ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mpaka inafika 2030 CCM mtandao watatuumiza sana kama taifa. Watatunyonya mpaka tutakoma

    Watakamata na kuua watu, wataiba mali za umma. Watateka na kuua watu. Umasikini utatamalaki maana wao na familia zao watakula mema ya nchi. Tufanyeje ili waondoke madarakani kabla ya 2030?
  2. Kijana Mara: Nilikuwa CHADEMA nimetumiwa vibaya sana na Heche, kwa sasa nataka kurudi CCM

    Kijana ambaye amezaliwa Rorya na akakulia Mara, ametoa changamoto zake anazopitia kwa kusema Nilikuwa CHADEMA nimetumiwa vibaya sana na Heche, kwa sasa nataka kurudi CCM hayo ameyazungumza mbele ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Kwa kifupi ametafuta huruma ya kusaidiwa tu!
  3. Waislamu wanafurahia wengi na ndio wanatumiwa na CCM kama kinga.

    Hizi ID zinaficha mengi ila waislamu wametumiwa kama kinga ya CCM na hususani Tanganyika ila kama mtakataa kuna mapendekezo samia kubaki mpaka kufa kwake. Maana yake kutoweza kushtakiwa wala kufungwa kama alivyo Museveni.
  4. Ana maadui wengi ndani ya CCM kuliko hao CHADEMA anaowafunga na kuwakamata hovyo

    Hivi hili nalo lina siri? Hana washauri wa karibu wa kumpa ukweli? Maana hata ishu ya Oktoba 29 mwaka 2025 kuwasingizia CHADEMA ya Lissu kuwa walihusika ni uongo na kutwanga maji kwenye kinu. Kundi lake kiongozi huyu linajulikana kuwa ni wanaMtandao na waovu ambao wanaCCM ambao wanajinasibu...
  5. K

    CCM wa bara mkiendeleza kula rojo rojo mtatawaliwa wa wanzanzibari tu

    CCM wa bara mkiendeleza kula rojo rojo mtatawaliwa wa wanzanzibari tu. Jiulizeni ni lini kiongozi yeyote Mzanzibari kapewa adhabu yeyote kwenye serikali hii? Nchimbi, Polepole wote ni wa bara na wajinga jinga mnachekelea na kuingiza mkia ndani kama mbwa koko. Sasa huyu Mama ameona nyie ni dhaifu...
  6. K

    Tujiulize: Kama Samia ndiyo muhula wa mwisho kwanini anaogopa wapinzani wa ndani na nje ya CCM

    Tujiulize: Kama Samia ndiyo muhula wa mwisho kwanini anaogopa wapinzani wa ndani na nje ya CCM. Samia anaogopa kila mtu na anatumia madalaka ambayo ni fake vibaya. Nchimbi kawekwa kizuizini kwa kuongelea katiba mpya, Lissu kafugwa, na ACT wazalendo nao mgombea wao alitolewa kwenye kugombea...
  7. Tundu Lissu anapata mateso sababu CCM mtandao wapo madarakani kuiba mali za umma hawana uchungu na taiga letu

    Msisahau maneno ya Humphrey Polepole.CCM mtandao wana roho mbaya sana unapoweleza ukweli kuwa waache kuiba rasimali za Tanganyika na kujaza matumbo yao. Wapo radhi wakuue, wauroge au kukuwekea sumu upate madhara makubwa. Lissu anapata mateso haya sabau CCM mtandao wanataka waibe mali za umma...
  8. swali Kwa Wana CCM PEKEE! Je mmefurahia LISSU Kufungwa jela?

