ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

    Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana. Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas. Maendeleo hayana vyama!
  2. J

    2019 umekuwa mwaka mgumu kwa CHADEMA lakini wenye mafanikio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Kiukweli mwaka 2019 unaoelekea ukingoni umekuwa mgumu sana kwa Chadema ambayo ilikimbiwa na wabunge wake wengi. Kadhalika ni mwaka ambao Chadema ilimpoteza mwanachama wake maarufu kuliko wote mzee Lowassa aliyehamia CCM. Pia mzee Sumaye na mzee Mgeja na kundi kubwa la madiwani waliamua kuachana...
  3. Superbug

    A humble request to CCM

    Dear CCM central commetee ! I'm presenting this to you knowing that you have all powers and resources to heal the nation. Nyerere once said whoever would be nominated by CCM he would likely be the head of our house. Considering this mwalimu's statement plz do all what you can to bring another...
  4. J

    Kwanini CHADEMA na CCM haziwaamini wanawake kwenye nafasi za juu za uongozi kama Mwenyekiti, Makamo, Katibu mkuu na manaibu wake?

    Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni? Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu...
  5. J

    Bakhresa alijenga ofisi ya CCM tawi la Masaki RC Makonda anajenga ofisi za wilaya ya Kinondoni, CCM haikumbatii umaskini

    Kiukweli ukiziangalia ofisi za CCM tawi la Masaki halafu ukayapitia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani pale Ufipa lazima utajifunza kitu. Ofisi za CCM masaki zimejengwa na billionea Bakhresa. Najiuliza tu kuna wakati bilionea Sabodo alitangaza kuwajengea Chadema jengo la makao yao...
  6. R

    CHADEMA haina chuki na CCM, lakini CCM ina chuki na CHADEMA hivi ni kwanini?

    Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA? =====
  7. Return Of Undertaker

    Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

    1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe 2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed 3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu 4. KATIBU MKUU - John John Mnyika 5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila 6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA 1. John W. Heche 2...
  8. pantheraleo

    Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

    Habari wakuu, Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
  9. Luqman mohamedy

    Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
  10. CCM Music

    CCM wenzangu: Ni kitu gani kinachotushinda kufanya siasa za kisayansi na za kisasa zaidi? Mbona tunafanya siasa za ki polisi polisi zaidi?

    Hili swali naelekeza kwa wana CCM wenzangu? CCM ina hazina kubwa sana ya watu wenye upeo mkubwa sana. Ina wasomi wazuri sana kwa kila nyanja. Sasa, najiuliza. Nini kinatushinda katika kufanya siasa za kisasa zaidi badala ya siasa za ki polisi polisi? Hawa wapinzani mbona wepesi sana, wala...
  11. Boniphace Kichonge

    Zelothe Stephen Zelothe achaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa CCM Arusha

    Wadau. CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo. Matokeo Kamili: Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata Kura 468. Dkt Batilda Burian Amepata Kura 339. Ndg.Bakari Msangi Amepata Kura 48. Msimamizi wa...
  12. K

    CCM inaangushwa huko mbele kwa kuwa mayai mayai

    CCM itakutana na tatizo moja kubwa miaka ijayo ukifika muda ambao huwezi kushinda kwa kuiba kura. Tatizo kubwa watakalo lipata ni kwamba viongozi wengi hawana uvumilivu hata kidogo. Hakuna kiongozi anayejua jela likoje, hakuna kiongozi ambaye anaogopa maisha yake kuwindwa na kutaka kuuliwa au...
  13. J

    Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

    Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa. Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo...
  14. chiembe

    Kumbukizi: Marehemu Horace Kolimba aliitwa ajieleze kwa kusema CCM imekosa dira, apumzike kwa amani

    Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
  15. Mystery

    Hivi ni kwanini Baraza Kuu la CCM liliwaita na kutaka kuwahoji akina Membe na kumwacha Musiba?

    Kwenye sheria ni lazima unapohitaji haki itendeke uhusishe pande zote ili uujue ukweli na ufanye uamuzi usiopendelea upande mmoja Nimesikia kwenye kikao cha baraza kuu la CCM kilichomalizika siku chache zilizopita, huko Mwanza, kuwa kimeamua kuwaita akina Bernard Membe, Abdurahman Kinana na...
  16. Boniphace Kichonge

    Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu. Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo...
  17. chiembe

    Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

    Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa. Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza...
  18. M

    Kamati ya Maadili ya CCM: Kangaroo court

    Kuna makosa ya msingi sana kikao kilichoamua kuwapeleka wazee akina Makamba, Kinana na Membe kwenye kamati ya maadili. 1. Wajumbe wa kikao cha maadili wameshatoa hukumu yao. Katibu mkuu wa CCM ambaye ni mjumbe wa kamati ya maadili ameshasikika tangu zile sauti zilizodukuliwa zilipovuja akitoa...
  19. Miss Zomboko

    Membe: Nasubiri kwa hamu barua ya wito CCM. Hoja zitatolewa na hoja zitapanguliwa

    Bernard Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa nchini Tanzania, Benard Membe amesema, anasubiri kwa hamu, barua ya wito ya kumtaka kufika kwenye Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  20. J

    Vikao vya CCM vimeufunika uchaguzi mkuu wa Chadema, Mbowe na Mwambe wasahaulika katika mijadala

    Kiukweli uchaguzi mkuu wa Chadema kwa sasa unakwenda kimya kimya na hii ni kutokana na vikao vya kihistoria vya CCM vinavyofanyika jijini Mwanza. Habari kuu katika media zote imekuwa ni vikao vya CCM, na hata uchaguzi wa Bavicha na Bawacha umejulikana zaidi kwa wana Ufipa wenyewe. Na hii ni...
Back
Top Bottom