Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao...
Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli.
1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti.
2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa.
3. Watumishi wana CCM waliofuzwa...
Na Bwanku M Bwanku.
Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya wajasiriamali kimafunzo, kisera na kimikopo, wafanyabiashara wadogo na kuwawezesha vijana pamoja na mpango wa...
Hii inamaanisha nini?
Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama
Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha?
Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii?
FYI: Ukiachana na gari...
Jiulizeni kwanini Zambia Afrikan Neshino Konglesi kiliangushwa na wapinzani si malaika MCP. Malawi Konglesi Pati kiliangushwa na wapinzani na si malaika. KANU chama cha Jomo Kenyata pia kiliangushwa na wapinzani.
Tuanzie Malawi, Bakili Muluzi wa Unaitedi Democratik Fronti alimtoa Kamuzu Banda...
Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.
Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
CCM MBEYA MJINI, WAIJIBU CHADEMA
Na Elius Ndabila
Wiki iliyopita Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walifanya mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa kuomba kura kwa Mh Lisu anaye gombea Urais ulihudhuriwa na watu wengi...
Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola.
Je, hawajiamini ushindani wa hoja?
Je, wamefanya makosa mengi?
Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana?
Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani?
Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura?
Je...
Na Bwanku M Bwanku
Fursa za ajira ni eneo muhimu sana katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii ambapo jamii hususan vijana hupewa nafasi ya kuchangia utaalam wao katika kufanya kazi ili kuchangia kukuza maendeleo ya Taifa. Serikali iliyoundwa na CCM katika miaka mitano iliyopita iliweka...
Nimefuatilia kwa umakini kuhusu kampeni zinazoendelea hadi sasa. Kimsingi CCM inaongoza kwa mikakati na mbinu bora zaidi kuliko vyama vingine vya Chadema,ACT nk na hivyo kuwa na nafasi nzuri ya kushinda asilimia 80+ Hii ni kutokana na sababu zifuatazo:
1. CCM imeweza kuwatumia makada wake...
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
Na: Giantist McWenceslaus
09/09/2020.
Dodoma.
Habari za leo, ndugu wanabodi wenzangu... Tangu uhuru hata sasa, Tanzania imeendelea kuwa salama, kwa sababu ya kuwepo kwa viongozi wazalendo na wenye kuwajali watanzania wenzao wote. Na usalama huo wa Tanzania, imesababishwa kwa kuwepo kwa haki na...
Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari.
Haya ni baadhi ya aliyoyasema:
======
Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu!
> Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni.
Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania.
Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59?
Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii.
SABABU ZENYEWE
1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri.
=======
10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani
10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.