bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  2. Infropreneur

    Waafrika tunapambana kujionesha bora na kutaka sifa na validatio kutoka kwa watu weupe

    Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe. Sisi waafrika...
  3. M

    Ili wikiendi yako iishe ikiwa bora unahitaji burudani gani leo?

    Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
  4. USSR

    Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  5. Financial Analyst

    (2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa.
  6. Financial Analyst

    (1) JF VOTES: MTENGENEZA MAUDHUI BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURA👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/2-jf-votes-mchangamsha-kijiwe-bora-wa-mwaka.2480948/ https://www.jamiiforums.com/threads/3-jf-votes-master-wa-comment-kuntu-na-fikirishi-wa-mwaka.2480952/...
  7. Pre International School

    Elimu bora inapatikana kwetu

    Personalized Learning. Better Performance. Brighter Futures. 🏡 Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Elite Home Tuition Services inakusaidia kupata walimu wanaofaa kulingana na umri wa mwanafunzi, mtaala anaosoma, mahitaji yake ya kielimu na eneo unaloishi. 📚 HUDUMA ZETU...
  8. Eli Cohen

    Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  9. Oscar Lyrics

    Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

    Hi guys, Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana Asanteni sana
  10. min -me

    Dini bora kwa jinsia ya kiume.

    Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake. Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu. Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu. Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni...
  11. Financial Analyst

    Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  12. Waufukweni

    PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
  13. Yoda

    Ni bora kuamini Mungu yupo umkose kuliko kuamini hayupo umkute?

    Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la kamari ya Pascal. Inasema kwamba mtu yeyote mwenye busara anapaswa kuishi kana kwamba Mungu yupo...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

    Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha. Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
  15. J

    Israel inaamini ni Bora wakuogope kuliko wakupende

    Kwa wanachofanya Israel hapo mashariki ya kati licha ya kelele nyingi zinazopigwa Hawa jamaa bado wanaishambulia tu Gaza na Lebanon
  16. G

    Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  17. Zack Abdul

    RC ROSEMARY SENYAMULE: HUDUMA BORA KWA WAZEE NI KIPAUMBELE

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya. Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za...
  18. mwandende

    Nimekoma kupiga mwanamke bora nimemwacha aende kwa amani., majuto ni mjukuu.

    Kila nikifikiria yaliyonikuta ktk maisha yng ya ndoa Miaka kadhaa iliyopita, najiona nilifanya uamuzi sahihi sana kumwacha aende kwa amani. Nikiwa na umri wa miaka 25 nilibahatika kuoa msichana mmoja wa kitanga,,sijawahi kumpenda mwanamke kama nilivyompenda huyu binti wa kuitwa Mwanamkasi. Baada...
  19. K

    Mkutano wa 153 wa IPU Arusha: Je, Tanzania Inahubiri Utawala Bora Usio na Uhalisia?

    Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
Back
Top Bottom