Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi
Ni pesa au Nini kilichojificha ..
Msukuma unasema kupigana short
Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short
Kwa hyo...
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa.
Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
Famahamuni haya fika.
Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita...
Jibu ni HAPANA.
Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
Wanabodi,
Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm.
Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi mkubwa wa chama yaani CCM.
Hii ni aibu sana kwa chama tawala kuwa na viongozi kama huyu.
Kwamba CCM ni zaidi ya mtu mmoja kama ilivyokuwa zamani wakati wa chama kimoja. Kipindi hicho watu walilazimishwa kuzikubali fikra za mwenyekiti hata kama hazifai.
Leo hii kila Mtanganyika anajua wazi Nchimbi amefanya uamuzi wa kulazimishwa kutokuwa pamoja na kundi la majambazi wa kisiasa ambao...
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata...
CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia taifa. Uteuzi huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama kinachowaamini vijana na kuwapa nafasi ya kushiriki...
Kuna Uzi nimeusoma mahal humu humu mleta uzi anasema wabunge watumie nafas yao kupiga kura ya hapan kwa Makam ili asipite..
Ujue ni vitu ambavyo haviwezekan kwa sababu mtu kama Baba levo ambae anajua dhahiri kabisa kua hakushinda Jimbo kwa ushawishi wake bali kwa Nguvu ya mwenyekiti atahoji...
Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya.
Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE.
Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea.
Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM...
Chama kikongwe kinaogopa majadiliano. Katika vikao vyao kazi kubwa ni kupitisha anachokitaka mwenyekiti wao. Hakuna nafasi ya mawazo mbadala, kutokubaliana na mwenyekiti ni uasi usiovumilika.
Je kwa utaratibu huu wa "zidumu fikra za mwenyekiti", chini ya Samia, tutaweza kupata kaba mpya ya...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) inatakiwa ijitathmini na kujifanyia reform.
Mzee Butiku ameeleza kuwa hatua...
Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays.
Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi gone with the wind
Leo CCM Tanganyika ni Kitila Katambi.Mwigulu .Ndejembi Mwana FA na kama hao wasio...
Siku mbili baada ya Dk Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, hatimaye CCM imemfukuza uanachama. Taarifa ya kufukuzwa kwa Dk Nchimbi ilitolewa saa 4:30 usiku wa Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migioro katika ofisi ndogo za makao makuu Lumuumba Dar es...
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.
Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
Wakuu bila shaka mko poa,
Nimeleta Uzi huu baada ya kuona Kwa jicho la ndani kuwa CCM mpaka sasa haipo na hakuna anayetaka kujua habari zao ukiacha nguruwe na wapigwa miti, so ni katika muktadha huo wameona waje na drama za Nchimbi ili kuhamisha upepo japo wamekuja kipindi kibaya ambacho...
Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu.
Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu.
Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.