ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kwa Muktadha na kwa uchambuzi wa kina CCM ndio taasisi pekee itakayolinda maslahi mapana ya JMT

    Nikiwa kama mkongwe katika siasa za chini kwa chini au ndani kwa ndani leo tena narudi kwenu watanzania wazalendo kuwakumbusha kuwa kamwe hakuna Chama chochote cha Siasa ambacho kitaleta mabadiliko ya kweli na ya enzi zaidi ya C.C.M. kwa maslahi ya wanyonge. Nilipokuwa kijana sana nilianza na...
  2. CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  3. Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  4. Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  5. L

    Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  6. Kama ni mpira dakika ni ya 35" CCM 4 WANAHARAKATI/CHADEMA/WANANCHI 1

    Hii mbungi imelala upande mmoja NJAA HAINA BAUNSA.
  7. F

    Hili linafikirisha, waliopoteza ndugu zao wanailaumu Serikali Kwa mauwaji, ila Lema na CCM wanaungana kumlaumu Mange,stuka!

    Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako". Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja . Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
  8. LEMA waambie walokutuma, Hatuogopi kufungwa kwa sababu ya Ripoti za Kihuni za JAJI Chande na JAJI Lila,Kwann CCM hawataki uchunguzi Huru?

    Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??. Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe??? Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
  9. Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  10. Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  11. CHAUMMA na CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Lema kuwa Mbunge

    Hii ndiyo habari ya mjini
  12. M

    JWTZ Kama taarifa hii mmeikana, msahau kushinda vita au kuilinda Nchi, Siasa za CCM zimeua Taifa.

    Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi. Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha. Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
  13. Ukitaka kujua kama mtu ni mwehu, subiri apewe madaraka CCM.

    Risiti 👇 Huyu mheshimiwa anadai kuwa ukitaka kujua kama mtu ana akili timamu ama ni mwehu, basi subiri apewe cheo CCM.
  14. Ni kwamba CCM inatumia kujionesha ina onewa kwa kisingizio cha imani yake.

    Ukiangalia kwa ukaribu unaona mpaka sasa ni dini inaonyesha CCM wanataka kuaminisha kuwa wakristo hawa mtaki musilamu.Wakati sio. Ukikagua mitandao ya kijamii wanao shabikia ni ID bandia asilimia kubwa zenye majina yankiislamu na wapo waislamu ambao wanatokea znz ndio wanaunga mkono. Ili jambo...
  15. B

    Serikali kazi yake ni kuwahukumu waovu ,dini kazi yake ni kuwaonya na kuwakemea waovu waache dhambi zao

    Serikali kazi yake ni kuwahukumu waovu ,dini kazi yake ni kuwaonya na kuwakemea waovu waache dhambi zao. WE ELEWA HIVYO
  16. M

    Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, Ccm ingechomolewa ! Mbeya ni moyo wa harakati, historia ya kupambania haki na hawayumbi kirahisi kwa asali.

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  17. Unajuwa kwa nini serikali ya CCm inatumia nguvu kuficha ukweli October 29 .Sita sahau na ni ngumu kufutika akilini.

    Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu. Hii kazi mungu ni samahee
  18. Hivi CCM hii bajeti mnayotumia kukesha kujisafisha kuanzia mitandaoni,sanaa ,utekaji,nguvu ya dola na kujikosha

    Kwa jinsi pesa zinavyotoka na zinachotwa serikalini ili kujisafisha na kulazimisha kuwa yajatokea mnapata ujasiri gani. Mfano leo mnachoma mafuta ,mnajaza askari na wanajeshi kila mkisikia wasi wasi. Jambo lengine kulazimisha wasanii wawasifu,kujaza watu mitandao ya kijamii kujisafisha. Yetu...
  19. CCM haiwezi kutolewa Kwa nadharia iliyopotoshwa

    Nadharia kwamba watanzania wataichukia na kuiondosha CCM madarakani kwa kuambiwa "mabaya yake" imepotoshwa. Hakuna mtanzania ambaye hayajui mabaya ya CCM na dhuluma zake pamoja na madhara ya chama hicho kuwepo madarakani. Kila mtanzania anajua CCM ndiyo asili ya madhila yetu watanzania. Kwa...
  20. R

    PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya 'kazi ya kutukuka' Oktoba 29 kwa Taifa letu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu Kikeke, unafahamu kwamba katika nchi yoyote na Tanzania haina tofauti, vyombo vya ulinzi na usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…