chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Q

    John Heche: Kauli ya Chacha imeithibitishia dunia tuliyokuwa tukisema. CHADEMA kitatoa tamko rasmi

    Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote. Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha. Vyombo vya ulinzi...
  2. Carlos The Jackal

    Kwa Aina ya Maridhiano wanayotaka CCM ya kuendelea kubalia Madarakani, Kama CHADEMA tunasema hatutakaa kufanya MARIDHIANO Uchwara na CCM

    Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia. Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025 ulikata Ngebe zote za CCM na kuua Kila Matumaini yao walikua wakiyatumia enzi na enzi?. Ndio maana...
  3. Tlaatlaah

    Minyukano na vikumbo vya kurithi nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa vyaanza kupamba moto ndani chadema.

    Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema? Je, baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi...
  4. Tlaatlaah

    Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  5. R

    Mwenye waraka wa Chadema kuhusu Tume ya Lioa anisaisie hapa

    Dr. Rugemeleza Mwanasheria Mkuu wa Chadema alitoa msimamo wa CHADEMA kuhusu Tume ya Lila. Naomba aniwekee hapa
  6. S

    SI KWELI CHADEMA yampa Onyo Mange Kimambi kujipa mamlaka ya usemaje wa chama?

    Wakuu hii Taarifa una uhalisia kiasi gani?
  7. L

    Kenani Kihongosi Aendelea Kuikausha na Kuiteketeza CHADEMA Mitaani. Mkutano Wake Waondoka Na Mwandamizi Aliyekuwa Msaidizi Wa Alli Kibao

    Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA. Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
  8. Tlaatlaah

    Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
  9. balibabambonahi

    Dudubaya kawasnua Chadema.

    Anasema Kuna dogo mmoja wa kihaya ndo anauza siri za Chadema kwa Abdul Ameir.Anasema Kuna mwanamke mmoja anatoka naye Bariadi amezaa na mtoto wa Samuya siku Moja alienda kwa Mambaz na Abdul.Huyo kijana wa kihaya ,Dudu anasema,anaingia kwenye vikao vya Chadema,akitoka faster kwa Abdul.
  10. Tlaatlaah

    Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  11. Tlaatlaah

    Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  12. L

    Hivi Ni Kwanini Wanachama Wa CHADEMA Wanatukana Sana Matusi na Kukosa Adabu? Je Kuna Chuo Cha Matusi Wanachomiliki?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Swali ambalo wengi wamekuwa wanajiuliza Sana na kukosa Majibu. Hivi ni Kwanini Asilimia Kubwa ya wanachama wa CHADEMA Wanatukana sana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu au watu wenye matatizo ya akili. Kwanini chama hiki wanachama wake wamekosa kabisa adabu na...
  13. figganigga

    NCCR-MAGEUZI: CHADEMA walichochea Umwagaji damu Oktoba 2025 ili kutimiza agano la Bendera yao ya rangi Nyekundu

    Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa. Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph Selasini, walikishambulia chama cha NCCR-MAGEUZI kwamba kwenye Uchaguzi wa 29.10.2025 kilisindikiza...
  14. the ostrich eggs

    Misemo ya viongozi wa CHADEMA iliyowahi kubamba Duniani

    Tukakinukisha - Tundu LISSU
  15. Tlaatlaah

    Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini. Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
  16. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

    Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini? Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani? Au, Je, hamuamini mwanasheria huyo...
  17. T

    Ni kwa nn chadema wasibadili katiba ili mwaka wa uchaguzi wa chama usiwe mwaka uleule wa uchaguzi wa nchi?

    Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu wa nchi
  18. BIOTOXINS

    Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  19. lord atkin

    Mahinyila amepatwa na nini? Ashindwa kuelezea sera za Chadema?

    Nimesikiliza mahojiano ya mwenyekiti wa BAVICHA Wakili Mahinyila akiwa Wasafi fm kipindi cha jana na leo nimefadhaishwa sana. Kijana ameshindwa kabisa kuelezea sera za chadema. Najiuliza amepatwa na nini? Hakujiandaa au uwezo ndiyo shida...
Back
Top Bottom