Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi?
2/
Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi?
2/
Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu.
Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha.
CHRIST IS KING
GT
Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana.
Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa.
Kama maCCM...
📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme
📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme
📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board)
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano.
Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa mimba anakuacha. Nataka niwaambie wanaume wanaofanya hivi wanakosea sana na ni uovu mbele za Mungu...
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!
Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii...
Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa...
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
📠☎️ 0781647066
WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
Je, umewahi kuhitaji spare parts za magari na kutafuta sehemu za ubora? Au pengine unahitaji huduma za kutunza gari lako ili likuweke kwenye hali nzuri? Jerry Spare Parts and Services inakuletea suluhisho bora!
Kuhusu Jerry Spare Parts and Services:Jerry Spare Parts ni duka la kuaminika...
Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji.
Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
Wakili Onesmo Olengurumwa Onesmo Kasale Olengurumwa ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kupitia ukurasa wake wa X ametoa somo kuhusu masuala ya Demokrasia akilinganisha mifumo ya Demokrasia kati ya...
Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa.
Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na...
Heshima zenu wasafiri wazoefu!
Ukiacha Shirika letu la ATCL, ni mashirika gani bora ya Ndege, hasa zinazomilikiwa na nchi za Kiafrika, kwa safari ya Dar - Dubai?
Daraja ni la UCHUMI!
Nimeshasikia mashirika yafuatayo yakisifiwa!
1. Kenya Airways(KQ)
2. Ethiopian Air Lines (EAL)
3. RwandAir
4...
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.
Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.
Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
WEKA TILES KISASA NA KWA UBORA WA HALI YA JUU!
Tunatoa huduma za kuweka tiles za kisasa kwa nyumba, ofisi, migahawa na maeneo mengine yote.
Tuna uzoefu, kasi, na tunazingatia ubora!
Bei ni rafiki kwa mteja—huduma ni ya kitaalamu!
Piga:0683336444
WhatsApp: 0784075326
Dar es salaam
Huduma bora...
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽,
Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.