ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kuendelea kuishabikia na kuiweka CCM madarakani, ni ukichaa au kurogwa kwa watanzania?

    Ni kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania. 1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari. 2. Mfumo wa pasport haueleweki 3. Ufisadi ndo usiseme 4. Umasikini...
  2. CCM bado ni chama cha kijamaa?

    Niliangalia ile harambee yao na jinsi wanavyoendesha chama chao, nikajiuliza kama CCM bado kina sifa ya kuendelea kuitwa chama Cha kijamaa... CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi ama ndiyo kimeshakuwa chama cha MABEPARI na wafanyabiashra? Ubeberu umetamalaki CCM😄😆😀
  3. C

    Hivi Yanga na CCM wanapigania ukombozi kutoka kwa nani?

    Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi. Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani? Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi...
  4. GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

    Hatua ya Kwanza Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme Hatua ya pili Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+...
  5. S

    Ujenzi wa Mnara wa Babeli: Wamiliki, Wahusika, zana, material na vifaa vya ujenzi

    Ni hivi 1. Wamiliki= Wanamtandao 2. Mkandarasi Mshauri= Mzee wa Msoga 3.Mkandarasi = Bi. Mkubwa 4. Architecture: Katiba Mbovu 5.Mafundi= Watu wa kitengo 6.Vibarua: Watu wasiojulikana 7.Mchanga=Damu za watu 8. Kokoto= utekaji 9 Cement= Madaraka 10. Tofali = Viburi 11 Mbao= Jeuri 12. Nondo=...
  6. H

    CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  7. S

    Mambo 10 ya Kumshauri Rais wa Yanga Injinia Hersi Said Baada ya Kuichangia Chama Dume, Dume la Mbegu, CCM

    1. Huna baya kwa kuichangia CCM kWa sababu hakuna anayejua wapi unapata mahela ya kuwapa furaha wanayanga 2. Zingatia sana maneno ya Manara kuwa Yanga ambayo wewe ni Rais wake wenye akili ni wawili tu 3. Tenda wema uende zako , wasiokuwa na akili hawana wema hata kidogo kama alivyosema Manara...
  8. S

    GE2025 CCM inaangamia kutokana na viburi vya watawala

    CCM hii sijui viongozi wake wana upeo wa aina gani! 1.Mtu kama Harbinder Seth unamuwalikaje achangie kampeni ukijua record yake ni chafu? Akili gani ilitumika hapa? 2. Unawezaje kukubali kuchangiwa na club ya soka ambayo sio tu ina mashabiki wasio wana CCM, bali unahatarijsha club yenyewe kwa...
  9. Klabu ya Yanga hawajachangia CCM pesa yoyote!

    Mimi ni SIMBA damu najuikana hivyo.. Na kama mtani wa jadi wa Yanga! Inapopata madhila nafurahi.. Ila kwa hili la kuchangia million mia moja nawatetea hawajafanya hivyo Vilabu vyetu hivi vya soka vingi vinaongozwa na wafadhili na wadhamini, hawana vyanzo vya uhakika vya kuwaingizia mapato...
  10. GE2025 Licha ya kuongoza kura za maoni za udiwani CCM mchambuzi wa soka Zuberi lakini jina lake lakatwa

    Sakata la Zubeir Mkalaboko ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya soka lilianza mapema akiwa siyo sehemu ya majina yaliyoteuliwa kugombea licha ya kuwa ndiyo Diwani aliyekuwa anayemaliza muda wake Madarakani. Hata hivyo, busara za marekebisho ya Katiba na maagizo ya Kamati kuu CCM Taifa kutaka...
  11. Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. GE2025 Mwenyekiti CCM Tabora atishia kuwafukuza wati nia ubunge, wanaopinga maamuzi ya vikao halali kupendekeza majina

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Said Nkumba, ametumia kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo kutoa onyo kali na kutishia kuwafukuza uanachama wati nia ubunge, wanadaiwa kuwatuma wapambe wao kupinga maamuzi ya vikao halali vya kupendekeza majina. Kupata matukio na...
  13. GE2025 Bundi ameweka kiota CCM: Mpasuko, Visasi, Tamaa ya Madaraka na Ufisadi vinaimong'onyoa

    Rasmi, Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi. Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano...
  14. GE2025 Zaidi ya wanachama 3000 wa CCM Kilimanjaro wajitokeza kumdhamini Rais Samia

    Zaidi ya Wanachama 3000 wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wamejitokeza leo agosti 13 2025 kumdhamini mgombea Urais wa chama Dkt.Samia Suluhu Hasan ambae pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tukio hilo limefanyika katika ofisi za mkoa CCM Kilimanjaro...
  15. GE2025 CCM yapitisha Wagombea 208 wa Udiwani Dodoma kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo, mgombea mmoja wa Kata ya Ihumwa jijini...
  16. Yanga ina mashabiki Waislamu, Wakristo, wapagani, wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF, wasionachama n.k

    Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti Mfano Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu Kuna...
  17. Nashauri Tume ya Uchaguzi isiyo huru itangaze CCM washindi kuepuka kupoteza fedha na muda

    Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura. Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi...
  18. J

    GE2025 CCM wasingeangalia kiasi cha fedha kilicholengwa kukusanywa badala yake wangeangalia fedha hizo zinatoka kwenye mikono gani!

    CCM wamefanikisha harambee yao kwa ajili ya Kampeni. Wamepanga kukusanya bilioni 100, wamekusanya bilioni 86 na ushee, ni mafanikio makubwa. Mtindo huu wa kufanya harambee kwa Vyama vya Siasa kwa ajili ya kugharamia Uchaguzi Mkuu si mgeni wala haujaanzishwa na CCM upo na unatumika kote duniani...
  19. GE2025 CCM nakaribia kutokuhitaji kura za Watanzania ili ibakie madarakani

    CCM imejiupgrade ubabe CCM imetoka kutoka chama cha WAKULIMA na wafanya kazi hadi kuwa kikundi cha mabillionaire . Kama budget ya chama cha siasa inaweza kuchangiwa na watu ambao uadilifu wao unatiliwa shaka unadhani nini kitarajiwacho hapo? CCM ya Babu yangu Bye-bye Kwa muundo wa siasa za...
  20. GE2025 Ni aibu kwa CCM kufanya maagizo ya kukusanya bilioni 86 ndani ya usiku mmoja ili kuuhadaa ulimwengu kuwa wanakubalika na wananchi

    Ndugu zangu watanzania, Ni kweli watanzania wote kwa pamoja, tumeona sinema iliyokuwa ikiigizwa Jana na kweli mwandaaji wa sinema alipatia namna ya kuandaa sinema yake na kuwa andaa vyema waigizaji wake na ukweli sinema ilikuwa ni ya kuvutia Uhuni na maigizo yaliyo kithili mithiri ya sungura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…