bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Angela Kiziga alichota bil 45+ peke yake bila kutoa mgao ?

    Walimu tunahangaika sana . Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima. Wenzetu wanajichotea mabilions of cash. Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
  4. JamiiForums Tanzania Jamaa Aliyeichezea FBI Kwa Miaka 22 Bila Kugundulika

    Usiku wa Mwisho wa Uhuru Ni Jumapili ya baridi, tarehe 18 Februari 2001. Mzee mmoja, yuko kwenye miaka ya hamsini mwishoni, anatembea peke yake kwenye bustani tulivu nje kidogo ya Washington DC. Anaonekana kawaida tu – hana wasiwasi, hana haraka, kama mtu tu kaenda kutembea. Anasimama karibu na...
  5. JamiiForums Tanzania Google/Android wanaondoa uwezo wa sideloading apk bila vizuizi.

    Kuanzia 2026 simu za Android hazitaweza tena kuinstall apk ambazo developer wake hayupo verified na Play Store.
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Kwanza kupita bila 'Kupingwa' Malinyi ni chaguo la wanaccm au asiyetaka kustaafu?

    Jana 30/08/2025 wakati wa kampeni za CCM Mjini Morogoro, mgombea moja wa Ubunge , alidai na kushukuru kwa kupita bila kupingwa.
  7. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  8. JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda

    SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
  11. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  12. JamiiForums Tanzania Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

    Mimi binafsi siwez lala bila mto Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi Siwez lala taa ina waka Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke Siwez lala uku mziki una imba no Ninyi wengine mna wezaje?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania waendelee kuwa wamoja na kuijenga nchi bila manung’uniko:

    --- 1. Kukuza Utawala Bora na Haki kwa Wote Watanzania wanahitaji kuona haki ikitendeka bila upendeleo. Uwazi katika uongozi, kusikiliza wananchi, kushughulikia kero zao kwa wakati ni msingi wa kuondoa manung’uniko na kuimarisha mshikamano. 2. Kuweka Msingi wa Usawa Katika Fursa Fursa za...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge na Madiwani 25%wa CCM kupita bila kupingwa?

    Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua form kwenye vyama vya CCM B Halafu mnaambiwa uchaguzi utaghalimu 500 bilion + CCM+ Kikwete+Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  16. JamiiForums Tanzania Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  17. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

    Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa siasa uchwara zimekithiri michezoni leo naomba Morroco waifungu taifa stars tano bila

    Litakuwa jambo jema sana. Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba. Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu. Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha. Leo stars afungwe tano bila
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi Wanavyo Wabembeleza Watanzania Kusapoti Stars Utadhani Sio Wanao Waibia Kura na Kuwadharau Watanzania Bila Aibu.

    Maneno meengi kuipigia debe Taifa Stars na hasa Wakenya walipo amua kuwa against sisi kwa kila jambo hasa kutusaidia kutokana na sisi kushindwa kujipigania na tukijipigania tuna kumbana na nguvu ya dola au kutekwa na kupotezwa. Wako wapi hao milioni 13 wanaccm wasijae kiwanjani kuipigania "timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…