    Naomba mseme UKWELI nyie wenyewe je hii hukumu ya LISSU kisiasa mnaona imekaa sawa? Je mnafurahia katika ngazi ya chama kwamba mmeepata ushindi Kwa Kufungwa kwake? Hebu ngoja niwakumbushe tu! 1. Uchaguzi wa 2025 Chadema hawakushiriki na Lissu alikuwa jela! Walioandamana walikuwa wanasema...
  9. THE POLITICS OF SELF-DESTRUCTION: CAN CCM, CHADEMA AND OTHER POLITICAL PARTIES REDEEM THEMSELVES? (THIS IS MY LAST WISH )

    There is perhaps no greater tragedy in the political history of a nation than witnessing an institution entrusted with safeguarding national unity gradually become a source of institutional dysfunction, political antagonism and recurring societal discontent. My last wish is not to witness the...
  10. Hukumu ya Lissu imeongeza chuki kwa CCM. Ni anguko la haraka la chama tawala.

    Ukisoma nini mawazo ya watanzania juu ya ccm na kesi ya lissu ni kwamba chuki imeongezeka mara dufu. Kwa wenye AKILI hili ndio lilikuwa dirisha la SSH kujisafisha Tanganyika na kuondoka salama 2030 kinyume chake SSH amejiwekea rekodi nyingine ya hovyo mño ambayo it's backfire kama rungu la...
  11. Hawawezi kuruhusu fine kwa lissu itakuwa aibu nyingine kwa ccm

    Wakisema tu FINE.. Nadhani ndani ya dk10 itakuwa tayari Wamwache mzee wa watu akazike it is too much
  12. ICC, EU, US, Jumuiya Madola Kuanza kuishughulikia CCM, Serikali na Viongozi Vyombo vya Dola kuanzia Kesho Tarehe 6 /11/2026

    Mmeamua kukaza fuvu ? Kwamba nyinyo ndio Wamiliki wa Majeshi?. Kwamba liwalo na liwe, Wapuuzi mmeamua Kuanguka na Uchumi wa NCHI !!. Sasa Kuanguka mnaanguka, Nchi itabaki imesimama. Huwezi Kuua watu namna ile Oktoba 29, alafu Dunia ikuangalie tu , Haiwezekani !!!. Bila TUNDU LISSU ...
  13. CCM inatakiwa kuelewa huwezi kuzuia mabadiliko ila unaweza kuchelewesha kwa muda tu .Chadema itafanikiwa licha ya changamoto inazopitia

    Serikali ya CCM inajaribu kupambana na Chadema ili kuwakatisha tamaa lakini kwa ninavoona hawataweza hiki chama kimegoma kufuatia maelekezo ya CCM. Hakuna namna CCM lazima ikubaliane na matakwa ya wananchi unaweza kuchelewesha kwa muda lakini haitaweza kuzuia mabadiliko.
  14. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  15. Machawa WA CCM mmepoa ,Nini shida,,?

    Mmekuwa wepesi kutetea chama kuliko kutetea ukweli. Serikali inapokosea mnatafuta visingizio, mkikosa hoja mnaanza kutukana na kushambulia watu binafsi. Mnachanganya CCM na Tanzania kana kwamba kuikosoa serikali ni kukichukia chama. Uzalendo si kutetea kila kosa la viongozi, bali ni kuwa na...
  16. Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  17. R

    CCM, LOVE THY NEIGHBOR

    Angalia uchaguzi wa USA, kila mmoja yuko Happy. Aliyeshinda, aliyeshindwa all are happy, maana HAKI IMETENDEKA. Hakuna anayelelamika maana haki imetendeka Kweli hamna la kujifunza? WASIRA, HUNA LA KUJIFUNZA, ASHO ROSE MIGIRO, HUNA LA KUJIFUNZA.... FARIS HUNA LA KUJIFUNZA BALI KUWAPOTEZA WAPINZANI!
  18. CCM INAHITAJI SIASA ZA KIHARAKATI

    Nimefuatilia mjadala wa kada mmoja wa chama Cha upinzani na kugundua kwamba anajaribu kujenga mazingira ya kuaminiwa na wananchi, ukaribu wake kwa viongozi wa CCM,nia ya kumtetea mwenyekiti wake na hofu ya wanaharakati kuingilia mambo ya chama chao. Ukifuatilia vizuri ni kwamba ana hoja za...
  19. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  20. Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…