boniface mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mwabukusi: Hakuwezi kuwa na amani au utulivu kwenye nchi ambayo kukosoa tu unakuwa gaidi

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema hakuna amani wala utulivu katika nchi ambapo watu huishi kwa hofu mlango ukigongwa wakidhani mpendwa wao hatarejea, au ambapo kukosoa pekee kunamfanya mtu aonekane gaidi. Aliongeza kuwa anajisikia aibu kuwa wakili...
  2. A

    Mwabukusi: Mnatoa hukumu za aibu kama ya Lissu halafu unasema msijadili, Aliyekwambia hukumu haijadiliwi nani?

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amewatia moyo watetezi wa haki za binadamu na wanasheria akisema wanafanya kazi takatifu inayohitaji kusimamia sheria bila kumwogopa wala kumuonea mtu yeyote, huku akigusia matukio ya watu wasioweza hata kushika manati kukusanywa...
  3. C

    Mwabukusi: Maridhiano au upatanisho haviwezi kufanikiwa bila ukweli, haki na uwajibikaji

    Maridhiano au upatanisho wa kweli na wa kudumu hauwezi kufanyika bila kwanza kuwepo kwa Tume Huru, Jumuishi na Yenye Kuaminika ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI. Tume hiyo lazima ijumuishwe na wataalamu wenye uwezo na uadilifu kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na uwakilishi wa wahanga wenyewe...
  4. Waufukweni

    Mwabukusi: TLS hatutakaa kimya kuhusu Lissu, ni wajibu wetu kusimamia Haki na Utawala wa sheria

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),Wakili Boniface Mwabukusi, amesema chama hicho kitatoa taarifa rasmi kuhusu hukumu ya kesi iliyotolewa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Mwambukusi amesema hayo Novemba 10, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari mara...
  5. instinct desire

    Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini kutokana na shutuma zinazomkabili

    Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania. kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali )...
  6. mrxtz2026

    Law organisations stand in solidarity with TLS President Boniface Mwabukusi and call for protection of the independence of the legal profession

    Lawyers for Lawyers, together with the undersigned lawyers’ associations, bar associations and legal professional organisations, expresses our solidarity with Advocate Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi, President of the Tanganyika Law Society (TLS), and expresses our grave concern...
  7. mrxtz2026

    Uhuru wa Taaluma ya Uwakili Tanzania uko hatarini? | Uchambuzi wa kina kuhusu kesi ya Rais wa TLS Boniface Mwabukusi na Matamko ya kimataifa

    Wanabodi, Wadau wa Sheria, Watetezi wa Haki za Binadamu na Utawala wa sheria wote ndani ya JF, Nimeona mjadala huu unaanza kuenea, hasa baada ya taarifa ya pamoja iliyotolewa na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda ya mawakili. Nataka niwaeleze kila kitu kwa undani, bila kujificha, ili...
  8. mrxtz2026

    Uhuru wa Taaluma ya Uwakili Tanzania uko hatarini? | Uchambuzi wa kina kuhusu kesi ya Rais wa TLS Boniface Mwabukusi na Matamko ya kimataifa

    Wanabodi, Wadau wa Haki za Binadamu na Utawala wa sheria wote ndani ya JF, Nimeona mjadala huu unaanza kuenea, hasa baada ya taarifa ya pamoja iliyotolewa na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda ya mawakili. Nataka niwaeleze kila kitu kwa undani, bila kujificha, ili tujue kinachoendelea...
  9. Waufukweni

    Mwabukusi: Msajili wa Vyama, sajilini vyama vya Gen Z, msipofanya hivyo wataunda Vikundi vya Waasi!

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuongeza usajili wa vyama vipya ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya kushiriki katika siasa. Mwabukusi amesema vijana wanapaswa kupewa fursa ya kuwa na vyama vinavyoendana na mitazamo na...
  10. kavulata

    Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

    Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika. TLS iliwahi kuongozwa na...
  11. Q

    Boniface Mwabukusi: Hongera Shaheen, Usipojisimamia Utasimamiwa.

    Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia. Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda wala upotoshaji unaoweza kuufuta. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba badala ya kutafakari kwa kina...
  12. Pascal Mayalla

    Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

    Wanabodi TAARIFA KWA WANACHAMA KUHUSU SHAURI LILILOFUNGULIWA DHIDI YA RAIS WA TLS WAKILI BONIFACE ANYISILE KAJUNJUMELE MWABUKUSI KWENYE KAMATI YA KITAIFA YA MAWAKILI (NATIONAL ADVOCATE COMMITTEE) Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa masikitiko makubwa linawajulisha...
  13. Waufukweni

    PostGE2025 Mwabukusi: Tunahitaji ukweli uliokamilika waliotekwa wako wapi? Na wa 'Mauaji ya Halaiki' ya Oktoba 29, 2025

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya Halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona...
  14. Mindyou

    PostGE2025 Rasmi Kesi iliyofunguliwa na TLS kupinga amri ya IGP kuzuia watu kutoka nje Oktoba 29 imetupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini, Mahakama Kuu imeiamua kuitupa kesi hiyo kapuni bila hata kuanza kuijadili. Hizi ndizo sababu tatu (3)...
  15. Q

    Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  16. Dalton Elijah

    SI KWELI Boniface Mwabukusi: Matamshi ya Lissu yalikuwa na Uhaini ndani yake turudi mezani yanazunguzika

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha (graphic) inayosambazwa kwenye vikundi vya Facebook ikimnukuu Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Boniface Anyisile Mwabukusi Picha hiyo inadai kuwa Rais huyo amesema matamshi ya Tundu Lissu yana viashiria vya "uhaini" na kwamba...
  17. M

    Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  18. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  19. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Vurugu zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kuonyesha dissatisfaction, hakuna kura iliyopigwa kuanzia saa 4

    Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza...
  20. McLaren

    PostGE2025 Mwabukusi: Kuiba ngoma ya kijiji inaweza isiwe tatizo bali pa kuipiga kwa amani bila wanakijiji kukusikia!

    Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia (Msemo wa wahenga). HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitatutoa hapa tulipo katuka mkwamo huu...
Back
Top Bottom