chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. The Genius

    Tetesi: Walioigiza mazishi ya CHADEMA wafa kwa ajali

    Taarifa kutoka mkoani Songwe zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Maporomoko, na kiongozi wa Green guard wilaya ya Momba wamefariki kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakiwa kwenye pikipiki, ikiwa ni miezi miwili tu tangu waliposhiriki igizo la kuizika Chadema kwenye jeneza na kuweka...
  2. Roving Journalist

    Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  3. Francis12

    Kamati Kuu CHADEMA kukutana kwa dharura kesho

    Kamati TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA. Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itakutana katika kikao maalum cha dharura, kitakachofanyika kwa siku moja, Alhamisi, Novemba, 2019. Kikao hicho...
  4. Jaji Mfawidhi

    GE2020 CHADEMA ina mbumbumbu kiwango cha SGR, wakihamia CCM wanakuwa Maprofesa

    Imegundulika CHADEMA NA ACT, hawajui kujaza fomu, sehemu za kuandika mwaka na tarehe za kuzaliwa wao wanaandika tarehe na mwaka wahuu wa uchaguzi. Hawajui vitu vingi na CCM imechukua advantage hiyo. Nashindwa kuwa mnafiki ila mbinu za JIWE zimezaa matunda maana anajua A.. Hawezi kampeni za...
  5. D

    CHADEMA Inaweza kuvunja historia ya kutia aibu

    Yaani 2015 Chadema ilikuwa chupuchupu kuchukua nchi na walisema kuwa waliibiwa kura zote, lakini leo dalili zote zinaonyesha kuwa Chadema inaweza kuporomoka hata kuwa kama chama cha NCCR MAGEUZI kuwa na mbunge 1 kama James Mbatia au hata kukosa kabisa mbunge. Watafiti wa mambo ya siasa za...
  6. Queen Esther

    Kumbe nguvu ya Mhe. Lowasa ni kubwa na ndio ilikibeba CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015

    Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua. Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi...
  7. CalvinKimaro

    Huu udhaifu CHADEMA mtaurekebisha lini? Msemaji ni Makene au Lema?

    Taasisi makini huweka utaratibu wa viongozi wake kutoa taarifa. Haiwezekaniki kila kiongozi awe msemaji wa taasisi haswa ya kisiasa. Nidhamu inakuwa zero ikitokea hivyo. CHADEMA ni taasisi ya ajabu! Inaye msemaji ambaye kama wengine naye ni mchaga. Ndugu Makene. Japo haenei kwenye nafasi lakini...
  8. Erythrocyte

    Mgombea wa Chadema Keko Mwanga A kufikishwa Mahakamani mchana huu kwa kukataa unyonge na kupigania haki yake

    Atafikishwa Mahakamani baada ya kuhakikisha mtendaji wa kata ya Keko anatenda kama sheria za uchaguzi zinavyotaka kwa kumpatia mgombea halali fomu zake , hii ilitokea baada ya Mtendaji huyo kuchelewa kujificha hadi kukutwa ofisini na Mgombea wa CHADEMA ambapo akataka kukataa kumhudumia mgombea...
  9. YEHODAYA

    CHADEMA ibadili jina badala ya kujiita CHADEMA ijiite CHADE

    Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi. Nashauri...
  10. Robot la Matope

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014. BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA...
  11. Sky Eclat

    Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

  12. J

    Hivi wanaokataliwa kupewa fomu za kugombea Serikali za Mitaa ni CHADEMA peke yao au wapinzani wote?

    Mwenye kujua atujuxe Tafadhali. Maana humu mitandaoni wanaolalamika ni Chadema peke yao ndio nauliza vyama vingine vya upinzani havina wagombea au wao hawafanyiwi figisu? Nilimsikia Prof Lipumba kupitia Star tv akitamba chama chake cha CUF kuibuka na ushindi wa 30%. Je, CCM hawaihofii Cuf...
  13. Erythrocyte

    CHADEMA kataeni kuonewa tena , unyonge wenu sasa basi , wala Msiogope maana Shetani hajawahi kumshinda Mungu

    Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
  14. J

    Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

    Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha. Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake. Kiukweli nyakati nyingine...
  15. Corticopontine

    Lema na wenzako ilani ya CHADEMA mwaka 2015/2020 ukurasa wa 53, mkasome vizuri

    Vijana wa CHADEMA mna maana gani mnapoyakana maandishi yenu wenyewe au ndo uvivu wa kusoma? Ipitieni upya ilani yenu la sivyo mtakuwa kama akina Lema wanaopinga hata vivuli vyao Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
  16. M

    Afisa Mtendaji wa Endashang'weti - Karatu aanguka na kuteguka mguu akiwakimbia wagombea wa CHADEMA

    Dunia haiishi vituko, safari hii ni huyu Afisa Mtendaji wa kijiji cha Endashang'weti kilichopo Wilayani ya Karatu anayefahamika kama Raymond Mwasha. Akiwa hajui hili wala lile alifika Ofisini saa 3 hivi na kukuta pasipo kutarajia wagombea wa ujumbe wa Serikali ya kijiji na mgombea uenyekiti...
  17. J

    Wafuasi wa CHADEMA wengi hawajajiandikisha wapeni tu fomu hawana madhara

    Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo? Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019...
  18. Analogia Malenga

    CHADEMA yatoa neno juu ya figisu figisu zinazoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kufuatia matukio yanayoonyesha mazingira ya kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyojitokeza siku ya kwanza ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo, siku ya Jumanne Oktoba 29, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  19. J

    Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  20. Maboso

    GE2015 Katika Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA 2015, haya ndiyo yaliyoahidiwa

    CHADEMA itafanya nini: Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. Hii ni pamoja na kujenga uwezo wa kuzalisha mataluma ya reli nchini. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya Taifa ili kurejesha biashara tulizopoteza...
Back
Top Bottom