bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Mnadanganyana na akina Mange Eti bila CHADEMA hakuna maridhiano, hebu acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao

    CHADEMA ni nani kwenye nchi yetu? Mpaka mjipe umuhimu kiasi hiki, kwamba Kila kitu lazima kifanyike nyny mkiwepo kwani nyny ni nani? Mnawabunge wangapi? Mna madiwani wangapi? Nashangaa kuona mtu mzima kabisa Bado anaamini kuwa bila CHADEMA hakuna maridhiano aisee hebu acheni hizo fikra za...
  2. Wakili Maduhu: Ukimrekodi mtu bila ridhaa yake utapewa kifungo kisichopungua miaka 5 au Faini isiyopungua Milioni 5

    Wakili Kulwa William Maduhu anaeleza kuwa ni makosa kisheria kurekodi mazungumzo yako na mtu mwingine bila ridhaa yake na kufanya hivyo kunaweza kupelekea ukafungwa miaka mitano. Wakili Maduhu amesema hayo leo Novemba 16, 2026 kwenye mahojiano na kipindi cha Jambo Asubuhi na kueleza kuwa pia...
  3. F

    Wizara ya Maji imefanikiwa kuhakikisha maji hayatoki Jiji la mwanza siku ya tano mfululizo bila taarifa yoyote

    TANESCO pamoja na mapungufu Yao,wao wamefanikiwa kwenye utoaji taarifa,wakatapo umeme, wataarifiwa wateja kupitia namba zao za simu. Jambo hili,mamlaka ya Maji nchini hawana habari nalo, utatumiwa meseji ya kudaiwa maji na utapigiwa ulipe deni, ila wakikata maji,hawatoi taarifa yoyote maana...
  4. Bila kuwa na vitambulisho hufungi ndoa

    https://www.facebook.com/reel/2150748608866868/?app=fbl
  5. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  6. Y

    Je unajua unaweza kuchaguliwa na mizimu ya ukoo kubeba mikoba bila hiyari yako? Umejipangaje?

    Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi. Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
  7. Vichekesho vya Meta Business AI..-META AI inaweza kukutonngozea Mtu bila wewe kujua.Tuwe Makini Mtandaoni.

    Habari za wakati huu; Mimi ni mdau wa technolojia na mara zote huwa nafanya majaribio kwa lengo la kujifunza zaidi na kuhakikisha ninaenda na wakati.Kwa sasa hivi nimewekeza nguvu na muda zaidi katika kujifunza utumizi wa AI katika shughuli zangu.Andiko hili ni Tangazo lakini Simulizi...
  8. Play smart: Jinsi wajanja wanavyotajirika kwa mtaji mdogo huku wakifanya biashara za mamilioni bila pesa.

    Habari za wakati huu wakuu wa jukwaa hili. ukisikia mjini njoo na akili zako nguvu acha kijijini basi soma uzi huu kwa umakini. Kuna kitu kimoja nimekuwa nikikiona mtaani kwetu, hasa kwa vijana wajanja wanaofanya biashara za Electronics (TV, sabufa, simu), Movie Libraries, na hata Hardware za...
  9. Mbinu ya Kufanya Mtu Aongee Bila Kuchoka: Siri ya "Kuvuta Neno" Kwenye Maongezi

    Habari zenu wadau wa JF. Umeshawahi kukutana na mtu mkakaa dakika tano tu halafu stori zinaisha, mnaanza kuangaliana kama mpo kwenye daladala la Mbagala? Au unataka kumtoa mtu maneno mdomoni bila yeye kuhisi unamchimba? Kuna mbinu moja nzuri sana ya kisaikolojia inaitwa Kuvuta Neno...
  10. Janga juu ya janga: Kufunga shule miezi miwili bila viboko wala vipima mimba ni bomu linalosubiri kulipuka!

    JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA! Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla, Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
  11. J

    RE: Tundu Lissu. Je, inawezekana kushtakiwa kwa kuuwa, na kuuwa bila kukusudia, na Dpp yuleyule, lakini Mahakama tofauti?

    ..kichwa cha habari chahusika. ..Jaji Ndunguru na wenzake wanadai uchochezi ni kosa dogo la uhaini. ..Yaani ni sawa na kosa la kuuwa bila kukusudia, lilivyo kosa dogo, kwa kosa la kuuwa. ..Kama hoja yao ni ya kweli kwanini Dpp alifungua kesi ya uhaini, na kesi ya uchochezi? ..Au kwanini kesi...
  12. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  13. Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  14. Bila uwajibikaji ajali haziishi. Leo wamekufa Waziri yupo anacheza draft

    Tanzania bila viongozi kuwajibika ajali haziishi. Leo Iringa wamekufa Watu 20.. Hakuna kiongozi anayejali japo kutoa pole Samia Suluhu alitoa pole kwa Mtu mmoja alokufa huko Zimbabwe sijui Chivayo, Watanzania zaidi ya 20 wanakufa hatoi pole.. Anapamba kuona Mtanganyika Lissu anafunyongwa...
  15. Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  16. Hivi unawezaje kuvumilia kuwa kwenye ndoa bila unyumba/ tendo la ndoa (sexless marriage)?

    Ndoa bila UNYUNBA (Sexless marriage) ni ndoa ambayo wanandoa hushiriki tendo la ndoa mara chache sana kiasi kinachokadiriwa kuwa ni chini ya mara 10 kwa mwaka au mara (1) moja kwa mwezi. Sababu za Kawaida • Msongo wa Mawazo wa Kudumu na Kibiolojia. • Shinikizo la Maisha na Malezi • Mvutano wa...
  17. Kuhusu Hukumu ya Mwana TLS Tundu Lissu, Natoa Pongezi kwa TLS Kukaa Kimya Bila Kukurupuka Kutoa Maoni Yoyote Kuhusu Hukumu Hiyo, Halafu ...

    Wanabodi, Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS, Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
  18. Hapa bila ya rufaa, kuna ule wimbo ndoto za udaktari, kwisha habari

  19. Bila reforms, 2030 hakutakua na uchaguzi.

    Msimamo ni ule ule . Tunataka tukipiga kura ihesabiwe kwa aliyepigiwa. Tume huru ya uchaguzi, kukomesha uwizi wa kura. Hivyo basi, labda kama ccm imeamua kuik colonize inchi kama makaburu. Bila reforms kufanyika 2030 hakutokua na uchaguzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…