ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. CCM na ahadi hewa kwa vyombo vya Usalama wa ndani

    Ilani ya CCM ya 2025-2030 Ibara ya 2.6 inayohusu uimaridhaji Utawala Bora na Demokrasia kifungu (v) wametoa ahadi tatu Kwa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ambazo ni;- 1. Mishahara kuboreshwa. 2. Mafao ya kustaafu kuboreshwa. 3. Umri wa kustaafu kwa Askari wa chini kuongezwa ikiwa na...
  2. Madeleka: Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu

    Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’ Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam...
  3. R

    Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Akizungumza katika mahojiano...
  4. CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

    Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali. Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
  5. Kama kada wa CCM anatekwa na kuumizwa alafu Rais na mwenyekiti wa CCM yupo kimya, utekaji na mauaji havitaisha

    Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
  6. CCM iache kujimilikisha serikali

    Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki. Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM.
  7. Mbowe hawezi kwenda mahakamani kwenye kesi ya Lissu. Msiumize kichwa, yeye ni kada na kibaraka wa CCM

    Hakutaka Chadema iwe na misimamo kama hii ya Heche na Lissu. Hapo alipo anafurahia na kuchekelea moyoni. Maana alishazoea siasa za biashara na kuitumia Chadema kama mtaji.
  8. John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama” Video: Clouds Media Digital
  9. Ccm washawahi jiuliza swali hili?

    Hawa wana ccm washawahi kufikiria kwamba wizi wa kura na kuchezea uchaguzi kunaweza kuhatarisha usalama wa nchi? Nini kinachowapa ccm kujiamini? Je ni back up ya mchina au ya mnani vile? Anyway .. serikali huanguka kwa uzembe wa watu wachache sana wabinafsi.
  10. H

    Africa na chaguzi bandia. Nani anayetupangia Mamruki kuongoza nchi Zetu?.... Kama CCM wametumwa Zambia Brian Mandubile hawezi kutangazwa mshindi kamwe

    Waafrica hawaijui ccm aisee. Hii sio TANU iliyowasaidia kupigania uhuru. Hili ni dudu baya. Sasa tume itakuwa imeshikiliwa Mateka, Vikosi kazi vimeandaliwa tayari kuanzisha vurugu ili kuruhusu wizi wa kura, Askari watapewa posho ambayo hawajawahi kuipata kisha bunduki na Amri za kuua wananchi...
  11. Dk Muchunguzi uchawa wote kusifia uovu wa CCM ni kwa sababu alisoma na Rais Samia. Taifa letu halitapata wasomi kama akina Sengondo Mvungi (RIP).

    Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli? Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini. Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i Dk Denis kusifia uovu wote wa...
  12. Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba

    IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Imani ya Chama Cha Mapinduzi imejengwa katika misingi mikuu mitatu: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. 3. Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru. AHADI ZA...
  13. PostGE2025 Joseph Mwasote maarufu ‘China: Nilichukuliwa Oktoba 25, 2025, Mke na Ndugu walipokuja Polisi wakajibiwa "Hatujui alipo"

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote maarufu ‘China’, amesimulia mkasa mzito uliomfika akieleza jinsi alivyotwaliwa katika mazingira ya kutekwa na kufichwa kituo cha polisi, huku familia yake ikipigwa kalenda na kuambiwa hajulikani aliko...
  14. K

    Je ccm ni genge linalomuogopa Heche kama nyuki wanavyomuogopa nhegele?

    Wadau za asubuhi? Naomba kuuliza je ccm na genge lao la watekaji, mauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta wanamuogopa Heche zaid ya nyuki Kwa nhegele? Maana Heche akitoa moja tu hilo genge lote utaliona linapuyanga hovyohovyo kama chizi aliyesahau njia.
  15. Mambo machache bora ya kuirudisha CCM katika misingi yake

    Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa 1. Zuia machawa katika chama 2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena. 3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
  16. M

    Paulo Chacha: Lengo la Kwanza la CCM ni kushika Dola

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
  17. Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  18. Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  19. Sijali CCM itakaa madarakani muda gani

    Kwangu mimi binafsi sijali CCM itakaa madarakani muda gani. Nimefika hatua sioni namna CCM itatoka madarakani kwa njia ya amani itakuwa njia mbaya sana wao kutolewa madarakani. Sasa kama hawawezi kutolewa madarakani basi bado wanacho chumba cha kujifanyia reforms. Sisi sio nchi ya kwanza...
  20. Boniphace Mwabukusi ni kibaraka na pandikizi la CCM. Hafai kuaminika hata kidogo

    Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…