bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TPRB yawaonya wanaofanya shughuli za mipangomiji bila kuzingatia sheria

    Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) imewataka wananchi, wadau na wataalam wa mipangomiji nchini kuhakikisha kuwa utekelezaji wa shughuli zote za mipangomiji unazingatia kikamilifu sheria, kanuni na miongozo. Agizo hilo limetolewa na Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wataalam wa...
  2. JamiiForums Tanzania Maridhiano bila haki ni ubatili, tena ni ubatili mtupu!

    Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia. Kwa mtazamo wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wasauzi wamechafukwa mno: Hawataki wageni sasa bila hata uoga

    South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Daktari wa India kasema bila sh. Milioni 40 hatoboi miezi mitatu ijayo

    Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam. Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Naweza Kufungua Madai ya NSSF Online Bila Kufika Ofisini Kwao na Yakakubaliwa?

    Wakuu, Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails. Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao. Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia? Attachment nilizonazo: Certificate of...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Garage STD 7 anaingiza 50-200K daily. Wahitimu wengi bila ajira hawamudu bando. Elimu ni muhimu, ila ujuzi ni muhimu zaidi

    Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo. Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kujiondoa katika vifungo vya uchawi, husda na nuksi bila ya kwenda kwa waganga na wachungani/mashehe feki

    Karibuni ndugu zangu maana hali sio hali
  8. JamiiForums Tanzania Miezi 4 bila kuingia JF, Poleni tuliopotezana

    Jambo Wakuu! Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao tulizoea kubadilishana maarifa na ujuzi mbalimbali. Ninamshukru Mungu leo nimefanikiwa tena kuingia...
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya: Raia 37 wa Ethiopia washikiliwa kwa kuingia nchini bila kibali

    Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Januari 16, 2026 saa 10 jioni katika Kijiji cha Kasumulu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Afya kuzungumzia maslahi ya upande mmoja wa taaluma kada ya afya si sawa, taaluma nyingine nani atazisemea?

    Mh. Waziri wa Afya sisi kama wauguzi tunakushangaa sana unapozungumzia masilahi ya upande mmoja wa taaluma ndani ya kada za afya, Ndani ya taaluma za afya tupo wataalamu wa tulisoma course tofauti tofauti na hizi taaluma zote utendaji wetu unategemeana kwa kiwango kikubwa ulikumuhudumia mgonjwa...
  13. JamiiForums Tanzania Gamond awachana Waarabu bila Kuuma uma maneno

  14. JamiiForums Tanzania Tanzania 2026 bila utekaji bila wasiojulikana. Bila kuwa Wauaji wa watu wetu wenyewe

    Hamjambo! 1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi ni mdau na mpenda haki. 2. Nakereketwa na kukerwa nikisikia mtu Fulani kapotea katika mazingira ya...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  16. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Madaraka: Unapokuwa Tishio Bila Kukusudia

    Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha; ni onyo la kiintelijensia kuhusu jinsi ukaribu na mamlaka unavyoweza kugeuka kuwa mtego wa mauti...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  18. JamiiForums Tanzania Izzo Business aachia nyimbo akiwachana wasanii na mamlaka zilizopo bila kupepesa

    Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye semina na kampeni za chama kimoja kama mchwa. Badala ya kupinga vikali matukio yaliyokuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kuzalisha upinzani bila kujijua

    Kwa ujinga wanaofanya CCM wanajikuta wanazalisha kundi kubwa linaloipinga CCM pamoja na Serikali yake au kwa akili ndogo za Viongozi waliopo. Magufuri hakutumia nguvu kubwa kuirudisha CCM iliyokuwa kwenye shimo huku akipendwa na kila mtu mpaka wapinzani ingawa alikuwa dikteta uchwara. Baada...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!!

    Watu wa Mama vichwa panzi! Bila HAKI mnapoteza muda pesa sio kila kitu!!! Huwezi kushinda mioyo ya Watanzania kwa kutoa pesa kwa wapinzani , vyombo vya habari au viongozi wa dini wachache. Unashinda kwa kutoa HAKI bila kutoa HAKI mnapoteza muda na pesa za nchi hii. Watu wa Mama wanafikiri pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…