Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.
Ratiba yake kwa hizo siku...
Jiji la Mwanza latoa Tsh. bilioni 2.75, uchaguzi Nyamagana CCM kupeta
Serikali imetumia zaidi ya Tsh. Bilioni mbili (2) kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika halmashauri ya jiji la Mwanza kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Fedha hizo zilitolewa na jiji la...
Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
It should be remembered that after Nyerere retired Tanzanians decided to turn to western countries model of life. We privatized every thing including public toilets under President Mwinyi and Mkapa.
Then Under Kikwete we gave all western investors whatever they wanted under whatever conditions...
Ni sababu gani zimewafanya CCM kukimbilia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? Nini kimewakuta na kuwasibu ? Wanaitegemea Tume ya uchaguzi kuliko Mungu, wamehisi kitu gani?
Sasa niwaulize siku nayo ikifika vyombo hivi vikawageuka na kuwaepuka CCM ,yaani umefikia wakati wa vyombo hivi kuwaambia...
Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona alikuwa anatulia anafundishwa na Musa na anakubali maelekezo sembuse Chadema na wapinzani? Tutakaa...
Ni vyema wawaambie Wazanzibari wameshindwa nini kuiletea Zanzibar maendeleo tokea 1977 wakati Chama chao kilipoanzishwa hadi leo? Cha muhimu zaidi, wawajibu Wazanzibari angalau Masuala 7 yafuatayo kati ya masuala zaidi ya 700 ambayo Wazanzibari wanayo:
- Kwa nini walitumia Jeshi mwaka 2015...
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.
Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja wamesema CCM ndio waliowapiga lakini Katibu wa CCM Bariadi amesema wafuasi hao wa Nccr mageuzi ndio...
Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma.
Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais huyo wa Marekani anatafuta kura za huruma.
Kura za huruma zinapigwaje?
Maendeleo hayana vyama!
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi...
Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa SGR, flyover nk
Utakuta mtu anasema kwa nini unapanda ndege za ATC alizonunua Magufuli wakati...
Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika.
Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power.
Sitegemei CCM...
Habari za wakati huu;
Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe.
Kwanza kabisa nimesikitishwa kwa msomi kama yeye kutuambia kwamba TUMPE KURA MAGUFULI KAMA SHUKRANI. Amenikera na kuniudhi sana...
Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga wahindi wanaita tufani hapo tarehe 28 kuamkia 29 mwezi huu wa kumi 2020.
Inaanzwa na kumuondoa...
Salaam wana jamvi,
Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu.
Kuna wengi hawajui kuhusu CCM, wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama vingine,ukweli ni kuwa, CCM sio tu ni chama cha siasa, kama vyama vingine, CCM ni chama tawala...
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.
Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa.
Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Ameandika Malisa GJ kuhusu Mauaji ya Mlelwa wa CCM Njombe
Kwanza kabisa nalaani mauaji ya Bwana Emmanuel Mlelwa kada wa CCM anayedaiwa kuuawa huko Njombe. Either mauaji haya yametokana na sababu za kisiasa au zisizo za kisiasa tunapaswa kukemea kwa nguvu zote. Hakuna sababu yoyote inayo-justify...
Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa
1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye...
Uwongo wao unaonekana wazi wazi mbali ya vitendo vyao hata kauli zao, hawa si wa kuwaamini. Huyu Polepole aliapa na kuwaambia wananchi wasiipe kura CCM au wasiichague CCM na hawa waliofikia hadi kuwa mawaziri na kufika kugombea uraisi wote walisema na kuapa kuiswaga CCM, leo wote wamerudi.
Una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.