ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Fbn

    Ni wazi sasa CCM mnajulikana kama wanavyo julikana nchi zilizoshindwa nchi kidemokrasia

    Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ. Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana. Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga. Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
  2. Manyanza

    Majibu ya CHATGPT : Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA?

    Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
  3. and 998 others

    Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

    1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama. 2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu. 3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
  4. Determinantor

    Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  5. Gobole Lenye Risasi

    PreGE2025 MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

    Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana. Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
  6. Mshana Jr

    CCM na project mfu zilizochanganyikiwa

    Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA... Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂 Halafu sasa...
  7. Mr Why

    Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  8. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Tuburudike kidogo: Kwa hakika CCM hawana Furaha, CHADEMA ni wanyonge ila wana furaha

    Tuburudike kidogo na Video hii, Kwa Hakika CCM hawana Furaha ,Licha ya CHADEMA Kuwa wanyonge ila wanafuraha.
  9. Allen Kilewella

    Kipanya anawagutua CCM, ametukosea Sana CHADEMA

    Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."? Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 NETO ilikuwa project ya CCM kuizima 'No Reforms No Election'? Siku 45 zilizotolewa na Simbachawene zimeisha, kimya!

    Wakuu, Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu. Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea...
  11. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Nyie Vyama vingine Upinzani , Huu mwaka ni Wa kuwapa Tume huru, CCM hawakubaliki. unganeni

    Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine . Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru. Ukweli ni kwamba ni Asilimia 2 tu ya wabunge wa CCM ambao wakigombea katika Tume huru Mpya...
  12. Mwanamwana

    PreGE2025 Henry Kilewo: Viongozi wa sasa wa CHADEMA wanatumiwa na CCM kuhujumu harakati za mageuzi nchini

    Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini. "Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au...
  13. Abraham Lincolnn

    CCM Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga mbele, Kazi na Utu 2025

  14. M

    Vijana wa CCM hapa JF mbona mnajifichaficha? Tuambieni kama hii hali ya kamata kamata na kupoteza watu mnaiunga mkono

    Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili? Ni...
  15. and 998 others

    CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

    1. Ilani imetekelezwa kwa 100%, 2. Uongozi thabiti, 3. Amani imetawala.
  16. K

    Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  17. Carlos The Jackal

    Wanafanya Utekaji, na Majaribio ya kuua, Kuhakikisha Dola inaendelea kusalia Madarakan kupitia CCM, Watanzania Mwaka huu tulazimishe Mabadiliko

    Embu Watanzania tafakarin Hawa watu wanafanya Utekaji, wanaua, wanawapa watu ulemavu na kuwapoteza watu hata wasionekane. Kwann? Kwa sababú wanajua endapo wataruhusu Mabadiliko Kwa njia za Kidiplomasia, mbeleni watafikishwa kwenye Sheria, wapo watakaofungwa, Maisha, wapo watakaohukumiwa Kifo...
  18. Kagemro

    PreGE2025 CCM Chato ya waonya makada wake wanaotumia majina ya viongozi wa kitaifa kusaka ubunge

    Very serious Accusation! Needs immediate Attention and Action!
  19. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Tauhida Gallos na Miaka Mitano (2020 - 2025) ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 amewasilisha ripoti ya Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2021 - 2025) katikap ukumbi wa Uwanja wa Ndege SACCOS uliopo Wilaya ya Magharibi B. Mhe...
  20. Mshana Jr

    Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

    Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
Back
Top Bottom