bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ni Bora aheri mara elfu uwape watoto yatima na wasiojiweza kuliko kukichangia hiko chama. 🚮

    Nasema wazi usijichumie dhambi Bure... Hio hela peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza, kwenye vituo vyao wanamotunzwa ama kule hospitalini ambao wanakosa elfu 20 ya matibabu, wengine wanakosa hela ya kutoa ndugu zao mochwari, hakika utapata thawabu Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam, katika...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba tiki kwa samia ili kujenga tanzania bora

    Siku ya Jana tarehe 09.08.2025 ilikuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko makubwa yaliyo mbeleni kwa Taifa baada ya mgombea bora wa urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu kuchukua fomu ya uteuzi. Kilichofanya ubora wa mgombea huyu ni vipaumbele vyake vilivyobeba matarajio makubwa ya wapigakura na...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

    Habari, Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu anagombea urais? si bora wange mchukua mbwana Samata?

    Salum Mwalimu kama alishindwa kuupata urais wa chuo cha IFm anaweza kushindana na Samia? Si bora wangamlushawishi mbwana Samata awe mgombea kupitia CHAUMA? Kwani Gorge Weah alikuwa mwanasoka wa dunia na hivi ni Rais wa Liberia
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Wakuu, Ni ukweli usiopingika kuwa Hiphop siku hizi imekuwa ni nyepesi mno tofauti na zamani Siku hizi bars zimekuwa nyepesi na hata staili ysa kuchana imebadilika mno. Leo kuna playlists moja nimekutana nayo huko Spotify. ilikuwa na nyimbo za marapa hawa ambao tangu kitambo wako kwenye game...
  6. 888I

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  7. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa vs Kujiajiri kipi Bora? Mdau karibu utupe maoni yako

    Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
  8. Engineer izaq

    JamiiForums Tanzania Sehemu bora ya field Electrical engineering

    Habari, Me ni mwanafunzi wa DIT ktk fani ya Electrical Engineering, kwa sasa Nipo week ya kwnz ya Field hapa Azam(Tazara/Dsm)... ila changamoto ninayo iona apa hakuna zile kazi nikaongeza knowledge hata kdg, mda mwingi tunakaa tu. Naomba msaada sehem bora kwny Field hii ya umeme, niondoke apa!
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  10. H

    JamiiForums Tanzania Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

    Jitafakari!!
  11. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nikifahamu unavaa hivi bora urafiki ufe

    Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi kuvaa hivi
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Lucky dube vs Bob Marley nani alikuwa bora kwako?

    Wakuu, kati hawa miamba wawili dube, Marley nani alikuwa mkali kwako? Kwangu mimi kura ipo kwa dube.
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania USimkatie mtu tamaa: "Nilimsikia mama akisema bora ningekufa tu". Kisa cha kweli cha Martin Pistorius

    Martin Pistorius, raia wa Afrika Kusini ambaye alipata ugonjwa usiojulikana akiwa na umri wa miaka 12, na baadaye akaingia kwenye hali ya coma (hali ya kupoteza fahamu) mnamo mwaka 1988. Akawa hana uwezo wa kuongea, kutembea, wala kujieleza. Madaktari hawakuelewa ugonjwa wake kikamilifu, na...
  14. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Me naona NI Bora kugoma kuliko kuandamana

    Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya petrol kupanda haya wameuliwa na police na wengi majeruhi. Lakini unaonaje kama wangefanya...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Biashara zangu Bora kwa sasa hapa bongo NI apartments, pool tables, saloon.

    Bado kuna upungufu mkubwa wa nyumba na lodge aisee wageni nchini wanazid kuingia mambo NI MENGI wachina na watu kutoka Mataifa wanamiminika kwenye miradi.imagine anakuja mchina anakuta Una nyumban hujamaliza kujenga yuko tayari kukupa hela uimalizie finishing wahamie.cake ya TAIFA iliwe kila mtu...
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe ni WATU NA NUSU. Hatima ya utawala bora iko mikononi mwenu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu (Upande wa CCM)

    Ni nani wajumbe hao? Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani. CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sina tabia ya kuchagua vitu (vyakula) sokoni vilivyo bora

    Kuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje...
  19. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kipi bora uwe na kitu, ukipoteze? Au bora usiwe nacho kabisa!

    Kwema bandungu! KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi. Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa? HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na mjadala.
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ndoa na kazi ipi bora?

    Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi. Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake. Hii imekuwa...
Back
Top Bottom