Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wanasimba jana wamefanya tukio ngumu sana ni mara baada ya msigwa kumtwangia simu mgombea urais wa CCM Samia watu waligoma kabisa kuitikia salamu ya mgombea huyo.
Kwangu ni jambo zuri sana tuko tunaenjoy zetu mpira wewe unatuletea siasa
Conclusion: Akili za watz zimeanza kuchangamka sasa...
Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi.
Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa ifaidishe Taifa. Tunaomba Nchi nzima ipambane kuhakikisha Lissu anatumika kuisaidia kwenye mambo mengi...
Watanzania msikubali kurubuniwa na huyo anayetoka kanda ya magharibi mwa ziwa Tanganyika tambueni kuwa huyo siyo mpinzani bali ni mradi halali wa chama tawala( CCM).
Wapinzani halisi ni chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambao wanadai reform zifanyike ndio washiriki uchaguzi...
GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie
3. Boda boda na machinga
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)
Audience wa Chadema
1. Wasomi
2. Wafanyakazi
That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila kitu kuwazidi CCM waporipori na...
Huyo Comedian wa Malawi anacontent makini sana za kisiasa.
Hii ni response yake kwa Kasesela aliyetaka watu waache kutumia huduma kama hawatampigia kura mgombea wa CCM
Ikumbukwe Agosti 31, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo...
Siku zote nasema.
Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku.
Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora.
Hayo yakifanyika, hapa...
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA.
Soma pia: Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16
Chanzo: Daily News...
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi?
Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
"Katika jimbo la Morogoro Kusini Mashariki mimi ni mgombea pekee,wapinzani wamechimba,hii ni breaking news,mwenyewe nimeijua leo,wamechimba hawaiwezi CCM.Mimi shughuli yangu ni kumtafutia kura Mh. Rais Samia” Hamisi Shaban Taletale- Mgombea wa kiti cha Ubunge Jimbo la Morogoro Mashariki Kusini
Tatizo la CCM: Utamaduni wa Chama Vs Utamaduni wa Watanzania. Bila kujua utamaduni wa Watanzania unabadilika hasa nyakati hizi badala ya kubadilika nao CCM bado wana fikiri Watanzania ndiyo watafuata utamaduni wao.
Ili kufanikisha hili ni lazima kwanza uwe na watu wa aina mmoja kama China kitu...
Mgombea Mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema endapo chama hicho kitapata ridhaa ya kuunda Serikali, mikopo ya asilimia 10 kutoka mapato ya ndani ya halmashauri haitatolewa kwa upendeleo.
Minja amesema hayo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 8, 2025, ameendelea na kampeni zake za mtaa kwa mtaa katika Kata ya Goba, mtaa wa Matosa, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Kinabo amemuita mgombea Ubunge wa CCM...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi Daniel Awaki, ameonesha ukomavu wa kisiasa kwa kupanda jukwaani kwa mara ya pili kumuombea Awaki...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan.
Kumeibuka malalamiko kuwa mamlaka zimeficha taarifa hiyo ya ajali, huku majeruhi wakidaiwa kutelekezwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.
Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika...
Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa.
Ambwene ameomba radhi na amefafanua kwa mgombea aliyekwenda kumuunga mkono ni jamaa yake wa siku nyingi na alimualika katika ufunguzi...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho.
Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...