The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 )
Windows 11 -...
Najua ni moja kati ya maswali ambayo yanawasumbua baadhi ya vijana wakiwaza wanaenda kuishi vipi baada ya anguko la serikali ya kikoloni.
Watakula nini? watalipa vipi kodi? na je ni muda wa kuanza kutumia akili zao?
Nitaandika uzi kuhusu ajira kadhaa za muda ambazo machawa wanaweza kuanza...
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!!
Tujitafakari!
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.
Tujitafakari!
Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅
Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment...
Ukweli Mchungu
Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa.
Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Hivi karibuni mkuu wa mkoa alitangaza wazi kwamba marekebisho yamekamilika—lakini hali halisi kwa...
Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka.
Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani
Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule adui uliekua unamtisha na maandamano Utakua umempa nguvu kwa 100% ya kuwafanya atakavyo maana atajua nyie ni debe tupu.Na atazizoea kelele zenu mpaka 2030 atafanya atakavyo yeye.
Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
Habari,
Pagination ni nini ?
kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja.
Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA?
Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?”
Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue chanzo cha tatizo lako. Mara nyingi linatokana na urithi wa kimaumbile, tohara ya utotoni, maradhi...
Niaje waungwana
Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa.
Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
Bado tupo IAA Mobility Ujerumani, na sasa tunaona kampuni ya magari Polestar kutoka Sweden, wakizindua flagship sedan yao Polestar 5.
Polestar 5 GT zimezinduliwa za trims mbili, Dual Motors Launch Edition na Performance Launch Edition.
Acceleration kutoka 0-100 kph inachukua sek 3.8 tu kwa...
Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu...
Wanavyosemaga Kampuni la Teknolojia Apple lina hela hawatanii. Ndio maana kuchoma Trillion 25 kwa miaka 10 kwenye R&D, kwao ni hela ndogo (hii ni sawa na net profit ya mwezi mmoja!)
Sasa, hawa jamaa mwaka 2014 walipata wazo la kuingia kwenye sekta ya magari, na kutaka kutengeneza gari la...
Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi.
Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
Tangazo muhimu.
Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako
Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii.
Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025.
Sikiliza kwa makini...
Ndugu zangu Watanzania,
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo."
Hatua hii inaathiri moja...
afc/m23
bila
breaking news
congo
dr congo
drc
elimu
elimu bila malipo
katika
kusitisha
maeneo
malipo
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
ndani
news
rasmi
serikali
shabani
waasi
waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.