ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    Prof. Tibaijuka: Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo tuwe ndani au nje ya CCM. Hamuwezi kutunyamazisha tunapotetea haki

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Professa Anna Tibaijuka ameandika: "Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA. Badala ya kujibu hoja...
  2. Uimara na umadhubuti wa CCM unatokana na umoja na mshikamano uliopo miongoni mwa wanachama wake na waTanzania wote kwa ujumla.

    Na hiyo ndio siri ya kustawi na kuimarika kwa nguvu ya CCM kila uchwao, tofauti na upinzani wa Tanzania ambao udhaifu wao kiujumla, unatokana na chuki binafsi baina yao, uhasama baina yao, migawanyiko baina yao, tamaa, ufisadi na uchu wa vyeo na madaraka miongoni mwao, kitu kinachowafanya...
  3. Katibu mwenezi CCM: Kihongosi out, Manara inn

    Kihongosi kaponzwa na interview yake na Odemba hasa kuhusishwa mauaji ya oktoba 29 na police na kuongelea kuchukizwa na utekaji na kupoteza Kwa Polepole. Manara karibu kwenye game
  4. Suala la Nchimbi kufukuzwa CCM: Vijana msijimalize, kuna kesho!

    Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa. Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
  5. V

    Nchimbi yuko wapi? Serikali na CCM tunataka majibu

    Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
  6. Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda..

    Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
  7. Tupazeni Sauti kwa Ajili ya NCHIMBI, Kwa CCM, adui wa Ndani ni Hatari kwao, alichokifanya NCHIMBI ni Sadaka, ni zaidi ya Upinzan na Wanaharakat Wengi!

    Mnakumbuka MH Polepole ?. Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
  8. Kihongos: CCM Tunatamani Lissu awe nje tuendeleze kujenga nchi na kufanya siasa. Nchi yetu ni ya Kidemokrasia

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema CCM inatamani kuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwa nje ili aendelee kushiriki katika ujenzi wa taifa na kufanya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Soma Pia: Kihongosi...
  9. Kihongosi: Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mdahalo. Aje na Lema, Boniyai na Sugu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja Soma pia...
  10. M

    Kihongosi: Haki na Amani vinakwenda sambamba, CCM tunasema haki pia ila unaweza kuwa na haki na usiwe na amani

    Odemba: Kuna wimbo ambao Chama Cha Mapinduzi imekuwa ikiimba kwa muda mrefu sana yapata miongo sita sasa. Na wimbo huu ni wimbo wa amani. Kwa nini Chama Cha Mapinduzi kinahimba wimbo wa amani kuliko wimbo wa haki, Kihongosi?" Kihongosi: Ndugu Odemba, huwezi kutenganisha haki na amani. Hivi vitu...
  11. Uchafu mijini ni sera ya CCM isiyoandikwa popote.

    Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure. Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara. Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba zinajengwe kwenye njia za maji. Biashara holela mitaani, masokoni na kando ya barabara mijini ndizo...
  12. Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi: Kilichofanyika Mkutano Mkuu wa CCM, ni Ubatili!.

    Wanabodi Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini na kushauri nini, na kutoa mrejesho wa nilichoshauri kama kimetekelezwa, kimesaidia...
  13. R

    Ndani ya CCM hakuna aliye salama, mnajidanganya na kujikomba/ uchawa. Kuna siku utafikiwa

    As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM? Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
  14. Bashungwa, tulimfukuza Nchimbi kulinda maslahi ya CCM.

    Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara dhidi ya wananchi.
  15. Dkt. Nchimbi hachunguziki CCM

    Ipyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo Kihongosi na happy kuweni Makini Jamaa ni mtu hatari sana huyu
  16. F

    Kwa wajuao uchoyo,ulafi, na uovyo wa CCM, kuna haya ya kumlilia au kumuonea huruma Nchimbi?

    Vita ya kunguru ni neema ya panzi. Ukiona adui yako anakosea msifie na si kumkosoa. Huu ndiyo uoni wangu juu ya ufukuzwa na kupotezwa kwa Emmanuel Nchimbi toka umakamu wa rais. Kwangu ni furaha na raha kuona maadui wa taifa wakitafunana. Ningependa watafunane hata kuuana. Ukiondoa wapinzani...
  17. Kuhusu katiba mpya; msimamo wa CCM ni upi?

    Katika siasa kuna kitu kinaitwa strategic ambiguity; mfano wake mkubwa ukiwa ni sera ya Marekani kuhusu Taiwan. Kwenye maandishi rasmi USA wanatambua One China policy, ila kila siku wanaendelea kuiuzia Taiwan silaha na kufadhili harakati zote za Taiwan kujitenga na China. Hapa kwetu ni kama...
  18. K

    Lissu kiboko ya majinga majinga ya ccm hasa yanayoenda usiku gerezani.

    Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu...
  19. Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  20. K

    2030 Itafika, hakuna katiba mpya, hakuna tume huru ya uchaguzi na uchaguzi utafanyika na CCM itaendelea kuongoza na maisha yataendelea

    Huu ni ukweli mchungu, kwa mazingira tulio nayo na siasa za chadema kwa sasa Itafika 2030 tupo hivi hivi,.. Ukawa walifanya kosa kubwa sana mwaka 2012/13 kususia bunge la katiba kwa kigezo kikuu Cha serikali tatu, huu ni uroho wa madaraka unawagharimu Leo Kama ukawa wangekubali kipindi kile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…