ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mwezi mmoja kabla sikuwa na mpango wa kupiga KURA ila kwa huu upepo nimeamua kikamilifu kwenda Kituoni asubuhi na mapema siku hiyo ya kuwanyoa watu...

    Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na mchakato mzima. Nilijiona kama mtu mmoja tu asiyeweza kubadili lolote, na kwa muda mrefu nilikuwa nimeamua...
  2. K

    PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

    Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: 1. CCM Ina wagombea wenye...
  3. PreGE2025 Chama cha CCM hakina mgombea urais mpaka sasa kwani mchakato wa kumpata Samia haukuzingatia katiba ya CCM

    Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa...
  4. CCM Haina mpango wa KATIBA MPYA hili liko wazi, Kuichomekea Katiba Mpya kwenye Ilani ni Uhuni tu

    Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??. Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!. Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?. Akina...
  5. Swali kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Uliozindua Ilani ya CCM 2025-2030: Mbona Hakuna Sera ya Kutenganisha Maisha ya Majeshi na Maisha ya Raia?

    Ukosefu wa “Sera ya Kutenganisha Maisha ya Majeshi na Maisha ya Siasa za Kidemokrasia” umekuwa ukifungua milango ya “demokrasia ya kijeshi,” yaani “militarised democracy,” jambo ambalo linapingana na Kanuni ya Imani ya Utanzania iliyotamkwa kwenye katiba ya nchi. Hivyo, nimeisoma Ilani ya CCM...
  6. Hapa Vwawa kwa akina Lucas Mwashambwa panachekesha sana

    1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm. 2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots. 3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi 4.Maji ni changamoto 5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka...
  7. K

    Mimi ni mwana CCM - Ninauliza kuwa Ilani ya CCM iliandikwa kufuata utaratibu gani?

    Kama nilivyoeleza hapo juu mimi ni mwana CCM na juzi niliona ilani ya CCM ikiwasilishwa mbele ya Mkutano Mkuu kule Dodoma. Kwa kawaida na kwa utaratibu ilani inatakiwa ianzie kwenye ngazi za chini (grassroot) wakiulizwa maoni yao na hii inatakiwa iwe kwa nchi nzima na baadaye maoni haya...
  8. K

    PreGE2025 Tuseme ukweli: CCM kipo mbele ya muda sana na kinaenda na mabadiliko ya dunia

    Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba : 1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika. 2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM...
  9. C

    Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  10. Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  11. Magwajima wakichujwa na kuenguliwa CCM ndio itakuwa chama kinachofaa kwa Watanzania?

    Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani. Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania? Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu. Chama...
  12. M

    Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  13. R

    CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

    Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
  14. S

    Tukiwa watu makini tutatambua kuna faida kubwa kwa CCM na Tanzania kuwa "Gwajimalized" kuliko kuwa "Samialized" kwa sababu hizi hapa za msingi

    Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
  15. Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

    Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!! Hivi hii takataka bado ipo ofisini? CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi? Very sad !!
  16. PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  17. CCM Mnajilinda bila ulinzi

    Wakuu, Nimetafakari sana nguvu kubwa na ya makusudi inayotumika kuidhoofisha kabisa Chadema tena wahusika hawana tena hata soni waziwazi. Haya yote lengo kuu ni kukilinda chama tawala, lakini huu ulinzi mbona hauna ulinzi? Public awareness kwa yanayoendelea mbona ni sawa na kuzungusha ukuta...
  18. Technically, Askofu Gwajima kashaondolewa CCM

    Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
  19. A

    Kiukweli CCM tusikubali kuwa gwajimanized, lakini je tuendelee ku-Mdudenize,ku-Kitimanize au ku-Kibaonize?

    Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka. Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake. Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma...
  20. Ujasiri wa Rais Samia unaashiria uhakika wa ushindi wa kishindo kwa CCM uchaguzi mkuu na amani ya kudumu Tanzania na kwenye mipaka yake

    Kujiamini kwa Samia Suluhu Hassan, ni uthibitisho wa uhakika kwa amani, umoja na usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni ishara ya wazi kwamba CCM inakwenda kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu2025. Dr.Samia Suluhu Hassan, amesimama vizuri sana kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…