ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    Kama Tundu Lisu anashambulia na CCM ishambulie pia isipaki basi, ipande na kushuka kama timu

    Haina sababu kumlalamikia Tundu Lisu kwa sababu ushindi ni mbinu na CHADEMA wameamua kutumia mfumo wa kumuweka mshambuliaji mmoja mbele na kujaza viungo kibao katikati. Naiona CCM ikijaribu kupaki bus mbinu za Morinho ambazo zinaruhusu mashambulizi ili wewe uzuie tu na kupata sare. Mbinu hii...
  2. Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona. Je, aliogopa wasanii...
  3. GE2020 Dkt. Bashiru Ali: Wote waliotia nia kugombea Ubunge wabaki kwenye Majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu

    KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020. Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
  4. GE2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

    Wasalaam, Nimetafakari na kushangaa kwa ni nini chama dola chama pendwa CCM kinatumia nguvu nyingi ikiwamo vitisho kumnadi magufuli ili hali Mh kaleta maendeleo kama flyover, mabarabara na hospitali? Tumeshudia CCM ikiandaa tamasha kubwa na kulipa wasanii zaidi ya mia2 ili kuwatumia katika...
  5. GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

    Published on Aug 17, 2020 Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
  6. R

    GE2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
  7. GE2020 CCM haina uwezo wa kumuondoa mgombea yeyote kwa sababu ya kutoa rushwa, labda iwe kwa sababu nyingine

    Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo alichonacho hana mamlaka ya kumuengua mtu yeyote kwa tuhuma zozote (soma majukumu wa katibu mwenezi...
  8. GE2020 Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa" Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo...
  9. Kuwa Mpinzani au CCM haimaanishi uwachukie na kuwatukana Upande wa Pili

    CCM ina watu wengi wa hovyo ambao wanaishi kwa kujipendekeza na kuangalia maslah yao. Tuna mfano wa Nape Nnauye huyu tunafahamu kwa kiasi kikubwa alikosa malezi mazuri baada ya kulelewa na baba ambaye si wa damu yake. Kipindi kile anapambania tumbo lake wapinzani hawa hawa walianza mpamba na...
  10. M

    Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

    Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake...
  11. T

    CCM yangu tunazidi kuonesha ushamba! Sio kupigiwa kura tu hata kukihama CCM sasa nipo tayari maana tunachukiwa kweli!

    Ndiyo maana tumekuwa tukiitwa "watawala washamba" - hii ni kweli kabisa kabisa! Tena ninashuhudia jinsi tunavyochukiwa - hatuoneshwi wazi lakini CCM wenzangu ukweli ni tunachukiwa kweli kweli! Tunajaribu kuminya uhuru wa vyombo vya habari - lakini simu hizi ndiyo zinatumaliza zaidi. Watu...
  12. GE2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

    Kwanza kabisa waandaaji hawakuwa na uhakika wa kile walichokua wanataka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road. Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikuwa na kupigana...
  13. R

    Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

    “Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
  14. J

    GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  15. TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

    Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari... Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari... Ukiingia katika website ya...
  16. Maisha ya Nape CCM Ni sawa na maisha ya digidigi porini

    Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM. Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM. Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi. Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM. Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba...
  17. Kwa picha ya kiroho, Ilikuwa lazima tukio la jana litokee uwanja wa uhuru. Mungu anazidi kupeleka ujumbe kwa CCM

    Namejaribu kuangalia tafsiri ya picha kwa kilichotokea jana. Adam Mchomvu kavalia shirt iliyoandikwa 1961 ambayo ndo siku ya Uhuru. Naamua kumuweka kama mwananchi anayependa maudhui ya kwanini tulipata uhuru mwaka 1961. Jukwaani yupo Emmanuel Mbasha amevalia mavazi ya kada wa CCM na kofia ya...
  18. J

    Wagombea ubunge Mwijaku na Mbasha wameiaibisha CCM kwa kukosa maadili

    CCM ni chama cha watu wastaarabu wasiopenda tabia za hovyo hovyo sasa inapotokea wanachama wake tena wanaogombea uongozi kukosa maadili inafikirisha sana. Hebu fikiria unapokuwa na mbunge anayetuhumiwa kupost picha za utupu mitandaoni taswira ya chama inaonekanaje? Au mbunge anayepigwa mitama...
  19. CCM wanatumia voter suppression tactics lakini Watanzania wa leo sio wajinga

    Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting. Kwa Kiswahili...
  20. CCM wanajua kucheza Kete za Draft

    CCM WANAJUA KUCHEZA NA KETE ZA DRAFT Na, Robert Heriel Siasa ni kama mchezo wa Draft, mchezo unaohitaji akili zaidi kuliko jambo jingine, Mchezo wa Daft unahitaji mtu mwenye hesabu za mbele na haraka mno, Mchezo wa Draft unahitaji mtu anayejua na kuiona mitego ya adui, Mchezo wa Draft...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…