ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mikopo Consultant

    Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

    Kwenu Wanajema, Huu ni uzi mchungu kwa wanaCCM wengi vitatange, kwa sababu nagusia anguko la CCM ambalo nimelichambua na kuliona. **** Picha ya George Soros Kwa wafuatiliaji wa medani za nchi za magharibi na watu wake, George Soros sio jina geni kulisikia. Ni mmoja wa watu waliobahatika...
  2. Mpepetaji

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani

    Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila amesema hayo akiwa kijiji cha Nyankanga kata ya Nyamalimbe wilayani...
  3. K

    PreGE2025 CCM tujipange naona vijana wameamua agenda yao ni 'No Reforms, No Election'

    Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
  4. Kipenzi Changu

    PreGE2025 Lissu kaza, hao CCM wanataka mgombea kama Bernard Membe

    https://youtu.be/_X_QgulWKlM?si=kz5G6jk79XVRX1R8 Safari hii hatutaki comed, tunataka uchaguzi kweli. Wewe Yanga unaenda kwenye match dhidi ya Simba ambayo refa na jopo lake lote wameteuliwa na Simba? Hayo ni matumizi ya akili kweli? Hao CCM wanataka mgombea kama Membe (RIP) uje jukwaani...
  5. The Watchman

    PreGE2025 CHADEMA waendelea kutimkia CCM, Kingozi wa BAVICHA Songea ahamia CCM, aitaja 'No Reforms No Election' asema ni maneno ya vita

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani. Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
  6. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Wasaka Tonge, Mmemlazimisha Tundu Lissu Leo kutoa Siri ya kwanini Anapigania Mgawanyo wa Majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Mmewasanua CCM!

    Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na Upinzani wa kawaida, Sheria hiyo iliondoshwa Si Kwa sababu Kura nyingi zilikua Mjini , La Hashaa...
  7. R

    PreGE2025 No reform no election inafaida nyingi kwa wana CCM wasiokuwa na God father wakupitisha majina yao kwenye mchujo

    Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa. Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu kuogopa kukisemea chama badala yake wanaokisemea chama kwa sasa ni wana habari, wasanii, baadhi ya...
  8. K

    PreGE2025 LGE2024 CCM Mlikosea sana uchaguzi serikali za mtaa 2024

    1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo 2. No reform no election isingekuwepo leo 3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo 4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na...
  9. R

    PreGE2025 Namna pekee ya chama changu CCM kukabiliana na "No reform no election" ni kufanya uchaguzi kidigitali zaidi!

    Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima! Namna pekee ni kutumia vifaa vya electronic kama sim kupiga kura,yaani Kila raia mwenye sifa za kupiga...
  10. peno hasegawa

    PreGE2025 Kinachosumbua Watanzania ni muundo wa CCM ambayo huwezi kutofautisha CCM na Serikali kwenye nafasi za kiutendaji, kichama na kiutawala

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, moja ya changamoto kubwa inayokabili nchi ni muundo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muundo huu umejenga hali ambapo ni vigumu kutofautisha kati ya CCM na serikali. Katika nafasi za kiutendaji, kichama, na kiutawala, kuna ukaribu mkubwa ambao unakwamisha...
  11. Lord Denning

    PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

    Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM. Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM. Kujitokeza kwa...
  12. K

    Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani

    Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani? https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
  13. The Watchman

    PreGE2025 Buchosa: Makada 8 CHADEMA watimkia CCM, Shigongo amtaka mmoja wao kueleza mateso aliyoyapitia CHADEMA

    Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo. Miongoni mwa...
  14. kavulata

    Ally Kamwe amekamatwa na serikali ya CCM?

    Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
  15. S

    PreGE2025 John Heche: Wewe unayesema twende kwenye uchaguzi bila mabadiliko unaiunga mkono CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM. Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
  16. Waufukweni

    Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
  17. Ndagullachrles

    Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  18. The Watchman

    PreGE2025 Pigo kwa ACT - Wazalendo, Katibu Wilaya ya Tunduru, Diwani wa Mchoteka watimkia CCM wakati wa mkutano wa Nchimbi

    Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Jumatano, Aprili 2, 2025. Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  19. Knock life

    Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  20. M

    PreGE2025 CCM Simiyu mmemsikia Mzee Wassira?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu, Itilima,Bariadi na Busega. Akiwa wilayani Maswa ambapo akizungumza na wanachama wa Chama Cha...
Back
Top Bottom