bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nasemaje hakuna MARIDHIANO bila UWAJIBIKAJI

    Naon CCM wameanza kulegea tayari hatuwezi kufanya maridhiano sasa hivi hii inaitwa TOO LATE MISSION tunahitaji UWAJIBIKAJI wao kwa kujiuzulu mara moja nakuanza mazungumzo baada yao kuwajibika kwa kujiuzulu.
  2. JamiiForums Tanzania Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  3. JamiiForums Tanzania Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  4. JamiiForums Tanzania Mpenzi Bila Majaribio ni Hatari

    Ifike mahali suala la kuoa kisheria liliangalie kwa ukaribu, mke pia ajitolee walau miezi 6. Kama ilivyo kuomba kazi, kwanza ujitolee wakuangalie..🫵🏾
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Facebook imeliwa kichwa bila VPN huoni kitu, CCM must go

    GT Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka

    Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿 Na 👇🏿 ujasiri, uthabiti, Uamuzi, kujitolea, kuzingatia, Itikadi, Ustahimilivu, Mwendelezo, Chanya, Umoja, Umoja, Mtazamo wa kawaida Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
  9. JamiiForums Tanzania Tumejiandaaje kuishi bila mtandao (internet)🛜 kuanzia kesho hadi tarehe 3 November, 2025

    Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na matendo ya kinyama ya poliCCM dhidi ya raia Wema Naona hawa wahuni na mafisadi wanajipalia Mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  11. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania bila Samia ingekuwaje?

    Najaribu kuwaza hali ambavyo ingekuwa kama tungekuwa na rais mwingine na siyo huyu rahis wa sasa.
  13. JamiiForums Tanzania Miezi sita bila ya mahusiano anaambiwa awe na subra

    Rafiki yangu yupo kwenye penzi zito juzi ndiyo ananiambia MIEZI 6 mwanamke hawajawahi kusex anamwambia awe na SUBRA hapo Kuna mapenzi kweli au maigizo?
  14. JamiiForums Tanzania Queen Masanja asema Bora arudi kwa mumewe kuliko hawa vijana wanakula viboga bila kuchoka

    Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano. Kupitia mahojiano yake, Queen...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

    Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto, Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ? Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
  16. JamiiForums Tanzania Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  17. JamiiForums Tanzania Sina imani kabisa na hali ya Polepole huko alipo sasa. Zile damu kumtoka alipelekwa wapi?

    Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye. Ni mawazo tu.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama kuna jambo linakwenda kutokea, dalili ya kwanza itakuwa ni kutoendelea kwa kampeni za Mama bila maelezo

    Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima. Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma. Nahisi kuna vikao vya mashauriano...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usipite bila kuchangia kuhusu CVT

    Ndugu zangu,kama unajua kitu toa msaada wa kielimu kwa anayeomba msaada.Kukaa kimya kwako mwenzakl anapata hasara kubwa sana wakati ungemuelimisha angesaidika na Mungu wa mbinguni angekubariki. Nina Suzuki Swift 2008,engine yake ni K12B,gearbox yake ni cvt, haina dip stick. Sasa mara ya kwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…