ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    GE2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

    Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio. Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
  2. GE2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama CCM chama changu, ni wazi kuwa Viongozi wake na Mgombea mwenyewe amejipanga vyema sana. Leo...
  3. M

    GE2020 Tunaoona mbali tulionya jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa

    Wadau, Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi. Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji...
  4. S

    GE2020 Kura kwa mwananchi ni kuchagua Kiongozi mtenda haki na sio chama. CCM hawatendi haki

    CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na usalama ikiwemo mahakama. CCM inaingilia uhuru wa vyombo hivyo bila ya aibu mchana kweupe na...
  5. T

    GE2020 Kwanini tuichague CCM na Magufuli kwa miaka mitano tena?

    Na: Giantist McWenceslaus Dodoma Ndugu wanabodi habari zenu. Jioni ya Leo nimeona niwaletee kwenu uzi wenye faida kwenu kwa sasa na kwa vizazi vyenu vya baadaye. Napenda nitangulize utambulisho wangu mdogo kwenu. Jina langu nimeshaliandika hapo juu, mimi ni mwanachama kijana wa chama pendwa...
  6. GE2020 Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ni kama Lowassa wa 2015, watu (watoto) wanafurika kwenye mikutano yake lakini hana cha kuwaambia

    Nakumbuka 2015 nilihudhuria mikutano mitatu mikubwa ya Lowassa lakini niliishia kufedheheka sana, Huyu ni Kiongozi ambaye nilimpenda tangu nilipomwona mwaka 1994 akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, alikuwa mahiri mno katika kuzungumza, haiba ya kuvutia na mvuto wa Ujana na pesa...
  7. Hussein Mwinyi na CCM wana faida gani kwa Wazanzibari?

    Viongozi wa CCM Tanganyika walipomchagua Hassan Mwinyi ili aje kuwa Rais wa Zanzibar, miongoni mwa sifa waliziompa ni mtu mpole na mkimya. Lakini hebu tujiulize sisi Wazanzibari huu upole wake utatusaidia nini!? Na huu ukimya wake wa kusema mengine na akayatenda mengine, tutanufaika nini? Yeye...
  8. GE2020 Yaani CCM ni SGR, Ndege na Stieglers. Ndiyo sera yao kila mahali

    Yaani kila mahali wimbo wao Ndege, SGR na STIGLERS kila mahali kwenye mabrasha yao wanatembea na hayo mambo 3. Yaani huwezi kumkuta mtu anaimba nje ya hayo. Hivi hayo mmefanya kwa pesa zenu? Hawa jamaa hawana jipya hadi wanatia huruma. Haya mambo matatu utafikiri ndio ilani yao. Hawana mapya...
  9. GE2020 Ilani ya CCM inasemaje kuhusu Ndege?

    Wale wafuasi wa CCM tunaomba mtuambie, ilani yenu ya chama inasemaje kuhusu ndege! Huwa nasikia sikia tu "ilani ya ccm", lakini binafsi sijawahi hata kuisoma. Huwa naona kama ni kijarida cha kitapeli tu. Tunaomba kufahamu, hiyo ilani yenu inazungumza kuhusu ndege tu kuanzia kurasa ya kwanza...
  10. GE2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

    Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
  11. Q

    GE2020 Hadi sasa kimkakati CHADEMA wameizidi CCM

    Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa.... Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari, viwanja, pesa you name it, lkn haina tofauti kubwa na Chadema inayotumia resources chache ilizonazo...
  12. GE2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

    Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa. CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi...
  13. T

    Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

    Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha wasanii watatu ambao ni Luludiva, Belle9 na Bonge la Nyau ambao wamepata ajali hii leo wakati wakitokea mkoani Iringa wanapata matibabu haraka. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Humphrey Polepole kupitia ukurasa...
  14. Mafanikio ya miaka mitano ya CCM, wateule wa Rais Magufuli hawatatui kero za Wananchi. Hapa tatizo lipo wapi?

    Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM. Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
  15. S

    Tamasha la nyimbo za CCM Zanzibar ovyo - Mgombea Urais asepa kiaina

    Nilijua tu hakuna kitu pale tamasha la kuwaburudisha wananchi lilikuwa ovyo sana ukiangalia kwa makini waliohudhuria ni wachache sio matarajio ,kiasi ya kubadilisha mada na kuliita tamasha la nyimbo za uchaguzi na huku mgeni wa heshima kuambia amehudhuria kwa sapraizi,wanadanganyana wenyewe kwa...
  16. J

    CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kimepokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya iliyowahusisha Wasanii Belle 9 na Bonge la nyau. Polepole amewatakia uponyaji wa haraka na kwamba chama kinafuatilia kwa karibu tukio na chanzo cha ajali hiyo. Source Ayo tv Maendeleo hayana vyama! ===...
  17. J

    Maendeleo ya mtu yako katika Uhuru wa kuabudu, mengine yote ni maendeleo ya vitu CCM wasitegeke na Tundu Lissu

    Kwa kifupi sana. CCM imeruhusu uhuru wa kuabudu kwamba kila mtu ana haki ya kuabudu katika imani anayoiamini. Viongozi wa dini ndio wenye jukumu la kuhakikisha " mtu" anaendelea kiroho na kimwili. Mambo mengine yanayosimamiwa na serikali kwamba tuwe na viwanda ili watu wavae na kula pamoja na...
  18. GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali. Mwaka 2015, Dkt...
  19. GE2020 Karatu: Shughuli imeanza, mgombea Ubunge wa CHADEMA aendelea na kampeni

    Ni kama game ni ya upande mmoja tu, kampa kampa tena na hakuna namna CCM inaweza kuambulia chochote bali kuna tetesi kwamba mgombea wao wa ubunge anafikiria kujitoa. Hata ungekuwa wewe kwa hali kama hii ungefanyaje?
  20. GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…