ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wamekomaa, wameiga demokrasia kutoka CCM, Wasitake CCM iwe na demokrasia kama yao (CHADEMA)

    Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  2. S

    PreGE2025 Ester Bulaya: Hakuna chama chenye ukomo kwa nafasi ya Mwenyekiti

    "Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi" Esther Bulaya, Mbunge viti maalum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  3. Mzee wa Code

    PreGE2025 CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  4. S

    PreGE2025 Bulaya: CCM hawajasema kama wananitaka, Sijaona CHADEMA ikinikataa kuwa mwanachama wao

    Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  5. The Watchman

    PreGE2025 ACT - Wazalendo: CCM haipo tayari kwa mabadiliko, ni lazima sasa tuyadai kwa njia ya mapambano

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dalili zote kuwa hakipo tayari kwa mabadiliko ya kimfumo ya uchaguzi hivyo kwa sasa wanahitaji kudai mabadiliko kwa njia ya mapambano. Akizungumza Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama...
  6. The Palm Beach

    No Reforms, No Election: Ansbert Ngurumo rasmi kuisaidia CCM. Mtazame na msikilize anavyoishauri CHADEMA

    https://youtu.be/ANA3rytxn0Q?si=6caBpBCIieREJQl7 ➡Ukimtazama na kumsikiliza vizuri Ansbert Ngurumo ktk video hii unaweza kudhani ni mtu neutral, anayejaribu kushauri pande mbili ili kurekebisha mambo yao. Lakini ukweli ni kuwa, anajaribu kutumia ujuzi na usomi wake wa kihabari kupunguza makali...
  7. kichongeochuma

    CCM jibuni hoja kwa hoja, kukimbilia kwenye vyombo vya dola mnaonesha uoga,udhaifu na kuto kujiamini kama chama

    Naona CCM mnakimbizia ajenda kwenye vyombo vya dola , hebu acheni hofu , mnakidhalilisha chama , kwamba chama hakina watu wa kujibu hoja ila ni kwa mitutu ya bunduki? Kwa ukubwa wa chama chenu haipendezi kutegemea dola kuwajibia hoja kwa shuruti ,msikiaibishe chama jibuni hoja kwa ufasaha maana...
  8. The Watchman

    PreGE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  9. Tajiri wa kinyankole

    Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  10. K

    Kimsingi watumishi wa Umma wanaopigia kura CCM wanalitendea haki Taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao. Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama...
  11. The Watchman

    PreGE2025 Katibu mkuu BAVICHA: CCM inatufanya tuendelee kuwa masikini hali yakuwa wao wana maisha mazuri

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri. Akizungumza akiwa Kibanga, Muleba mkoani Kagera Dua amesema “kwetu Karambi nikienda miaka mitano...
  12. D

    Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote. Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM. Wana mastress...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day 📅 Tarehe: 22 Februari 2025 📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki katika sherehe ya Police Simiyu...
  14. T

    Mkutano Mkuu CCM akili za kuambiwa changanya na za kwako Jakaya Kikwete akanawa mikono nakuondoka

    Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka kiapo chake na hataki shari Mzee watu anataka kula bata nakufurahia mstaafu wake. Kwa wale mnamkubuka...
  15. Lord Denning

    CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 ADC yajipanga kuwang’oa madarakani CCM, waeleza kuhusu 'No Reform, No Election' ya Chadema

    "Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa

    Wakuu Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee? Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama == Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo baadhi ya viongozi wa matawi na kata wamedai kusimamishwa...
  18. S

    PreGE2025 Mbunge Philip Mulugo adai ukiona mbunge analalamika basi ujue huyo haudhurii vikao vya madiwani

    Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  19. Gabeji

    Wana ccm wamelishwa unga wa ndele 2025

    Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu. Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu anatamani kula, ghafla bini vuuuu! akakuta chakula kile kizuri Dunia mzima kipo mezani. kina msubili...
  20. K

    PreGE2025 Mzee Wassira Mdahalo tayari umefanyika

    Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza tena kuwa za haki kwa sheria zilizopo sasa. Sasa unaposema unataka mdahalo na Lissu ni wa nini hasa...
Back
Top Bottom