bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Interview and employability; Usipozingatia haya, utaishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye interview

    USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka kadhaa nimekuwa kwenye Managerial Level katika taasisi ninazofanyia kazi. Na katika recruitments...
  2. JamiiForums Tanzania Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  3. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kukopa bila kunyimwa Mkopo

    Huku tozo zikiwa zinazidi kunjunja vichwa, nimeona leo tujaribu kurahisisha maisha pale unapokwama. Ndugu hakuna njia yakutatua tatizo lako ukiwa ukingoni bila kuomba msaada au comeback kwa marafiki mpaka ndugu. Sasa leo mimi kwakua watu wanajaribu kuanzisha movement zao kwamba "BORA UMFADHILI...
  4. JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

    Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amemaliza ziara ya Mkoa wa Geita bila kuruhusu wananchi kuuliza maswali?

    Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
  6. JamiiForums Tanzania Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kumkopesha pesa mpenzi wako na akakulipa bila shida? ulitumia mbinu gani kumdai? Share hapa

    Unajua Kusema 'hapana' ni ngumu wakati mwenzi anaomba pesa tena akionesha ana shida muhimu au vyovyote vile. Lakini kabla ya kusema ‘ndiyo’ jiulize maswali muhimu Atakulipa? Atakulipa kwa wakati? Asipolipa unafanyaje? Uko tayari kudhulumiwa?
  8. JamiiForums Tanzania Ambao tunafunga goli 2 bila kupumzika tukutane hapa tupeane ujanja zaidi tuweze kupiga tatu

    Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu; 1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako. 2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro hapa inategemea na show yako. Mwingine dakika 2, 3, 4 na wengine kwasababu za kimaumbile na kihisia...
  9. JamiiForums Tanzania LIVE-IN RELATIONSHIPS: Wakristo wanaongoza kwa mahusano ya kuishi pamoja kwa muda mrefu kabla ya kuoana au kuishi bila ndoa rasmi, nini chanzo?

    Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzungumzia maendeleo ya teknolojia duniani bila kuitaja China

    Na Gianna Amani China ni nchi kubwa kiuchumi na yenye idadi ya watu wengi kuliko nchi zote duniani, na ni muumini mkubwa wa teknolojia katika shughuli zake mbalimbali. Miongoni mwa mambo ya kuvutia ni namna jinsi China inavyotumia teknolojia katika shughuli zake za bandari. Bandari ya Qingdao...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

    Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
  12. JamiiForums Tanzania Usilolijua ni kwamba Aron Kagurumujuli amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni

    Kwa wageni wa JF ama labda na Wenyeji lakini Wasahaulifu , Aron Kagurumujuli alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni , aliyeshiriki kikamilifu kutokomeza Demokrasia na kuhusika kwa Udi na Uvumba kwenye Mauaji ya Akwilina , Mwanafunzi wa chuo cha NIT , aliyepigwa risasi na Polisi na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wanamambo meeengi ya kujirudia rudia bila wao kujua

    Wakuu heshima zenu kuna jambo hapa iko hivi. Maisha ya wanawake naona km wao wana mambo mengi wanayofanya kila siku tena mara nyingi zaidi ya wanaume. Namba tatu (3) sina uhakika sana ila wanawake kongole kwao wanachangamsha ulimwengu toka kwa enzi za mzee Adam MAMBO HIZO NI KAMA- 1. kuongea...
  15. JamiiForums Tanzania Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  16. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri bila kutoa taarifa inasaidia sana kwa usalama wako

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu. Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Internship bila malipo kwa wakazi wa Arusha wilaya meru

    Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi. tumeni c.v...
  19. JamiiForums Tanzania Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

    Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana. Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
  20. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…