bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Messi amedhulumiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano

    Rodri hana goal wala assist. Messi ana goli 8 na assist 4. Rodri mchezaji bora wa mashindano wakati Messi sio. Hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
  2. Waufukweni

    Ipi picha yako bora kwenye Kombe la Dunia 2026?

    Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
  3. 3

    Vyuo vikuu 10 bora Afrika 2026

    Vifuatavyo ni vyuo vikuu bora Africa Mashariki 2026: 1. Chuo kikuu Addis Ababa ( Ethiopia) 2.Chuo kikuu Makerere(Uganda) 3.Chuo kikuu Nairobi( Kenya) 4.Chuo kikuu cha Khartoom ( Sudan) 5. Kenyatta University( Kenya) 6. Strathmore University( Kenya) 7. Chuo kikuu cha UDSM( Tanzania) 8. Chuo kikuu...
  4. stabilityman

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef, kondoo) - zina zinki nyingi muhimu kwa uzalishaji wa mbegu za kiume Karanga na mbegu (hasa mbegu za...
  5. F

    NIPIKE NINI LEO ni kitabu bora cha mapishi kutusaidia tunaopata stress na kuwaza cha kupika kila siku. Pia kinawafaa wagonjwa wa kisukari, presha,etc

    1. Kitabu hiki ni kizuri kumsaidia mama wa familia kujua cha kupika bila kuumiza kichwa kwa mawazo. Mfano kama ana wageni wa ghafla kinamsaidia kuona cha kupika haraka. Kama anauguza mgonjwa pia wa magonjwa yanayotokana na lishe kama kisukari ama presha kitabu hiki kinamsaidia kujua cha...
  6. Manyanza

    Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa ajili ya nani?

    Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala yake, aliuliza swali lililogusa kiini cha mjadala wa makazi nchini. Hivi kweli mwananchi wa kipato...
  7. Sprouts pre School

    Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
  8. M

    Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  9. M

    Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  10. C-C Digital Pro

    Civilian-Coin: ni heri Tundu Lissu afungwe maisha jela ili tupate Katika Mpya iliyo bora, hata kuandamana kutakuwa sahihi.

    Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM wanataka Katiba yakuendelea kubaki madarakani nao makapuku wenzangu wao ndio hawajui chochote zaidi ni...
  11. Msanii

    Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  12. munroe

    Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc. Namba zetu :0756416149 :0717847599
  13. Alexido jz instagram

    Mwana FA angeendelea fujo ingetokea ni bora alisitisha, tujitafakari sana

    Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
  14. Pascal Mayalla

    Tuzo za Rais za Walipakodi Bora, Zijenge Utamaduni wa Uaminifu, TRA Watoze Kodi Halali, Wananchi Walipe Kodi Halali, Serikali Itumie Kodi Kihalali

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/uchambuzi-wa-mayala-tuzo-za-walipa-kodi-bora-nchini-zijenge-utamaduni-wa-uaminifu-5520694 Paskali
  15. Yoda

    Ukweli unaoogopwa na kufichwa na watawala; Wanaharakati ni bora kuliko wanasiasa.

    Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
  16. zee_latown

    Nadhani Ridhiwani ni kiongozi bora, nitamuunga mkono

    Wanjamvi na geniuses wa HnM sakamu! Nimetafakari sana, nimewaza na kuwazua. nikahitimisha kuwa hakuna kisicho na dosari. Mhe. Ridhiwani Kikwete ni kiongozi bora, ni bora ndiyo, na siku hapo mbeleni akitangaza nia ya kujaribu kugombea Urais, nitamuunga mkono 100%. Sababu zangu zipo hapo chini...
  17. G

    Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  18. Red black

    Ipi ni nyimbo yako Bora ya muda wote?

    Yakwangu ni Aikon--Ghetto hii nyimbo jamaa aliitunga kwa ustadi wa hali ya juu sana.
  19. Best home tutor

    Sisi ndio mabingwa wa elimu bora Tanzania ,usisubirie kusimuliwa tupe mtoto wako leo uwe shuhuda wetu

    Mafanikio ya mtoto wako yanaanzia hapa! Tunatoa huduma bora za Home Tuition kwa wanafunzi wa ngazi zote (One hadi Six) pamoja na wanaoanza kabisa (Beginners). Tunafundisha: ✅ Mitaala yote ya shule ✅ Kiswahili ✅ Lugha za kigeni mbalimbali kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza lugha mpya, mfano: 🇬🇧...
  20. AXIOM APEX VERBOSE

    Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba

    Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu. Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu. Nakukumbusha vaa Condom.
Back
Top Bottom