Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Zaidi ya Wanachama 3000 wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wamejitokeza leo agosti 13 2025 kumdhamini mgombea Urais wa chama Dkt.Samia Suluhu Hasan ambae pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tukio hilo limefanyika katika ofisi za mkoa CCM Kilimanjaro...
Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao.
Hata hivyo, mgombea mmoja wa Kata ya Ihumwa jijini...
Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi
Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu
Kuna...
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.
Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi...
CCM wamefanikisha harambee yao kwa ajili ya Kampeni. Wamepanga kukusanya bilioni 100, wamekusanya bilioni 86 na ushee, ni mafanikio makubwa.
Mtindo huu wa kufanya harambee kwa Vyama vya Siasa kwa ajili ya kugharamia Uchaguzi Mkuu si mgeni wala haujaanzishwa na CCM upo na unatumika kote duniani...
CCM imejiupgrade ubabe
CCM imetoka kutoka chama cha WAKULIMA na wafanya kazi hadi kuwa kikundi cha mabillionaire .
Kama budget ya chama cha siasa inaweza kuchangiwa na watu ambao uadilifu wao unatiliwa shaka unadhani nini kitarajiwacho hapo?
CCM ya Babu yangu Bye-bye
Kwa muundo wa siasa za...
Ndugu zangu watanzania,
Ni kweli watanzania wote kwa pamoja, tumeona sinema iliyokuwa ikiigizwa Jana na kweli mwandaaji wa sinema alipatia namna ya kuandaa sinema yake na kuwa andaa vyema waigizaji wake na ukweli sinema ilikuwa ni ya kuvutia
Uhuni na maigizo yaliyo kithili mithiri ya sungura...
Wakuu wa JF,
Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe
Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka...
SI dhambi CCM kufanya harambee ya kuchangia kampeni zake,
Lakini Kwa chama kama ccm chenye kupata matirioni ya ruzuku tulitakiwa kupewa taarifa wanapoomba bilioni 100b basi wao kama wao wanachangia Kiasi Gani kutoka kwenye mfuko wa ruzuku.
Nakumbuka CHADEMA walichangisha tone tone baada ya...
Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
Wakuu!
Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea.
Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
HII SIYO GALA NI KUGALAGALA
Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025.
Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe.
Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo
Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga
Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa!
Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa!
Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM...
Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.