bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 ) AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 ) Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 ) Windows 11 -...
  3. JamiiForums Tanzania Uchawa umekulipa nini? Na utaenda kuishi vipi bila uchawa? Au uliishia kupiga picha na viongozi na kualikwa bungeni

    Najua ni moja kati ya maswali ambayo yanawasumbua baadhi ya vijana wakiwaza wanaenda kuishi vipi baada ya anguko la serikali ya kikoloni. Watakula nini? watalipa vipi kodi? na je ni muda wa kuanza kutumia akili zao? Nitaandika uzi kuhusu ajira kadhaa za muda ambazo machawa wanaweza kuanza...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  6. JamiiForums Tanzania Kuongezwa kwenye makundi ya shughuli/sherehe bila ridhaa ni kero

    Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅 Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment...
  7. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza Yageuzwa Jangwa: Wiki ya Tatu Bila Maji, Viongozi Wanaendelea na Siasa

    Ukweli Mchungu Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa. Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Hivi karibuni mkuu wa mkoa alitangaza wazi kwamba marekebisho yamekamilika—lakini hali halisi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule Mkandamizaji atakua amepata Nguvu kwa 100% kufanya atakalo bila wasi wasi

    Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule adui uliekua unamtisha na maandamano Utakua umempa nguvu kwa 100% ya kuwafanya atakavyo maana atajua nyie ni debe tupu.Na atazizoea kelele zenu mpaka 2030 atafanya atakavyo yeye.
  10. JamiiForums Tanzania Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

    Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo linalokula data za watu bila mtu kufahamu hapa kwenye pagination ya chapisho

    Habari, Pagination ni nini ? kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja. Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
  12. JamiiForums Tanzania Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuongeza uume bila madhara?

    NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA? Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?” Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue chanzo cha tatizo lako. Mara nyingi linatokana na urithi wa kimaumbile, tohara ya utotoni, maradhi...
  14. JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Niaje waungwana Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa. Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
  15. JamiiForums Tanzania Polestar 5 EV Sedan imezinduliwa: Mswiden na Mchina wanatuuzia kwa Mil 320 bila TRA!

    Bado tupo IAA Mobility Ujerumani, na sasa tunaona kampuni ya magari Polestar kutoka Sweden, wakizindua flagship sedan yao Polestar 5. Polestar 5 GT zimezinduliwa za trims mbili, Dual Motors Launch Edition na Performance Launch Edition. Acceleration kutoka 0-100 kph inachukua sek 3.8 tu kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
  17. JamiiForums Tanzania Apple walitumia zaidi ya Trillion 25 kwenye Project Titan na ikafeli bila kutengeneza ata gari moja la kuzugia!

    Wanavyosemaga Kampuni la Teknolojia Apple lina hela hawatanii. Ndio maana kuchoma Trillion 25 kwa miaka 10 kwenye R&D, kwao ni hela ndogo (hii ni sawa na net profit ya mwezi mmoja!) Sasa, hawa jamaa mwaka 2014 walipata wazo la kuingia kwenye sekta ya magari, na kutaka kutengeneza gari la...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi mbobezi Giorgio Armani amefariki September 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91 bila mke wala mtoto

    Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi. Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
  20. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…