ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. CCM inatakiwa kuelewa huwezi kuzuia mabadiliko ila unaweza kuchelewesha kwa muda tu .Chadema itafanikiwa licha ya changamoto inazopitia

    Serikali ya CCM inajaribu kupambana na Chadema ili kuwakatisha tamaa lakini kwa ninavoona hawataweza hiki chama kimegoma kufuatia maelekezo ya CCM. Hakuna namna CCM lazima ikubaliane na matakwa ya wananchi unaweza kuchelewesha kwa muda lakini haitaweza kuzuia mabadiliko.
  2. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  3. Machawa WA CCM mmepoa ,Nini shida,,?

    Mmekuwa wepesi kutetea chama kuliko kutetea ukweli. Serikali inapokosea mnatafuta visingizio, mkikosa hoja mnaanza kutukana na kushambulia watu binafsi. Mnachanganya CCM na Tanzania kana kwamba kuikosoa serikali ni kukichukia chama. Uzalendo si kutetea kila kosa la viongozi, bali ni kuwa na...
  4. Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  5. R

    CCM, LOVE THY NEIGHBOR

    Angalia uchaguzi wa USA, kila mmoja yuko Happy. Aliyeshinda, aliyeshindwa all are happy, maana HAKI IMETENDEKA. Hakuna anayelelamika maana haki imetendeka Kweli hamna la kujifunza? WASIRA, HUNA LA KUJIFUNZA, ASHO ROSE MIGIRO, HUNA LA KUJIFUNZA.... FARIS HUNA LA KUJIFUNZA BALI KUWAPOTEZA WAPINZANI!
  6. CCM INAHITAJI SIASA ZA KIHARAKATI

    Nimefuatilia mjadala wa kada mmoja wa chama Cha upinzani na kugundua kwamba anajaribu kujenga mazingira ya kuaminiwa na wananchi, ukaribu wake kwa viongozi wa CCM,nia ya kumtetea mwenyekiti wake na hofu ya wanaharakati kuingilia mambo ya chama chao. Ukifuatilia vizuri ni kwamba ana hoja za...
  7. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  8. Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
  9. Wassira akimpongeza LEMA, amedhihirisha namna gani Lissu na Heche wamewakaba Koo CCM, na namna gan LEMA ni Dalali lao la CCM !!

    Huwezi sifiwa na CCM kama hawana Masilahi nawewe. Huwezi kutaka huruma za CCM badala ya Utawala Bora wa Sheria , Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji . LEMA Tumekupuuza !!.
  10. J

    Nawaona viongozi wa Serikali, Bunge, na CCM, wakivamia msiba wa Mzee Alute. Msiba hauna mualiko

    Habari ya mjini ndiyo hiyo. Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima. Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29.
  11. Nov 6, ni Hukumu inayoenda Kufungua Milango ya Marekani, Ulaya, ICC kuwashughulikia Wahusika wa mauaji ya Oktoba 29,Utekaji

    Miezi michache ilopita, Mliaanza kulia lia mliposikia Kuna Orodha ya Viongozi watawekewa VIKWAZO na Marekan/EU. Bungeni mkaanza kulia lia na kupayuka. Sasa Mfungeni Lissu JELA !!! Nyie simna Majeshi, mna honga makamouni yawatetee. Haya mfungeni!!. Dunia Haijawahi kalia Kimya, Mauaji ya...
  12. DIASPORA/WANAHARAKATI mnaowajibu wa Kumreport LEMA kwa Serikali za Canada /USA , kama Jasusi la CCM anayewakamatisha Wakosoaji wa Serikali !!

    Huyu LEMA alimkimbia Magufuli na kukimbilia Canada na Familia yake kwa msaada wa akina Maria Sarungi . Alipata Hifadhi Canada, kwa sababu tu ni MWANACHADEMA , Mpinzani na Mkosoaji wa Magufuli ambaye aliamua kwenda Canada kutafuta Hifadhi Magufuli amekufa, na kwakua Amekufa, LEMA akapigiwa...
  13. Britanicca: Hebu tulia vizuri na chunguza kwa makini; Ufinyu wa Demokrasia CHADEMA ni nafuu mno kuliko ilivyo ndani ya CCM na vyama vingine

    TULIENI SASA NA MSOME VEMA UZI HUU Huyu Charles ni mchambuzi mzuri, ndiyo naenda na hiyo hoja yake ya pili. Hoja ya kwanza kwamba Godbless Lema kasaliti, binafsi mimi siiamini sana mpaka tujiridhishe.... Hoja ya tatu ni kwamba ni kweli CHADEMA kuna ufinyu wa Demokrasia? Si vibaya, na pengine...
  14. Mambo mengine CHADEMA jifunzeni Kwa CCM Lema Leo akitakiwa kua amefukuzwa CHADEMA

    CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM. Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea...
  15. M

    Dr. Slaa: Kwa Press ya jana, Lema kajiweka wazi kuwa ndiye agent wa CCM kuwauza wenzake ndani ya CHADEMA

    Dr Slaa amlipua Lema kuhusu Press conference yake. https://youtu.be/3GiiOtpAgPw?si=tapw60NlNh7xEUpW
  16. K

    Lema yuko sahihi Kwa siasa za wakati ule . Ambapo siasa ilikuwa ni mchezo mchafu, danganya wananchi ili wao wale washibe

    Habari wadau, baada ya kumsikiliza Lema, Kuna mambo nimeyaona 1.Bado anaishi enzi za mwenyekiti Mbowe za siasa biashara walikuwa wanakula posho na fursa nyingi pia wakipewa upendeleo fulani na serikali. Magu ndio alietusanua akawatupilia mbali na mfano alimtosa Zito kabwe na ACT yake...
  17. C

    Saidi Miraji: CCM ikipunguza mkosa upinzani nchini Tanzania utakosa sera

    Mwalimu Julius Nyerere alisema Vyama vya upinzani vinawekeza kutokana na mapungufu ya CCM na siku CCM Ikipunguza kufanya makosa baadhi ya Vyama vitakosa sera. Alikuwa akisisitiza sana Vyama vijikite katika kutengeneza sera. Ukichunguza Vyama vya NCCR MAGEUZI, CUF, CHADEMA wengi wamepata nguvu...
  18. Mechi ya CCM na LISSU inakalibia kuisha LEMA kama analeta vurugu uwanjani bila kujali wakati

    Yawezekana LEMA YUPO KAZINI NA AMESHAKUA POSHO na anatakiwa kubadili matokeo yawe upande wa waliomtu ila inashindikana na muda hautoshi
  19. AMEPOTEA NA HAONEKANI: Nani asiyejua viongozi wote wa Dola( JWTZ, TISS,POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI)ni Mali ya CCM ?

    .
  20. CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…