bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa. Tukamalize kazi ICC...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Upinzani na Wanaharakati ijibu so called hotuba kwa weledi mkubwa, bila jazba wala vijembe kama alivyotumià. Onesha dhamira safi

    Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes: Strike the Iron when still hot! Mwonyeshe kuwa mna dhamira safi na nchi yetu.
  3. JamiiForums Tanzania Je, Askari anaruhusiwa shoot to kill bila kupokea order yoyote kwa mujibu wa sheria ya Tanzania na za UN

    Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  5. JamiiForums Tanzania Bila kuachana na imani za kishirikina itakuwa ngumu kwa Watanzania wengi kupiga hatua za kimaendeleo

    Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
  6. JamiiForums Tanzania Wambura na Muliro, Tarehe 9 Dec ni Maandamano. Hili muwe nalo uhakika kabisa bila mashaka. Sasa mtachagua Mtuue kama mlivyotuua au tuwaondoe

    Mambo si mambooooo!! Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!. Toeni Pesa Bank. Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia. Waandamani tuonane Field !!
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  9. JamiiForums Tanzania Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi 1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani 2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha 3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatuwezi dhibiti maandamano bila kumtosa Yona kwanza!

    Damu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!! Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda! Kuna watanzania Kwa Sasa wanasubiri TU parapanda ilie waende coz wameshakata tamaa ya kuishi baada ya maumivu Yale...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  12. A

    JamiiForums Tanzania Revolution za hatari zilizowahi kutokea duniani na faida zake

    1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa Faida zake: Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic). Vifo: Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”. 2...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Media zetu ni TAKATAKA unatoaje hii taarifa bila kupost hiyo makala?

    Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania imeniuma kula kitoweo bila kaugali pembeni

    Halafu ni wale wa kienyeji
  16. JamiiForums Tanzania CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaosisitiza amani zaidi badala ya HAKI ni wajinga au wanufuika wa mfumo kandamizi. Haki ikitamalaki amani inakuwepo automatically

    Ukiacha vichwa panzi wachache na mapoyoyo wa hali ya chini na wale wenye maisha duni wanaoimbishwa wimbo wa amani bila haki na wanaimba kwa sababu ya ukosefu wa maarifa, taarifa sahihi au udini wengine wote wanaoimba zaidi amani badala ya kuimba zaidi haki ni wanufaika wa mfumo ulioondoa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kazia hapo hapo msiwape nafasi tena CHADEMA wasijifanye wao ni last born kususa susa - Nchi ilikuwepo bila CHADEMA na itaishi bila CHADEMA

    Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa. Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
  19. JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  20. JamiiForums Tanzania Nasemaje hakuna MARIDHIANO bila UWAJIBIKAJI

    Naon CCM wameanza kulegea tayari hatuwezi kufanya maridhiano sasa hivi hii inaitwa TOO LATE MISSION tunahitaji UWAJIBIKAJI wao kwa kujiuzulu mara moja nakuanza mazungumzo baada yao kuwajibika kwa kujiuzulu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…