bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ukigundua mke wako ni mshirikina na hampendi mama yako na ndugu zako, suluhisho ni lipi kwa misingi ya kikristo bila sheria za mahakama?

    nataka tujuzane wakristo kwamba ndoa zetu hizi za kikristo zimekaa kinadharia sana kuliko kiuhalisia, sheria hazijajitosheleza na ndio maana watu hukimbilia mahakamani maana wanaona kabisa sheria za kikristo bado haziwezi kutatua hali zao. Ukristo unaweza kutatua tatizo hili bila kutegemea...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi kitatokea nini kama ukiamua kukaa siku nzima bila kumuongelea mtu?

    Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Fumba Macho: Bila uongozi bora na akili bora nchi yetu itabaki kuwa maskini tu. Sasa ni miaka 60, CCM mpewe miaka mingapi?

    Huyu mzee Fumba Macho mzaliwa wa Mwanza Magu amelifimbua macho taifa ktk hotuba yake aliyoitoa kwenye jukwaa la Club House. Mchungaji huyo amemtaja Prof Assad kuwa ni Mwislam mcha Mungu sana. Pili amelitaja tatizo kubwa la ccm na tanzania ni mifumo mibovu ambayo imejaza watendaji wasio na...
  4. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Jamii bila maskini haitakalika na hao matajiri

    Pamekuwa na porojo za vita ya kuondoa umaskini hii ikamaanisha pia kuondoa maskini katika jamii. Lakini kwa uhalisia dunia haitakalika kama umaskini utaondolewa na maskini kutokweka sawia. Bila maskini:- 1. Kazi za mazingira magungu wanazozifanya zitakisa watu wa kuzifanya 2. Wanataaluma kama...
  6. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kituo cha afya chazinduliwa bila choo Ikungi, Singida. MoH mko wapi?

    Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

    HI great thinkers Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake. Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa. 1...
  8. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Usiende kanisani bila sadaka hata kama unamashaka, usiile tafuta pa kuipeleka

    Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno. Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno. Imani bila matendo imekufa Faida za kutoa sadaka. 1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa. 2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

    Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020? Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

    Wakuu, Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya. Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  14. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Urusi na Iran Sasa Rasmi Kuungana kwa Ajili ya Kupata Ndege Bila Rubani Kamikaze

    Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Global Warming hawaielewi, wanapelekeshwa tu na kutesa watu bila ya sababu!

    Umeme unakatwa kuokoa mazingira, wanawasha Diesel Generators 24/7, hakuna kitu kinachangia CO2 emissions kwa kiasi kikubwa kama Diesel, umeme wa Tanzania kiasi kikubwa unatokana na vyanzo vya Maji, hivyo ni renewable energy. Acheni kutesa watu bila ya sababu, hata Wazungu wenyewe na Wachina...
  16. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia; usipite bila kusema kitu tafadhali

    Ndg members wote, habari za wakati huu? Ofcoz ni nzuri. bila kupoteza muda, kama unafahamu chochote kuhusu tatizo hili, naomba neno lako la hekima ukinishauri; Tatizo langu ni hasira za mara kwa mara! ndg zangu, baada ya kugundua kuwa nina tatizo hili, nimejitahidi kufanya mazoezi ili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ipitishwe sheria ya kumuwajibisha Hakimu anayehukumu watu bila ushahidi usioacha shaka

    Hakimu aliehukumu watu bila ushahidi,naye ahukumiwe,ipitishwe Sheria ya kuhukumu watu Kama Hawa. Haiwezekani, hakimu bila ushahidi anahukumu mtu anatumikia miaka miwili, then anatolewa nje eti Hakimu alietoa hukumu hakuwa na ushahidi, huu ni ujinga Mkubwa.
  18. Execute

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

    Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa. Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano. Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala...
  19. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Umewahi pitisha hata siku tatu bila kutia maji katika mwili?

    Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata? Ulijisikiaje?
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yajikita kileleni kwa mechi 46 bila kufungwa

    Klabu ya Yanga imerejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa pointi 23 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Bao pekee alilofunga kinda Clement Mzize dakika ya 18 ni la kwanza kuifungia Yanga kwenye mechi za...
Back
Top Bottom