chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mpwayungu Village

    Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

    Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe. NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
  2. comte

    Uchawa (CCM) vs ukupe (CHADEMA) aibu kwao wote

    To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe. Ulinganisho huu ni...
  3. BARD AI

    Meya Mstaafu Jacob: CHADEMA kukosa Wabunge kunaathiri Wananchi

    Meya wa zamani wa manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob amesema kutokuwepo kwa wawakilishi wanaotokana na Chadema katika Bunge na mabaraza ya madiwani kunawaathiri zaidi wananchi. Jacob, aliyekuwa diwani wa Ubungo kwa miaka 10, amesema anaamini Chadema ingekuwa na...
  4. B

    Dkt. Slaa: CHADEMA haikwepeki katika kuamua mustakabali wa Tanzania

    Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania. Dr. W. Slaa anaongeza kuwa njama zozote za kuipiku CHADEMA katika jambo la katiba mpya kwa kukiweka chama hiki cha...
  5. B

    Uchaguzi wa Bunge la Wananchi CHADEMA

    15 December 2022 LIVE UCHAGUZI WA BUNGE LA WANANCHI CHADEMA Wagombea waelezea jinsi wanavyoweza kulitumikia Bunge la Wananchi la CHADEMA Source: ZAMAMPYA TV https://www.jamiiforums.com/threads/nimependa-concept-ya-chadema-ya-bunge-la-wananchi.1981876/ Katika hotuba yake Mwenyekiti wa...
  6. B

    CHADEMA kukwama kwa maridhiano wa kulaumiwa siyo nyie

    Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani. Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi kuingia kwenye maridhiano Ili kuiweka nia yenu hadharani. Kila mwenye macho au kujali amemwona aliye...
  7. chiembe

    Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  8. L

    Freeman Mbowe akiachia Uenyekiti CHADEMA itakufa na kusambaratika ndani ya miezi michache

    Ndugu zangu sote Tunaona na kusikia yanayoendelea huko Chadema ambapo Baadhi ya wafuasi na viongozi wa chadema wakimuona Mwenyekiti wao Kama Msaliti na anayepaswa kuwapisha, leo Baadhi ya viongozi wanamuona Mbowe Kama muda wake umekwisha,amapitwa na wakati ,Anawachelewesha mambo yao...
  9. Erythrocyte

    Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari. Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara...
  10. kavulata

    Mwl. Nyerere aliitabiria mema CHADEMA, Ndugai na Bashiru msihuzunike

    Hizi shangwe sio za bure, Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini. Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
  11. R

    Dkt. Slaa kurejea CHADEMA? Tume ya Warioba ilitugharimu vikao vingi vya ndani

    Dr Slaa leo tar 13 Dec 2022 akiwa ktk Mtandao wa Club house kwenye mjadala unaoendelea kuhusu mahitaji na Katiba Mpya, na Demokrasia nchini. Dr Slaa anasema wanaisemea sana CHADEMA kwa kuwa ndio Chama chenye Nguvu. Hata hivyo amesema madai ya Katiba Mpya bado yanahitaji maridhiano kati ya...
  12. Idugunde

    Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  13. Carlos The Jackal

    Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja. Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo...
  14. K

    CHADEMA: Awamu ya Sita imeimarisha Uhuru wa Kujieleza nchini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
  15. Allen Kilewella

    Kati ya CHADEMA na CCM kipi ni chama imara?

    Kwa kuangalia malumbano yanayoendelea kwa muda mrefu sana humu JF, kuhusu uimara wa hivi vyama viwili, CHADEMA na CCM, nimeona ni bora tukawa na kura ya maoni kuangalia kwa maoni ya watu wa JF kipi ni chama Imara kwa kufuata mambo yafuatayo. 1. Usahihi wa maamuzi ya vikao vya chama. 2. Uwezo wa...
  16. Kusini pride

    Nina mashaka na succession plan ya CHADEMA

    Unjani Subawona Kiukweli wakuu ni mashaka na yawezekana hofu juu ya succession plan ya chadema baada ya mheshimiwa mbowe kutoka kwenye hiyo nafasi yake najiuliza who is next after him? Kiukweli tuseme ukweli CCM Ina uwingi wa manpower kuizidi chadema Tena yawezekana ni Mara Mia au elfu moja...
  17. comte

    Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  18. Samia atosha tukutane2030

    Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  19. R

    Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

    Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF...
  20. Chief Ortambo Ikumenye

    Mziki wa CHADEMA bado ni mzito sana kwa CCM

    Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania. Mwaka 2020 Magufuli na umwamba wake wote alipelekewa moto mkali sana na Tundu Lissu. Sasa kama Magufuli...
Back
Top Bottom