ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  2. Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  3. F

    Kwanini uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa?

    Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani. Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
  4. Calculation haziko sawa CCM maybe Chongolo na Idara ya Organization mmeshindwa

    Team Samia Suluhu Hassan was not observed during general meeting kosa ni kuwa Chongolo umefeli kutengeneza team Mama kwenye huu uchaguzi sijui ulikua unafanya nini maybe you don't know your power au you are buzzy for nothing angalia zimebaki team lakezone inayoungwa mkono na kusini na team Msoga...
  5. Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

    Busara ni kitu cha bure. Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha. Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba. Maneno ya mzee Yusufu...
  6. CCM hii ya 2025 ni ya Mzee Makamba na Mzee Kikwete

    Hakuna ubishi kuwa uchaguzi huu wa CCM umetengeneza CCM ambayo inafanana zaidi na Mzee Jakaya na Mzee Yusufu kwa tabia, muonekano na DNA. Nionavyo Mimi CCM hii imetundikwa kwenye mabega ya wazee Kinana na Makamba na vijana wao akina akina Nape na January chini ya uongozi wa Mzee Jakaya (baba...
  7. Mkutano wa CCM ulijaa Vijembe, Mizaha, na Rushwa

    Kwa mtazamo Wangu CCM wanahitaji kujitafakari pakubwa saaaana. Na kama Wana CCM hawataamka na kutetea Chama Cha Mambuzi, wataendelea kudharaulika. Huwezi kuandaa mkutano wa mabilioni huku ukiacha mkutano huo utawaliwe na Vijembe, Mizaha na Rushwa. Je, mlienda Dodoma kusimangana? Mnaanza...
  8. S

    Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  9. CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

    1. Kikwete 2. Kinana 3. Makamba 4. Rostam Aziz 5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec. Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu. Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali...
  10. Idugunde: CCM inawatala watanzania kisultan na kibabe watanzania walishaichoka ila basi

    Diallo business tycoon wa Mwanza alisema kweli. CcM wanapora chaguzi. Hawakubaliki. Hili lipo wazi kila kona ya Tanzania. Kuna familia za wanaCCM wanaona hii nchi ni mali yao ya kuitafuna na kurithishana kuitafuna.
  11. K

    Wazee wa CCM wataka wajumbe waridhie Rais Samia kugombea 2025

    Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi wasimame na kupitisha azimio la kuwa Samia Suluhu ndiye atakua mgombea pekee kwa mwaka 2025. "Naona kila...
  12. Nawashukuru wajumbe wa CCM, Tusichanganye Siasa na Mpira au Siasa na sekta ya Habari, ni hatari kwa Taifa

    Mimi sijawai na sitawai kuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia Kaburini Ila ccm ikifanya vizuri tuwapongeze. Uchaguzi uliofanyika jana kiukweli nimeupenda kwa kuwa na sifa moja tu. Kutengenisha kitu kinaitwa Mpira na Siasa kutengenisha sector ya Habari na Siasa, pia naiomba ccm waende mbali...
  13. Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

    Unjani sabuwona Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao. Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo...
  14. Huyu mzee alijiunga na CCM lini?

    Nijuavyo alikuwa ni mtumishi wa umma huko Zanzibar. Sasa hayo manguo ya kijani vipi tena leo?
  15. USHAURI: Wajumbe wa NEC-CCM waliopata kura zaidi ya 269 ni hazina kwa CCM kuelekea 2025, wateuliwe

    Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako. Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu...
  16. T

    Jambo la CCM linateka attention ya nchi yote kuwa upinzani ni kupoteza muda na malengo

    Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
  17. S

    Job Ndugai ahudhuria mkutano mkuu wa CCM kinyonge. He is haunted by the spirit of vindictiveness

    Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai). Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake. Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
  18. Mzee Mwinyi augua, ashindwa kuhudhuria mkutano wa CCM Dodoma

    Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa CCM baada ya kuugua mafua makali akiwa tayari yuko jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu leo Desemba 6, 2022 wakati akisoma salamu zake katika mkutano mkuu wa 10 unaoendelea...
  19. K

    Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  20. Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…