ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mbowe hatohama Chadema kama mnavyodhani, Gwajima atashinda Urais..

    Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
  2. PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  3. PreGE2025 Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa baada ya jengo kukamilika

    Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma. Makao hayo makuu mapya, ambayo...
  4. Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

    === Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM. Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu...
  5. Relax.... ameenda tu kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM atarudi J'tatu

    Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja. Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa...
  6. Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa CCM maslahi

    Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo...
  7. Serikali inakataza watumishi kuwa kwenye vyama vya siasa ila CCM inawafanya serikali kuwatumia watumishi kwenye siasa za CCM

    Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm. Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge. Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM. Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali. Hivi tutafika kwa maisha haya.
  8. Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  9. CCM mmetukosea kwa aina ya viongozi mnaolipatia Taifa. Historia itawahukumu.

    Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa. Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na mazingira yake . Taifa letu chini ya CCM limepoteza focus kiasi kwamba Elimu si kipaumbele tena...
  10. PreGE2025 CCM nawakumbusha tu kuwa Heche nae ana umri wa kugombea Urais

    Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi. CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye. Utawapa kesi wote au utateka wote? Wakati ukuta.
  11. CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

    Mpo salama! Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii. Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa...
  12. PreGE2025 Dodoma: Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum wa CCM

    Wajumbe ukumbi uko tayari Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum utakao fanyika kesho tarehe 29. Na tarehe 30 may utakao ongozwa na mwenyekiti wa chama chama cha mapinduzi Samia Suluhu Hassan
  13. CCM inajenga makao mkuu Kwa TSH billions 34

    Hizi ni fedha nyingi aisee Kwani makao mkuu ya CCM pale Dodoma Kuna tatizo Gani? Pesa hizo CCM imepata wapi? Hizi ada za uanachana ndo zimefika billion 34 Ukarabati uwanja wa Mkapa mmetoa billions 31 Watanzania hawana madawati, hospital hazina madawa, vijana hawana ajira Pesa yote unaenda...
  14. CCM nawashauri kataeni Ombi la VITI 20 vya ubunge kuwapa G55

    Kuna wabunge walio Kaa madarakani, Muda MREFU TETESI zina vuma Samia anataka wapigwe chini kwenye kura za MAONI Ili baada ya uchaguzi wapangiwe ubalozi nje ya nchi lakini majimbo Yao wawape wakina MREMA wa chauma na wenzake. Ombi litaletwa kwenye mkutano Mkuu baadhia ya wabunge wajiuzuru...
  15. S

    PreGE2025 Othman Masoud Othman: Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda?

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa "Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda...
  16. C

    CCM mnakataa usemi wenu?

    Wakati ninakua ile miaka ya 1971 nikiwa shule ya msingi kulikuwa Kuna hype kubwa ya kauli na maazimio mengi ya kisiasa. Na wakati ule kujiunga na TANU youth league ilikuwa kama ni lazima fulani hivi. Kauli au ahadi mmojawapo ya TANU ilikuwa "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko"...
  17. J

    CCM ndio taasisi kubwa kuliko zote Africa mashariki

    Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM 1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata 2. CCM ina Wanachama kila mtaa 3. CCM ina mbunge kila jimbo pale iliposhindwa kwa Kura imeweka wa viti maalum 4. CCM ina viwanja vikubwa vya michezo kila...
  18. S

    PreGE2025 Walishindwa kuidhibiti Chadema kupitia support kwa Mbowe, baadae G55 na kesi feki ya uhaini, na sasa wameamua kumtumia Msajili wa vyama vya siasa

    Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema, ikashindikana. Kisha wakaanza kuwatumia wafuasi wa Mbowe ndani...
  19. S

    Niwaulize CCM na mashabiki wake; Wabunge wanawajibika kwa Rais? Kama ndivyo, wanawezaje kuisimamia na kuikosoa serikali inayoongozwa na Rais?

    Wakati fulani, Prof. Mwandosya na wengine walipendekeza kwamba mtu anapokuwa Rais, basi kama alikuwa mwenyekiti wa chama, akome kuwa na hiyo nafasi; kwamba tusiwe na raisi mwenye kofia mbili; Rais na mwenyekiti wa chama, ili chama tawala kiweze kuto mwongozo kwa serikali yake. Wengi hatukuelewa...
  20. PreGE2025 Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…