chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Ezekiel Wenje: Magufuli asingekubali ufisadi huu wa awamu ya sita (Ripoti ya CAG)

    Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG. Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
  2. Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

    Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter “Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa...
  3. PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  4. Kumbe CHADEMA ni wazushi, waongo na wazandiki. Wakimchukia mtu wanamzushia uongo

    Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga. Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na...
  5. Makonda na Sabaya wakati ni sasa wa kuhamia CHADEMA

    Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda Na hili kuidhihirishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujua madhara...
  6. J

    PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  7. Kumbukizi: Makamanda wa CHADEMA wakipigwa Tanganyika jeki baada ya kuleta ujeuri

  8. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

    Wanabodi, Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule...
  9. Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  10. Mkutano wa CHADEMA Songea Mjini Wafana

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kimeingia Mjini Songea na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya wananchi . Chama hicho kilitumia fursa hiyo kutoa elimu kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo kilisisitiza kwamba mambo haya ndio...
  11. Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

  12. Q

    Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  13. CHADEMA yaingia Jimbo la Nyasa

    Katibu wa CHADEMA kanda ya Kusini , Governor Kaduma na kikosi kaI chake wameendelea kusambaza elimu ya Katiba Mpya ndani ya kanda hiyo . Hapa ni jimbo la Nyasa , hili ni eneo ambalo miaka ya nyuma wakazi wake waliamini kwamba ukiondoka ccm unakufa , lakini baada ya Chadema kuendelea...
  14. CHADEMA wajirudi kuitambua TCD. Wamkubali Zitto

    Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini. Katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha...
  15. Picha: Makamabda wa Chadema wakifakamia matikiti maji na kujipoza .

  16. J

    Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

    Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF. Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni...
  17. Karatu: Ngome imara ya upinzani (CHADEMA) kwa upande wa bara

    Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote. Kwa...
  18. CHADEMA mmepoteza mwelekeo, msimamo, hamna sera, mmekuwa wababaishaji

    Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga? Anaandika Almaliki Mokiwa. Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama CHADEMA vikiwa vyama pinzani, na CCM kuwa chama tawala, CHADEMA imejitanabaisha kuwa chama kikuu...
  19. J

    Pamoja na Katiba Mpya Kenya, Polisi wapiga marufuku Maandamano. CHADEMA jifunzeni kitu Hapo!

    Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!! Mlale unono!
  20. Tathmini ya robo ya kwanza ya Mwaka, CHADEMA yaongoza

    Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka, Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania, ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…