bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Bila Chadema ni maigizo tu na bila katiba hakuna Dira!

    Bila Chadema chama kikuu kwa mbali sana Tanzania hakuna maridhiano yeyote ya ukweli ni maigizo tu ya kujidanganya na kulaghai watanzania. Bila katiba hakuna Dira! yeyote inaweza kufanikiwa kwa katiba ya sasa ambayo haina uwajibikaji wowote pale ambapo sheria haifuatwi na watawala. Katiba...
  2. Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  3. A

    KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
  4. Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  5. O

    Mizigo ya harusi bila uwezo mzuri hainaga maana

    Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani? vijana...
  6. Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  7. A

    KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu. Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
  8. Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

    Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona? Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona? Unaona nini ukifumba macho yako? Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi? Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ? Unadhani ni halisi ? Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa...
  9. Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

    Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu...
  10. Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Hakuna namna ni mwendo wa kuumizana kama unaona mdaiwa wako analeta ujinga Kumfundisha adabu tu.
  11. A

    KERO Responded Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara Mikindani tunakatwa ushuru, tukiomba risiti wanatutishia

    Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Tunakatwa ushuru wa kila siku bila kupewa risiti za malipo kama inavyotakiwa. Tunapodai kupewa risiti...
  12. M

    Una muziki ambao ungependa uoate beat bila vocal au vocal bila beat, pandisha hapa vitatenganishwa

    Una muziki ambao ungependa upate beat au vocal, pandisha hapa vitatenganishwa File lazima liwe MP3 au WAV, Tuma audio yenye ubora wa juu ili kupata matokeo bora, audio yenye ubora mdogo inaweza kuwa ngumu kutenganisha Mifano: Zuwena Vocal Beat
  13. Huwezi kuwa tajiri bila ya kuwa na watu wa kukufanya wewe kuwa tajiri

    Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri. Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa huduma kwenye taasisi yako, ndio watakao chimba madini n.k, na wewe kuweza kuingiza pesa na hatimaye...
  14. Uliwahi kuingia kwenye matatizo bila kutegemea? Ulifanya nini kuondokana nayo?

    Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa? Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye amewahi kujikuta kwenye hali kama hii. Mimi ni mtu ninayependa kusocialize. Ninaamini sehemu kama baa...
  15. Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

    Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise, Hivi mnajua dunia ingekua...
  16. Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina

    Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina yes Ni kweli. Kuna hatua za mafanikio ambazo akili, mikakati, na bidii peke yake haziwezi kukufikisha — unahitaji uthabiti wa ndani (spiritual stamina) unaokusaidia: Kuvumilia msimu wa giza — kipindi ambacho hakuna matokeo ya...
  17. J

    CCM wanataka maridhiano bila walioteka na kuuwa kujulikana na kuomba radhi. Je, wako sahihi?

    Kichwa cha habari kinahusika. Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane. Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao. Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha. Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29...
  18. Miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila rais (Auto Pilot State)

    Tanzania tumeweka rekodi ya kipekee sana. Takribani miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila ya kuwa na rais wa nchi. Miaka hii mitano kila mtu sasa kawa msemaji, hatuna yule kiongozi mkuu wa nchi kutuongoza nchi imekuwa kama Auto pilot state.
  19. CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  20. K

    Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…