chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    CHADEMA pumzi imekata, ACT hakiaminiki, vyama vingine havina mvuto. Kwa hali hii watashindana vipi na CCM wakashinda?

    Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria. Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
  2. Bonde la Baraka

    Viongozi wa CHADEMA mliwapokea Lowassa na Sumaye kwa ridhaa ya nani, na kwa manufaa ya nani?

    Habari! Mimi napenda kuwauliza viongozi wa CHADEMA. Je, uamuzi wa haraka wa kuwapokea na kuwapa nafasi haraka viongozi hawa wanaolipwa na kulindwa na serikali mpaka kifo chao mliotoa wapi? Kwanini mliwapa nafasi ndani ya CHADEMA haraka? Mliamini ikulu mtaingia kupitia hawa? Mlitaka kuongeza...
  3. Mwanamwana

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
  4. Erythrocyte

    Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

    Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali...
  5. J

    Dr. Slaa na Juliana waliondoka CHADEMA wakiwa bado wanaipenda

    Huu ni ukweli ulio wazi kwamba makamanda hawa wa zamani wa Chadema waliohamia CCM na kupewa shavu lakini bado kila siku wanaiota CHADEMA. Na ndoto zao huwapeleka kwa Mbowe na Tundu Lisu respectively. Niseme tu Dr Slaa na Juliana ni wanasiasa wa kweli unajua itikadi ni kama imani ya dini...
  6. Mzee Mwanakijiji

    NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

    (Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma) UPDATE: Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa: Mbeya Piga Simu: 0759829015 Arusha Piga Simu: 0716505921 Dodoma Piga Simu...
  7. Erythrocyte

    Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

    Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia. Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake . Mungu ibariki Chadema ===== Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya...
  8. M

    CHADEMA isiogope kujirudi ili tusonge mbele kwa pamoja

    Nianze kwa kumpongeza sana Mh. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa mambo mawili. Kwanza kitendo chake cha kuhudhuria sherehe za Uhuru mwezi Disemba, 2019 kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umalizike. Pili kwa kitendo chake cha kumuandikia barua Mh. Dkt. John Pombe...
  9. J

    Vyama 12 vya upinzani nchini Vyamkana Mbowe na Chadema, vyasema vitashiriki uchaguzi chini ya NEC kwani wana Imani nayo

    Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli. Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
  10. Mystery

    Intelejinsia ya Polisi inaishia kwenye mikutano ya CHADEMA, kwenye mikusanyiko ya kidini ya Mwamposa inakuwa imezibwa macho

    Tumeshuhudia mara kadhaa mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, hususan ya Chadema, ikizuiwa na Polisi, kwa maelezo kuwa kwa taarifa zao "walizozinusa" mikutano hiyo italeta machafuko na hivyo kusababisha hatari ya maafa. Hata hivyo, mtumishi wa Mungu, anayejiita Mtume Boniface Mwamposa...
  11. Mwanahabari Huru

    Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
  12. ibesa mau

    Tunasubiri Tamko la chadema ,kuhusu Mambo haya mawili

    Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi Marekani wamesema wanao...
  13. Nigrastratatract nerve

    Umaarufu wa Tundu Lissu umezimwa ghafla na Zito kabwe Tayari ZITO amempiku. rasimi TUNDU LISU Tayari 2020 October Magufuli vs Zito CHADEMA out.

    Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana. Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
  14. Erythrocyte

    John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

    Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
  15. J

    Serikali yakataa ombi la CHADEMA la kutaka uchaguzi wa Serikali za Mitaa urudiwe, Waziri Mkuu asema wagombea ndio walipaswa kukata rufaa

    Waziri Mkuu Mh Majaliwa amesema serikali haiwezi kukubali kurudiwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama ilivyoombwa na Chadema kwa sababu kila uchaguzi una kanuni na taratibu zake. Majaliwa amesema Wagombea wa Chadema ndio waliopaswa kulalamika na kukata rufaa kwa mujibu wa sheria na sio...
  16. CalvinKimaro

    Mnadhimu ambaye hana nidhamu; Vituko vya CHADEMA

    Kuna kisa cha wayunani cha kale kuwa kulitokea ubishi nani awe kiongozi wa siku. Wayunani walikuwa wanachagua kiongozi kila siku. Mtu anatawala siku ikipita anachaguliwa mwingine. Mtu hachaguliwi tena mpaka wengine wote wachaguliwe. Ikafika muda walioanza kuchaguliwa wakajihoji: hivi mpaka zamu...
  17. MsemajiUkweli

    Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!

    Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...
  18. J

    Mnyika: CHADEMA haitasusia uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, amuomba Rais Magufuli kupeleka muswada wa Tume huru ya uchaguzi kwa hati ya dharura!

    Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amemuomba Rais Magufuli kupitia serikali kupeleka bungeni kwa hati ya dharura muswada wa kuanzisha Tume huru ya uchaguzi. Hata hivyo Mnyika amesema Chadema haitasusia uchaguzi mkuu wa mwezi October ila amewataka wananchi wote kupaza sauti zao kuidai Tume...
  19. Mzito Kabwela

    Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
  20. Nigrastratatract nerve

    CHADEMA nitafuteni niwatengenezee Taasisi ya kuheshimika itakayotengeneza pull factors kwa wanachama wapya

    Ili Taasisi yeyote itengenezeka na kuwa Imara lazima uwazi kwenye suala la pesa liwe wazi kabisa kitu ambacho CHADEMA wameshindwa yafuatayo ni matatizo yaliyomo ndani ya CHADEMA lkn kiini cha haya matatizo ni kufichwa kwa nyaraka muhimu juu ya mapato na matumizi ya Chama. CHADEMA hailipi...
Back
Top Bottom