bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
  2. Kupandisha wanyama kwa chupa(AI) ni bora kuliko kutumia dume halisi?

    AI ni kifupi cha artificial insemination, yaani upandishaji wa jike kwa mbegu za dume zilizohifadhiwa, bila dume kumpanda jike moja kwa moja. Wafugaji wengi huuliza kama njia hii ni bora kuliko kutumia dume halisi. Jibu ni kwamba inategemea aina ya ufugaji na hali ya mfugaji. Faida kubwa ya AI...
  3. M

    Bora Fatma Karume aka Shangazi alivyoachana na dunia hii

    Jambo gumu, utapoteza marafiki, utalaumiwa na wanaharakati, utalaumiwa na wanasiasa, vidole havikubali vitataka kuttype ktk social media. Jambo Zito. Lakini Fatma Karume amefanikiwa, hivi sasa amejikita zaidi ktk kumtumikia muumba wake, kuitafuta akhera yake na kuipa kisogo dunia. Ameiepuka na...
  4. Moja ya ushauri Bora sana kutoka kwa dada na mama yetu kipenzi hakika yuko real sana

    Zingatia paragraph ya mwisho Cc leo dada
  5. Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

    kwenye hizi siasa za nchi yetu nimejifunza bora tungetawaliwa na wakoloni weupe kuliko hawa.hawa wakoloni wa sasa hivi hawana utu,ni wauaji,wabakaji,walawiti na mafisadi NK.Wanaiba hadharani na kwakuwa wameteka vyombo vya usalama na kutengeneza vyombo vya sheria wanajiona hawazuiliki. ubaya ni...
  6. A

    POLISI TANZANIA WAZIDI KUTAMBA KIMATAIFA; MMOJA AIBUKA BORA KATIKA WANAFUNZI 139 KUTOKA MATAIFA 29, MWINGINE AWABWAGA WENZAKE 200 NCHI ZINAZOZUNGUMZA

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  7. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  8. A

    HOJA JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora mlizoahidi 2025 zimefikia wapi? Kama imeshindikana tujulisheni

    Mimi ni mmoja wa wahusika wanaosubiri Tuzo za Wanafunzi Bora katika uandishi wa insha zilizoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa yao, washindi walitakiwa kuwasili Dar es Salaam tarehe 4 Desemba 2025 kwa ajili ya kupokea tuzo hizo. Baada ya muda...
  9. Ni kwa kiasi gani uhuru wa mahakama ya Tanzania unachochea ustawi wa demokrasia na utawala bora Tanzania

    Kwa utulivu wa fikra, elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
  10. F

    Pendekeza njia bora za kuhakikisha magari ya watekaji yanaondoa tinted haraka uwezekanavyo

    Mwalimu Nyerere alitembelea gari ambayo haikuwa na tinted glass, na alilindwa vyema tu. Kiongozi wetu lazima uonekane, hupasi kufichwa kama jambazi . Sasa Kuna watu wanatumia magari tinted, tena tinted glass zenyewe ni nzito hasa, Hadi tunajiuliza dereva aonaje akiendesha wakati wa usiku...
  11. Lisu anaenda kuozea Jela kisa kupigania Democrasia kwa watu wasio jitambua, Bora angepigania hata haki za Tembo kuishi

    Lisu yuko kwenye Wrong National akipigania watu very wrong na sina hakika kama Lisu hilo analitambua ama la. Ona sasa anaenda kuozea jela na maisha mataani yanaendelea, Wanao piganiwa hawana habari kabisa, life inaendelea na mbaya zaidi ni kama hakuna kilicho tokea, Lisu namlaumu sana, namlaumu...
  12. F

    Kipi bora kati ya kumlipia mtoto private schools vs kumjengea mtoto assets na kumsomesha goverment schools?

    habari wadau. kwa mazazi mwenye kipato cha kumpa uwezo wa kulipa ada milion 3 kwa mwaka, ila hana hela nyingine ya kuwekeza ujenzi ama kuwekeza kwenye biashara. achague njia ipi ya kumuwekezea mwanae atumie hiyo hela kulipa ada, ili mwanae asome private schools, mbeleni mtoto aje ajiwekezee...
  13. M

    Rahby ni Mchambuzi bora wa kisiasa kuwahi kutokea Tanzania kwa sasa

    Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi. Yale yale alioyachambua ndio yametokea. Jamaa yupo vizuri sana kichwani
  14. Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

    Huyu mwanamke alivyo mtamu nashindwa kumuacha Nilimpendea muonekano wake, sura, umbo, urefu, rangi, pamoja na utamu wa shoo. Nikajikuta nawekeza vijisenti vyangu ili mtoto asitaabike, na aendelee kunipa shoo tamu pale ninapohitaji. Ili kuhalalisha umiliki, tukakubaliana niweke ujauzito, na...
  15. ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  16. M

    Wenon battery je ni bora na imara ?

    Wanajamvi Naomba ushauri juu ya battery hizi nimeweka kwenye gari yangu nashangaa inatoa maji maji hapo kwenye terminals sijajua shida ni nini
  17. Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. 📚 HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  18. F

    Record bora za kiutendaji zinazomfanya Ridhwan Kikwete kutogusika ni zipi?

    Habari ndugu watanzania, Nimemfuatilia kitambo Sasa Waziri wa utumishi ndugu Ridhwan Kikwete, tangu achaguliwa kuwa naibu Waziri, hajawahi kushuka, ni kupanda tu, amevinjari wizara karibia zote nyeti bila kuguswa na kashfa yoyote. Ni mkimya na anajua kufanya kazi yake vyema. Alipokuwa wizara...
  19. Vitu gani vitatu ungekuwa na uwezo ungeviondoa kuifanya Tanzania kuwa bora ?

    Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora 1. CCM 2. Dini 3. Machawa 4.Ushoga 5. Rushwa 6. Muungano 7. Ukosefu wa ajira 8. Gharama kubwa za maisha 9. Uoga
  20. Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

    Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke. Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke. Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion. Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…