ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

    Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo. Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai. Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini! Kumbe kwa tafsiri...
  2. L

    PreGE2025 Kauli kama hizi haziwezi kuwapumbaza wale waliokata tamaa na sera za CCM. Mageuzi ya kweli ndiyo suluhu, si maneno ya kugawa watu

    Mch. Msigwa anadai "Nilikuwa Kipofu Nikiwa Chadema, Sasa Naona," lakini kauli hii inaweza kuwa ni mbinu ya kisiasa tu ya kujiimarisha ndani ya CCM, chama ambacho wengi wamechoka nacho kwa miaka 60 ya kumudu madaraka bila mageuzi ya kweli. Watu waliostaajabu na utawala wa CCM, waliougua na...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Njombe yatoa wito kwa wananchi kujitayarisha na Uchaguzi: 'Ni Takwa la Kikatiba'

    Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiandaa na uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba huku wakidai kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kuzuia takwa hilo. Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga amebainisha...
  4. Ed edd n eddy

    Robert Hariel na Joram: wana filosofia wenye nia njema walivyoliwa kichwa na System ya CCM

    Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada: “CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.” Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama Robert...
  5. Allen Kilewella

    CCM wekezeni kwenye akili acheni kutumia mitulinga

    Wanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga. CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe hapa nchini. Lakini Katika jambo ambalo CCM wameshindwa kabisa...
  6. S

    Nyerere angekuwa hai angefunguliwa kesi ya uhaini? Alichosema Lissu ni kile kile alichokisema Nyerere, kwa nini CCM wanajifanya kusahau? Angalia hapa

    Hizi ni Nukuu za Nyerere "Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.” ” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
  7. kipara kipya

    Tutafakari siasa za CCM na Chadema kwa mfano wa Msumbiji frelimo na podems nayaona hapa kwetu..

    Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
  8. Magufuli 05

    CCM anguko lenu haliko mbali,Mungu hachelewi na wala hawahi hujibu kwa wakati

    Hiki mnachokifanya na mnachowafanyia watanzania wenye akili timamu kitawarudia. Karma is real. Kama mnadhani watanzania ni wajinga na waoga wote,jibu ni hapana. Ni kweli mtaji wenu ni baadhi ya watanzania kuwa na sifa hizo lakini si wote. Ujinga na uzandiki mnaofanya nyie siyo wa kwanza...
  9. mwehu ndama

    PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

    😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure. Siasa za kipumbavu sana!
  10. S

    PreGE2025 Kama Tanzania ingeamua kuwafunga wanasiasa waongo, karibu viongozi wote wa CCM wangekuwa jela, Amos Makala kifungo cha maisha kwa kauli ya Ebola!

    Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini. Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu wanasiasa kusema uongo, iweje Amos Makala hadi leo yupo nje anadunda tu baada ya kauli zake za kusema...
  11. C

    PreGE2025 CCM kabla ya kutumia vyombo vya dola kuumiza Watanzania mngejiuliza kwanini upinzani unaungwa mkono kwa hiyari na CCM inalazimisha kuungwa mkono.?

    Nadhani njia nzuri ni kujitafakari kwanini upinzani uungwe mkono kwa hiyari na huku CCM ikitumia Rushwa ,wasanii maarufu na watu maarufu, vitisho na mitutu ya bunduki kulazimisha kukubalika? Mjitathimini tu. vita yenu si vita mnayo pigana na upinzani bali ni vita mnayo pigana na watanzania...
  12. Carlos The Jackal

    Enyi Kanisan Katoliki,Dini ilikuapo kabla ya Serikali , hiyo michango na Pesa za CCM mnazozipokea, ndizo zinawafanya Watawala kuwadharau!!.Zikataeni

    Kiongozi akitoa Rushwa za ujenzi, kukamilisha Makanisa yenu, Muikatae waziwazi . Mlipiga kelele, kuhusu Bandari, mkapiga kelele kuhusu Ngorongoro, mnapiga kelele kuhusu Uchaguzi, huko kote mnadharaulika na kupuuzwa kiasi mnaambiwa "Acheni kudandia dandia". Soma Pia: Rais Samia Achangia Milioni...
  13. Dalton Elijah

    PreGE2025 Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper"

    Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea kama taifa. Fikra zao zimefika ukomo. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA...
  14. Mpepetaji

    PreGE2025 Mwanachama CCM: Kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali

    “Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM
  15. M

    PreGE2025 Bila Polisi CCM wepesi kama karatasi

    Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!. Wamepigwa operesheni moja tu ya NO REFORMS NO ELECTION, wamekimbilia polisi. Hii ikuonyeshe kuwa hiki chama ni genge la watu wepesi...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

    Wakuu, Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
  17. JF Member

    Wito Kwa CCM hasa kwa Viongozi waandamiizi

    Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea. 1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais. Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi, ila anaeleweka kwa makundi yenye watu wachache mfano.. wafanya biashara na wasanii. Huku mtaani...
  18. Mindyou

    Mbeya: Mradi wa maji uliogharimu Bilioni 5.2 wakamilika Mbarali. Haya ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Wakuu, Naona miradi inaendelea kukamilika kwa kasi ya ajabu kabla ya Uchaguzi Mkuu. CCM theatrics zenu tunazijua ========================================== Mradi wa maji Luduga-Mawindi wilayani Mbarali Mkoani Mbeya awamu ya nne umetekelezwa kwa kutumia Mkandarasi GNMS CONSTRUCTIONS LTD...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Joseph Peneza Achangia Milioni 2.5 kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu

    MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo, Peneza pia alishiriki shughuli ya kuchimba msingi wa nyumba hiyo. Katika kuunga mkono jitihada za...
  20. Idugunde

    PreGE2025 Asilimia 90 ya Watanzania wana imani na Lissu kuwa sio kibaraka wa CCM. Tofauti na Mbowe. Hii itawasumbua sana wanaCCM

    Wananchi wameanza kupata maono kama kuna mtu ameibuka kuwapambania juu ya maslahi yao na taifa lao. Tofauti na yule Jamaa aliyekuwa anaenda Ikulu kunywa juic za Ceres. Na hii inakuja kuleta upinzani mkubwa kwa CCM. Maana wananchi wanaiona CCM haina msaada kwao Idu wa Igunga.
Back
Top Bottom