashariki ya kati?

    Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei? Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran. Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
  12. L

    CHADEMA walisema Hawaitambui Tume Iliyoundwa Kuchunguza Matukio ya Uchaguzi. Lakini Kwa Sasa Wapo Kimbelembele Kuulizia Kwanini Tume Inachelewa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CHADEMA wana akili za Kinyumbu,hawajitambui kabisa, ni Watu wenye matatizo makubwa sana ya kiakili . Hawanaga Kumbukumbu ya kukumbuka hata nini walizungumza siku moja iliyopita . Ubongo na vichwa vyao havina uwezo wa kutunza kumbukumbu na kukumbuka ya Awali...
  13. ChoiceVariable

    Benki ya Dunia kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 kusaidia Ajira ni Pigo jingine kwa CHADEMA

    Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti. ====== The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households. The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Kama kuna uwezekano wa bahari ya Hindi kupita Dodoma na Morogoro CHADEMA mnaweza pia kuingia Ikulu

    CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika. Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu...
  15. Dalton Elijah

    SI KWELI John Mrema aomba kurudi CHADEMA

    Taarifa kutoka ukurasa wa Instagram wa Habari 24 zimechapisha habari yenye ujumbe kwamba John Mrema, ambaye ni kada wa chama cha CHAUMA, ameomba kurejea CHADEMA. Katika chapisho hilo, ujumbe ufuatao umeonekana: “Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa...
  16. R

    Ujumbe wa Leo: Chadema ni IMANI kama ilivyo IMANI KATOLIKI ambayo serikali haiwezi kuiua

    Yangu ni hayo kwa Leo. Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI yangu, ndani yako na wewe. CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
  17. Erythrocyte

    Njama ya awamu ya 5 ya kuunga mkono Juhudi yarejeshwa tena, Mlengwa mkuu ni viongozi wa Chadema

    Bajeti mpya ya ununuzi wa Binadamu imepangwa, lengo kuu ni kununua viongozi kadhaa wa Chadema ili kudanganya umma kwamba chama hicho kina mgogoro Sababu kuu ya kujaribu Ujinga huu ulioshindwa hapo mwanzo inatajwa kuwa ni kutokana n.a. kushindwa vibaya kwenye Ile kesi ya uongo ya Uhaini...
  18. Roving Journalist

    Ndonde Totinan atangaza kujiuzulu nafasi ya Katibu wa Kanda Kaskazini - CHADEMA

    Mhe. Katibu Mkuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) YAH: KUJIUZULU NAFASI YA KATIBU WA KANDA - KASKAZINI Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Kwa heshima kubwa ninapenda kujulisha kuwa ninajiuzulu nafasi yangu ya ukatibu wa Kanda ya Kaskazini kuanzia leo hii tarehe 01.04.2026...
  19. 4

    Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

    Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa. Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
  20. Parabolic

    CHADEMA Yapinga Uteuzi wa Jakaya Kikwete ndani ya AU, Yataka Mapitio ya Haraka

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja huo kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu. Machi 25, 2026...
Back
Top Bottom