Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu.
1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala wa sheria ,haki za binadamu na ulinzi wa Raslimali za Asili za Tanganyika.
2.Kipaumbele changu cha...
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy
Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali...
Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk
Anasema;
• Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na kuhakikisha linaisimamia serikali kuhakikisha haki, sheria na taratibu za kidemokrasia zinazingatiwa na...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X:
"Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.
Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.
Huu ni Ujumbe wake kwetu....
Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
09 April 2025
MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION
https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3w
TLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface...
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi...
Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole!
Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa!
Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja!
Angekuwa mtu wa dili wangemalizana nae kipindi cha bandari!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Ifahamike kwamba mambo...
Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa;
"Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
https://youtu.be/zgoZejCXR1M
Wakuu,
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa mwanachama wake Wakili Joseph Masanja lililotokea Babati Mkoani Manyara.
Kupitia taarifa iliyotolewa na chama hicho Disemba 28, 2024 imeeleza kuwa mwili wa marehemu Wakili Masanja uliokotwa eneo la Bwalo...
Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.
Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Yupo wapiii?
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote.
Serikali, chini ya uongozi wa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.