Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi
1-Kupitia Payoneer
2- PayPal
3-Direct kuja bank zetu hizi
Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema chama hicho kimeamua kuendelea kudai mabadiliko ya kweli badala ya kufanya siasa kwa ajili ya kuonekana pekee. Heche amesema wanapozungumzia masuala yanayowagusa wananchi na kudai mabadiliko, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita...
Li nchi linakwenda zigzaga utafikiri halina jeshi.
Kikundi cha watu kinaendesha nchi upumbavu mtupu.
Kwa katiba ilivyo akitokea Kiongozi kichaa anaweza kuwaamuru hata jeshi lifanye jambo la ajabu na jeshi likatii...
Habari,
Nimemtazama JJ Ephraim ambaye ni mtoa Maudhui ya video kwa namna ya kuburudisha jamii pamoja na kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha.
Nampa Kongole kwenye ubunifu wa kuandaa mawazo, jumbe na mafunzo yanayolenga jamiii moja kwa moja kwenye kuonya,kufundisha na kuburudisha.
Umekuwa...
Wanabodi
Kwanza samahani kwa udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!,kiukweli ni ujinga,https://www.jamiiforums.com/threads/shurti-la-kudhaminiwa-na-chama-kugombea-uchaguzi-ni-shurti-batili-kwa-mujibu-wa-katiba-linatutia-hasara-tulifute.1388948/
Tena ujinga...
Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria
Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini.
Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini
Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima.
Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo:
🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD)
♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.
Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.
Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno
Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno
1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala
2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati
Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa
1. Zuia machawa katika chama
2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena.
3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha.
Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
1.Wapare hawa ni watu hawataki upende familia yako au uwe karibu nayo wanataka wewe uwe naye na familia yake tu .
Wapo tayari wateke akili yako ili usiwe na akili ya kusaidia familia yako. Ni yao tu.
Pia ni wachawi sana sana hawana mfano.
2.Wachaga ni washirikina wanajua kukufanya usiwe na...
Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano
1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
Habari wana JF
Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu.
Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.